Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo...