kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

    Moja kwa moja. Juzi niliona Uzi wa member wa Jf ambaye amelelemika kuwa wiki nzima anarudishwa uhamiaji wakati wa kufuatilia passport anaambiwa kuwa Kuna Virus kwenye mfumo na data hazipo , kaambiwa atulie . Na Mimi mwenyewe ndugu zangu zaidi ya wawili wanasubiri Visa ya kwenda nchi Fulani...
  2. JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu huduma ya kituo cha wateja

    Mpendwa Mlipakodi, Asante kwa mrejesho wako kuhusu huduma ya kituo cha wateja. Tunasikitika kwa usumbufu uliopata, hasa katika matumizi ya mfumo na module ya remission. Tumeanza kuchukua hatua za kuboresha huduma kwa kuwajengea watumishi uwezo stahiki wa mifumo ili kukuhudumia kwa haraka na...
  3. JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wahariri lalaani kuvunjwa kwa ofisi za gazeti la Pambazuko

    Pia soma: Ofisi za gazeti la Pambazuko zavunjwa, waibiwa Kompyuta, Kamera, Nyaraka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa jaji mkuu wa Tanzania kuhusu kuharakisha kesi ya Tundu Lissu

    BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia utoaji wa haki nchini. Lengo la barua hii ya wazi ni kuwasilisha ombi la msingi na la haki kuhusu...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi Pwani wakanusha Mwigulu kumteka Askari aliyetoa kero kwake kuhusu askari mwenzake

    Wakuu, Aloooo jamaa walimteka bana! Taarifa ya polisi inasema walimchukua tar 15, Feb na siku hiyo hiyo ndio akachukuliwa kwenye kwenye mashtaka:BearLaugh::BearLaugh: hata bila D mbili hesabu hii haiwezi kukushinda. Halafu eti familia yake iliruhusiwa kumuona juzi, na leo amerejeshwa kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Tume

  8. JamiiForums Tanzania Anavyosema Ndugu Edward kuhusu Wayahudi

    Kwenu wana JF "We kumbe unacheza na Wayahudi ww. Labda Netanyahu ndio ampeleke Trump kuzimu lakini sio Trump kumpeleka Netanyahu kuzimu. Hv unajua kua wale Wayahudi waishio Marekani🇺🇸 ndio waliomuwezesha Trump kurud madarakani na kua hayo wameyafanya kwa maslahi yao? Hv unajua kua wale...
  9. JamiiForums Tanzania Chochote unachokijua kuhusu Toyota corolla fielder wxb - hybrid

    Habari Wakuu... Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mgeni kwenye field hii ya magari ila natamani kupata usafiri siku kadhaa mbele. Chaguo langu ni toyota (kwa sababu ni gari yangu ya kwanza naamini sitosumbuka sana). Nimewaza gari ya kifamilia zaidi na ngumu ambayo pia ni fuel economy. Katika...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

    Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu. Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu? Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Wanu Hafidh Ameir, Naibu Waziri Wa Elimu Akieleza Mikakati Ya Serikali Kuhusu Teknolojia Ya AI Katika Elimu

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu. Naibu Waziri ameeleza...
  12. JamiiForums Tanzania LATRA toeni ufafanuzi kuhusu nauli wanazotoza mabasi ya costa ya Moshi kwenda Arusha

    Niwaombe mamlaka ya LATRA waingilie kati maana costa za Moshi Arusha wamejipangia nauli wanavyo taka hii imekuwa ghali kuliko. Naomba Latra wafuatilie hili au wapange nauli halali kama inavyo takiwa. Shukran
  13. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuhusu Phobia na Mental Disorders?

    Juzi Jumatatu nilipata taarifa kuwa kuna swahiba yangu alikuwa amelazwa pale hospitali ya Kanda ya Bugando ikanibidi niende kumjulia japo hali. Nilifika salama na tukazungumza mengi sana kuhusu maendeleo ya afya yake, tukacheka na kufurahi sana, namna bora ya kumpa uchangamfu mgonjwa maana...
  14. JamiiForums Tanzania Wewe kaza fuvu Tu kuhusu kuoa

    Kijana tafuta pesa baada ya hapo Sasa tafuta BIKRA wako weka ndani. Endelea Kula Maisha. Sitaki maswali mengi nipo zangu na-meditate hapa.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Watumishi Halmashauri ya Kibondo tuna kero nyingi, tupewe elimu au kuambiwa ukweli kinachoendelea ili tusibaki na chuki rohoni

    Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi? Suala la kuhama kwenye mfumo, tupewe elimu na vigezo vya mtumishi kuhama na kusaidika namna nzuri bila...
  16. JamiiForums Tanzania Mpaka wa Bologonja Kuna jambo linatokota naamini Serikali yetu inajua cha kufanya

    Bologonja ni mpaka au geti linalounganisha hifadhi ya taifa ya Serengeti na Maasai Mara Kenya. Geti hili linawezesha mgeni kutoka Kenya Maasai Mara kuingia Serengeti kufanya game drive na kurudi Kenya kupitia mpaka huu. Mwalimu Nyerere kwa kutumia akili kubwa na busara ya kizalendo kwa maslahi...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu, malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa Dawa na Takwimu zisizo na ukweli yasipuuzwe

    Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa. Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni mkutano wa kujisafisha na yeye ndio waziri mwenye dhamana, as we speak, hapaswi kuendelea kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya

    Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika. Swali la kwanza: Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena? Yaan wanasema kwamba mgonjwa akitibiwa leo kisha akaugua tena kabla ya Wiki 2 kupita au Mwezi kupita na...
  19. JamiiForums Tanzania Nina Maswali kuhusu Matibabu kwa kutumia Bima Ya Afya

    Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika. Swali la kwanza: Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena? Yaan wanasema kwamba mgonjwa akitibiwa leo kisha akaugua tena kabla ya Wiki 2 kupita au Mwezi kupita na...
  20. JamiiForums Tanzania Moto wateketeza maduka kituo cha daladala Mawasiliano. Je, ni njama?

    Ule ni mpango wa serikali hiyo ipo wazi lile eneo lilikuwa linaangaliwa muda mrefu sana kutokana na soko la East Africa kujengwa pale pote baada ya muda wanaporomosha magorofa ya flame ambapo wamiliki wa mwanzo wataaambiwa wakae miezi 6 bure then wataanza kulipia. Hilo lipo wazi lile eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…