kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Sheria yetu ya uchaguzi, inaruhusu mgombea uraisi kugombea bila kuwa na wadhamini wa ndani ya chama chake?

    Naomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili. Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika sheria na zoezi zima la uchaguzi wa Raisi. Na je, kisheria, kuna uhusiano gani kati ya sheria ya...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa ticket ya CCM atachukua lini fomu ya kugombea Urais na atairudisha lini?

    Muda wa kuchukua fomu na kuzirejesha kwa wabunge na madiwani ulisha pita. Urais hakuna aliyechukua fomu,au hakuna mgombea urais??? Nimeuliza tu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Aliyemzuia Mpango na Majaliwa kugombea atamzuia Samia pia

    Watu wenye akili waliomsikiliza Polepole leo inatosha kujua kila kitu kishapangwa na kete inasogezwa moja moja. Ndugu zangu nampenda Samia lkn akili ndogo ya kuvukia barabara inatosha kukufungulia fumbo hili.
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole kugombea urais October 2025

    Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea. Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli. Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika?

    Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Haikuwa nia yake kugombea baada ya kuapishwa… Utamu wa madaraka na wale wanaotaka alinde maslahi yao

    Nyerere aliwahi kusema kuwa Ikulu siyo pango la walanguzi. Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo Rais ndiye Alfa na Omega na kwa Rasilimali tulizobarikiwa Tanganyika ukiwa Rais hata Elon Mask na Jeff Bonzos watakufahamu. Kuna mengi tulipitia ambayo yaliharibu mchakato wa kuandaa watu kwa nafasi za...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa TAKUKURU - Iramba: Takrima za watiania ya kugombea katika Uchaguzi ni sawa na Rushwa

    “…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA 1/2024 katika uwanja wa Ofisi ya CCM...
  8. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Wanahabari Walio Tangaza Kugombea Wasitishe Shughuli Za Kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeelekeza waandishi wa habari waliotangaza nia ya kugombea nafasi za kisiasa kusitisha mara moja shughuli zote za kihabari katika kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na bodi hiyo imesema hatua hiyo inalenga kuepusha...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

    Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kauli za kufikirisha za waziri mkuu Majaliwa akijiondoea kugombea ubunge Ruangwa.

    Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Aliyepinga utaratibu wa Samia kupitishwa kuwa mgombea u-Rais wa CCM mwaka 2025 atangaza kwenda Dodoma 1/7/2025 kuchukua fomu ya kugombea u - Rais

    https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo... Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kwa mama Salma Kikwete kuendelea kugombea ubunge.

    Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
  13. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Je Hawa wabunge nao tayari wamechukua form za kugombea?

    1;Mh Mohammed Mchengerwa 2;Mh Josephat Gwajima 3;Mh Luhaga Mpina 4:Mh Kishimba 5 Mh Steven Byabato 6: Mh Ummy Mwalimu 7: Mh Angelina Mabula 8: Mh Abood 9;Mh Job Ndugai
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, gharama za kuchukua Fomu kugombea Ubunge kwa Chama Babu ingekua ni Shilingi Milioni 5 hata Wavuta Bangi, Wehu, Wezi na Drug Dealers wangechukua?

    Kazi yangu kubwa sana leo baada ya kuanzisha huu Uzi ni kusoma tu Comments zenu mkiwa mmeshakijia Chama Babu.
  15. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kila nikiwatathmini wanaochukua fomu za kugombea ubunge,Najifunza hili jambo

    Wadau,salamu wote. Ipo hivi kila nikifuatilia aina ya watu wanaochukua hizi fomu ,sio kwamba wana interest sana na kutatua matatizo ya watu na kuleta maendeleo. NEVER. Wengi wa hawa watia nia wanatafuta kitu kinaitwa "political muscle" au nguvu ya kisiasa kwa ajili ya Kuziwekea ulinzi...
  16. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji. Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
  17. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Kesho nachukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ruangwa

    Habari wakuu, Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo. Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

    Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Bw Murtaza Mangungu Jana jumamosi amechukua fomu kimya kimya kugombea ubunge Kilwa Kaskazini

    Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
Back
Top Bottom