kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo

    Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Nchi ina utani hii. Huyu ndo alitaka kwenda kugombea Urais huko CUF?

    Wakuu Nimekutana na video hii huko mtandaoni. Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini account za Ikulu zinarusha tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu ya kugombea? Watarusha na wagombea wa vyama vingine?

    Wakuu, Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake. Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais? Vyama vingine vikienda kuchukua...
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

    Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wasio na akili ni waliompitisha Mpina kugombea urais kwa niaba ya CCM na siyo yeye

    Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana. Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi...
  7. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania German wagundua Hamas wanatengeneza video za kugombea chakula kwa sururia na mabakuri

    Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo imefanikiwa kwa maigizo kama hayo kwa zaidi ya miaka miwili hadi mashirika yakaamua kuchunguza hiyo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu ajiondoa kugombea Urais ACT Wazalendo. Je, anampisha Luhaga Mpina?

    Ndugu zangu Watanzania, Dorothy Semu aliyekuwa ametangaza kugombea Urais Kupitia Chama chake cha ACT WAZALENDO. Je anajiondoa ili kumpisha Luhaga Mpina? Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  9. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mpina kakosea sana kugombea Urais

    GTs, Mpina hana uwezo wa kujenga hoja. Hivyo kushinda urais ni ngumu mno. Alipaswa abaki kwenye ubunge tu. Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
  10. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Familia za Viongozi ni Watanzania wana haki ya kugombea Uongozi

    1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine. 2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba? 3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa...
  11. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Polepole: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?

    Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma? Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kumburu ateuliwa kugombea ubunge Viti Maalumu Wasomi Vyuo Vikuu na jimbo Moshi Mjini

    CCM Ina wenyewe kwa kweli. Mtu mmoja, kateuliwa: 1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini 2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro 3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake. Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka. Uliza ana umri Gani na watoto wako...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ouattara wa Ivory Coast atangaza Kugombea tena nafasi hiyo, akiwa na Umri wa Miaka 83

    Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake unakuja wakati wapinzani wake wakuu kama Laurent Gbagbo na Tidjane Thiam wamezuiwa kugombea, hivyo kumpa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM hawana huruma kweli chawa wao damu damu Mwijaku, wamemfyeka kwenye teuzi?

    Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
  16. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

    Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha. 1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini 2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini 3. Luhanga Mpina - Kisesa 4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara 5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu) 6. January Makamba - Bumbuli 7. Nicodemus Maganga - Mbogwe 8. Christopher Ole...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mpinzani mkuu wa Rais Paul Biya wa Cameroon aenguliwa kugombea

    Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025. Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa. Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
  18. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais ndiye the best option kwa wapinzani

    Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka. 3. Ngwe ya mwisho ni...
  19. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Je, Samia Alichaguliwa kwa Kura za Maoni Kugombea Awamu Hii?

    Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili kumalizia kipindi cha awamu ya tano ya uongozi. Hadi sasa, bado tupo katika awamu ya tano. Awamu ya...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
Back
Top Bottom