kufunga ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Macbook pro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Haitajirudia tena” kauli ya kipuuzi sana wakati wa kufunga ndoa

    Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana. Iko hivi, Yaani mtu ananiahauri sijui nishone suti ya laki tano na viatu sijui vya laki mbili sijui...
  2. Nigga What

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss hataki nifunge ndoa

    Msaada kwa mdau rafiki yetu Nimejikuta njia panda baada ya meneja wa kampuni yetu (Mwanamke) kuniwekea mazingira magumu kwenye swala langu la kuoa. Hivi karibuni niliitisha michango ofisini kwetu kwa ajili ya ndoa ambayo nakaribia kuifunga soon, wafanyakazi wote walifurahi na kuahidi kutoa...
  3. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

    Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili tuanze maisha salama na shemeji yenu anawasalamia sana.... shem wenu anawaomba mu mnunuliwe iPhone 13...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wikileaks: Julian Assange aruhusiwa kufunga ndoa jela

    Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa. Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao alisema walipatikana wakati alipokuwa akiishi katika ubalozi wa Ecuador mjini London . Huduma ya jela...
  7. Cobra70

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bariki ndoa na si kufunga ndoa

    Ndoa ni nadhiri au maagano mnaojiapiza mbele ya Mungu yaani kwamba mume na mke mtavumiliana kwenye raha na shida. Katika karne hizi vijana mnafunga ndoa kama sanaa za maonesho tu baada ya hapo ni usimbe na umalaya kwenda mbele. Huwezi ukamfahamu mtu tabia yake vizuri ndani ya miezi, mwaka au...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
  9. Wang Shu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni muhimu kufunga ndoa na mtu ambaye wazazi wa pande zote wameridhia

    Wakuu, Kuna kisa kimoja kimetokea mwanandoa mmoja(mwanamke) amejinyonga na kumuacha mtoto wa miezi 6. Amejinyonga kutokana na mateso aliyokuwa anayapata kutoka kwa mumewe kupigwa na kusalitiwa lakini sababu kubwa iliyomshindikiza kujinyonga ni kukosa pakwenda, wazazi wake mwanamke hawamtaki...
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

    Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli. UPDATE: Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya...
Back
Top Bottom