kugawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kamati ya Ulinzi na usalama wilaya na Mkoa ina mamlaka ya kisheria kugawa ardhi?

    Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi? Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
  2. S

    Kibaka akiiba kuku, mnavisha tairi na kumchoma, Mtawala akiuza au kugawa maliasili za nchi kiholela, mnamtetea na kutaka aheshimiwe!

    Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu! Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku...
  3. Mbunge Martha Festo Mariki Ahitimisha Ziara na kugawa Milioni 29 Katika Kata Zote 58 za Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya kutembelea Kata 58 za Mkoa wa Katavi katika Kata ya Majimoto na Kasansa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya...
  4. Kugawa gawa Mikoa Tanzania

    Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo. Na kuna kila dalili...
  5. Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

    Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50. Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa. Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali...
  6. Ugawaji wa Mirathi ya Kiislamu

    Jinsi ya kugawa Mirathi ya Kiislamu Katika somo letu hili tutawatizama wale warithi wa msingi jinsi wanavyapata viwango vyao vya kurithi hawa huitwa warithi wasiozuiwa na yeyote. Warithi wa msingi ni Baba, Mama, Mke/Wake, Mume, watoto wa kike na watoto wa kiume. Somo hili ni marejeo ya Kuraani...
  7. Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  8. Maafisa maendeleo ya jamii walisomea wapi kozi ya kugawa mikopo ya Halmashauri?

    Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali? Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
  9. Pasaka hii tukumbuke kuwasaidia wahitaji, yatima na wajane

    PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema. Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema. Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
  10. Mary Masanja Achangia Milioni 21 na Kugawa Mitungi ya Gesi 700 kwa Wanawake Wajasiliamali Wadogo wa Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Shilingi Milioni 21 na amegawa mitungi ya gesi 700 kwa wanawake...
  11. Pochi tatu za kugawa mshahara wako ili kuweka mipango ya maisha

    Kipato cha walio wengi ni mshahara, hata kama unafanya biashara ni muhimu kujiwekea mshahara wako, hii itakusidia kuiheshimu faida na kutokuigusa. Matumizi ya muhimu katika mshahara ni chakula, kodi ya nyumba na usafiri. Haya yanatakiwa kutolewa katika mshahara kabla hujapanga mipango yeyote...
  12. Serikali iache kuwadhalilisha walimu kwa kugawa vishkwambi, waboreshe maslahi yao ili wanunue wenyewe!

    Serikali ya CCM Acheni kutudhalilisha makada waaminifu kama sisi KWA hoja za hovyo zisizo na afya KWA Taifa! Hivi mnafikiri vishkwambi KWA walimu;- 1.Vitaongeza maslahi yao ya kazi!? 2.vitawapa unafuu wa mfumuko wa bei ya chakula na mahitaji mengine!? 3.vitawapandisha madaraja wale...
  13. CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  14. Kwa kugawa wanyama wetu tumeuza upekee wetu. Tumebaki na nini?

    Moja ya jambo muhimu katik biashara ni upekee wa bidhaa yako. Watu hawaji kununua kwako bidhaa au huduma kwa sababu ya huruma, ni kwa sababu una kitu wanachohitaji na unakitoa kwa ubora kuliko washindani wako. Kwa miaka kadhaa huko nyuma Tanzania tumetokea kugawa wanyama wetu kwa mataifa...
  15. Ambao tulikuwa na Wake, Wapenzi na Wachumba wenye tabia ya kugawa sana namba zao za simu kwa Mabaharia. Njoo tusemezane hapa.

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Ni imani yangu sote tu buheri wa afya. Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu, Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha...
  16. Ufaransa kugawa Kondomu bure kwa Watoto na Vijana

    Rais Emmanuel Macron ametangaza hatua hiyo baada ya ripoti ya Serikali kuonesha ongezeko kubwa la Magonjwa ya Zinaa kwenye kundi la Vijana na Watoto. Huduma hiyo itaanza kupatikana nchi nzima kwenye Maduka yote ya Dawa kuanzia Januari 1, 2023 na ikumbukwe pia Ufaransa ni moja ya nchi...
  17. Mwambieni Bashe kugawa mahindi ya msaada wakati hujafunga mipaka huo nao ni ukurung'unzu!

    Serikali imeanza kusambaza mahindi ya msaada kwenye maeneo yenye njaa kwa bei ya unafuu! wakati huo huo malori yaliyobeba shehena ya mahindi kutoka Rukwa, Katavi, Mbeya na Ruvuma yanavuka mipaka ya Holili na Silali, kwenda Kenya, lakini hakuna mahindi au mchele unaotoka Kenya, Uganda, Rwanda...
  18. NIni maana ya kugawa mikopo ya wanafunzi kwa haki?

    Serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa kutumia chombo kinachoitwa Bodi ya mkopo (Higher education students' loans board, (HESLB)) kwa malengo gani? Je, ni kuongeza idadi ya wanafunzi wanaomudu kupata elimu ya chuo kikuu? Je, ni kuongeza idadi ya watumishi nchini wenye...
  19. Baada ya zoezi la kugawa gesi tarajieni yafuatayo...

    N.G.O inayojihusisha na tafiti itaanzisha kura za maoni/maruhani na matokeo yatakuwa % nyingi zitaonyesha anapendwa. Tayari kiongozi wa hiyo N.G.O. aliyekoswakoswa na m-lakezone alishachukua chake kwa ajili ya zoezi hilo pale ofisi za Gaspiano. 2024 Muajemi atalinunua gazeti maarufu ambalo...
  20. Serikali Rasmisha KAZI za wajasariamali wote KWA kugawa vitambulisho kama zamani Ili mkusanye mapato Mengi zaidi KWA mwaka.

    Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu . Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;- Gredi A Wajasiria mali wenye mitaji ya kuanzia milion 100 na kuendelea hao walipe hata laki tatu KWA mwaka!TRA watamuandalia kanuni mpya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…