Wakuu,
Habari wana JF na ndugu zangu katika imani,
Kuna hili jambo naomba kusaidiwa na kupewa maarifa juu yake maana hunipa utata kuelewa kuhusu sherehe ya Pasaka, Viongozi wa imani hutumia mfumo gani kudhihirisha kwamba siku fulani itakuwa ni Pasaka, maana kuna wakati inakuwa mwezi wa tatu na...
Wakuu habari,
Nilikuwa nipo katika project kubwa sana ya kuunda live stream platform ya kisasa yenye teknolojia ya mwaka 2026 inayo tumia Ai JamiiAi kwenye usimamizi moderation/management.
Vitu ni vingi sana vya kueleza nitaonesha vitu kadhaa tu vya hii live stream app kati ya vingi ambavyo...
Katika kizazi tulichopo ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kwanza original deal of marriage ilikua ni mwanamke bikira na mtiifu kwa mabadilishano ya lifetime protection na provision kutoka kwa mwanaume. Wanawake wa leo sio bikira, sio watiifu. Kwahiyo tuelewane hapa wanawake ndio...
Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
Kuna jambo linanisumbua kichwa siku nyingi naomba niwashirikishe wadau wenzangu.. Mchakato wa Ajira za Utumishi kwa hivi karibuni umerahisishwa upande wa Written interviews kwa maana ya Kwamba wasailiwa hawana ulazima wa kusafiri kwenda Dar es Salaam kufanya mtihani wa mchujo, badala yake...
Je na sisi tunaweza tukatunisha msuli?
Je Jwtz inaweza ikatuonesha suprise kwa raia wake na kwa ulimwengu kwa ujumla?
Je tuna mahandaki kwaajili ya usalama wa raia,
Je tuna air defensive systems
Je tunaweza ishika sehemu nyeti dunia kama vile Hormuz
Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
Niaje waungwana
Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani.
Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
Eid Mubarak.
Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS.
Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje?
Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa?
Na je hizo bond huiva baada ya muda gani?
Salaam,
Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA.
1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
Anonymous (e563)
Thread
foundation
hali
jambo
kazi
kimya
kuhusu
mafunzo
mafunzo ya ufundi
mamlaka
mkapa
naona
uendeshaji
ufundi
utendaji
utendaji kazi
veta
wakuu
Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na inaathiri moja kwa moja maisha ya kila siku ya wakazi.
Mara chache sana maji yanaporudi inakua ni usiki wa...
Anonymous (43ef)
Thread
huduma
huduma ya maji
kuhusu
maji
malalamiko
mwanza
saut
tanzania
ukosefu
ukosefu wa maji
university
wiki
Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House.
Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
Nawasalimu Kwajina la JF!
Naweka kiulizo kifupi japo hili swala limeulizwa sana lakini sioni jibu lilolkuwa wazi,
Swali nini kipo nyuma ya Uvumi wa mitandao ya kijamii Hasa ya Serikali ya Israel kuhusu uvumi wa Kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahau? Kwanini Nguvu kubwa imekuwa...
Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana.
Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana kweny hii hospital ya sinza Palestine???
Habari,
Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini.
Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya...
Anonymous (ba44)
Thread
bodi
huduma
iringa
kero
kuhusu
maktaba
mkoa
tanzania
yangu
Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu.
Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-
Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu:
1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa”
2.“Tutapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.