kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
  2. JamiiForums Tanzania Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

    Ni aje waungwana, Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka waonekane kuwa na wao ni miongoni mwa wale wanaowatetea, hata kama hao wanaowatetewa hakuna anaewajua hata...
  3. JamiiForums Tanzania DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

    Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

    Alichoandika Peter Madeleka. Hakuna “PANYA ROAD” anastahili KUULIWA bila kufikishwa MAHAKAMANI kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA za nchi yetu. Nitakwenda MAHAMANI ili KUTHIBITISHA UONGO juu ya MAUAJI ya RAIA hao hapo. Upo USHAHIDI wa KIMAHAKAMA kwamba POLISI waliwahi KUUWA wafanyabiashara wa...
  5. JamiiForums Tanzania Valvu ya Moyo yabadilishwa bila kufanya upasuaji wa kufungua kifua kwa mara ya kwanza Nchini

    Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Hospitali ya Starcare ya nchini India wakifanya upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation...
  6. JamiiForums Tanzania Uhuru na Kazi - Dhamira ya Kijiji cha Muhoji Kufungua Sekondari Yake Mwakani Iko Pale Pale

    UHURU NA KAZI - DHAMIRA YA KIJIJI CHA MUHOJI KUFUNGUA SEKONDARI YAKE MWAKANI IKO PALE PALE Wananchi wa Kijiji cha Muhoji, Kata ya Bugwema wameamua kujenga Sekondari yao (Muhoji Sekondari) na dhamira ya kuifungua shule hiyo Januari 2024 iko pale pale. Ujenzi wa awali unaokamilishwa ni: *Vyumba...
  7. JamiiForums Tanzania BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni. Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na bidhaa zisizouzika ukabaki nazo kwa kushindwa kupata hata mteja wa bei ya hasara?

    Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi. Hadi nafungua duka lingine...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile Aitaka DMI Kufungua Matawi ya Chuo Mikoani

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanafungua matawi mikoani ili waweze kutoa fursa kwa Watanzania wengi kupata elimu hiyo. Kihenzile ameyasema hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Wakili Mpole Mpoki kufungua kesi 8 kupinga kusimamishwa Uwakili

    Wakili Mpole Mpoki aliyefutiwa uwakili kwa miezi sita, anakusudia kufungua kesi nane ikiwemo ya kikatiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kupinga kusimamishwa kufanya kazi hiyo. Mpoki amesimamishwa uwakili Novemba 20, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  12. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi uzinduzi wa kufungua daraja ulivyowaibisha hawa vigogo

    Hii sijui ni comedy au ni reality ila either way hii inajumuisha mustakabali wa miradi mingi ambayo inakuwa chini ya viwango katika nchi za kiafrika kutokana upigaji.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Serikali imeingia kwenye mtego wa kina Dkt. Slaa mazima, wametimiza lengo la kufungua maandano yao!

    Salam wa nyuki wa mama na team kupinga ubadhirifu, unyanyasaji na mikataba yenye kuleta hasara kwa nchi. Akina Slaa na Mwabukusi safari hii wamecheza kama pele, wametumia mtandao vizuri kucheza na akili za viongozi wa serikali na wamefanikiwa kwenye hilo. Sasa mapambano yanafanywa 'kisayansi'...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
  15. JamiiForums Tanzania Airport ya Iringa Kufungua Utalii Kusini, Ujenzi Wafikia 82% - Naibu Waziri Kihenzile

    AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kufufua Uwanja wa Ndege wa Iringa na kuujenga kwa kiwango cha Kisasa...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya Tanzania kufungua mipaka kwa wageni, ni lazima kuimarisha mifumo kwanza

    Nchi zetu za kiafrika ni vigumu watu wake kutembeleana kwa urahisi bila kukutana na vikwazo mipakani/uhamiaji. Hili limetuchelewesha sana kiuchumi. Sababu kubwa ya kuzuia wageni kuja nyumbani kwako ni ushaghalabagala uliyoko nyumbani kwako. Kama nyumbani kwako ni kuchafu sana, hakujapangiliwa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa kufungua mini restaurant

    Ni usiku wa saa nane ila Bado Sina usingizi. Nimekaa nikaandika business plan ya mean restaurant jijini Dar es salaam, hasa pale uwanja wa Taifa. Nime-analyse kila kitu. Gharama ya kuanzia inahitaji kiasi Cha 20,800,000/=. Estimated profit ni 3,000,000/= Kwa wafanyakazi wanne. Mmoja mtendaji na...
  18. JamiiForums Tanzania Mila zinatutesa: Kitovu kimedondokea uke wa mtoto mchanga, kwa mila zetu atakua Tasa, Baba unaambiwa ugusanishe uume ili kumfungua, utaweza?

    Nimeishiwa nguvu, Ni mambo yanayotia stress sana. Kinachoaminika kwa tamaduni zetu ni kwamba mtoto wa kike mchanga, kitovu chake kikidondokea kwenye uke wake basi ni kifungo cha uzazi, Yani hataweza kuja kuzaa (Tasa). Njia pekee ni wewe Baba wa mtoto aende kugusisha umme uliosimama kwenye uke...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzeni kufungua ofisi mlizozifunga Mtaani

    Mzee baba alipoingia madarakani. Ofisi nyingi sana za Chadema zilifungwa huku mitaani . Ni muda sasa wa kufungua matawi yaliyofungwa ili kukitangaza chama na kupata wanachama wapya Jumapili njema
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Mtanganyika kufungua duka Zanzibar

    Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business. Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…