kufikisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli but it's just a stepping stone ni Mwanzo wa kuyaelekea Mafanikio Makubwa. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika Maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia wapi ulikuwa wapi upo na wapi unahitaji ufike. Pia katika miaka 30...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bondia Fadhili Majiha avunja rekodi ya Mwakinyo kwa kufikisha nyota 4.5

    Bingwa wa ndondi Mkanda wa WBC Afrika, Fadhili Majiha na bondia namba moja Tanzania 'Kiepe Nyani' ameweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kupata hadhi ya nyota nne na nusu tangu nchi ipate uhuru huku akivunja rekodi ya Hassan Mwanyiko na Tony Rashid katika mtandao wa Boxrec. Majiha ameweka...
  4. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

    Anti: unajua money penny, nimwambie kitu? Money penny: ndio Anti: unajua wanaume wengi hapa mjini hawajui kufikisha wanawake zao kileleni. Wengi hawajui G spot ya mwanamke iko wapo. Hawajui kukojoza wanawake zao Yani wanaume anakupanda Tu kama gari ya mwendo Kasi, akishamaliza yeye anajiona...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Luka Modric hajawahi kufikisha magoli 10 au Assist 10 kwa msimu katika Career yake

    Fundi maestro kutoka Croatia, Luka Modric (Mtakatifu Luka) ni miongoni mwa viungo washambuliaji kwa miaka 10 iliyopita. Hakuna asiyejua Modric alikuwa ni moja ya injini ya mafanikio huko Bernabeu wakati Real Madrid ikitwaa UCL mara 3 mfululizo. Lakini cha kushangaza kama sio kustaajabisha...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JOWUTA yaiomba Serikali kufikisha Mahakamani madai ya Wafanyakazi Sahara Media

    Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kimetoa maombi hayo baada ya kudai kupokea malalamiko kutoka kwa Wanachama wake kuhusu maslahi yao na haki zao ikiwepo kutolipwa mishahara, kutopewa mikataba licha ya kufanyakazi kwa muda mrefu, kufukuzwa au kusimamishwa kazi bila...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania REA yaagizwa kufikisha umeme kijiji cha Ngahokora kufikia Desemba 2023

    MH. JENISTA ATOA MAAGIZO KWA REA KUFIKISHA UMEME KIJIJI CHA NGAHOKORA KUFIKIA DESEMBA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha linafikisha huduma ya umeme...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wizkid apewa Tuzo kwa kufikisha 'streams' Bilioni moja Uingereza

    Mwanamuziki huyo wa Nigeria anakuwa msanii wa kwanza kupata Tuzo ya Bilioni ya BRIT inayotolewa kwa Wasanii ambao wamepata zaidi ya mitiririko (streams) ya kidijitali bilioni moja Nchini Uingereza. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizkid kufanya shoo kubwa kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muhimbili na Mloganzila kufikisha Wagonjwa 81 waliopandikizwa Figo nchini

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), inatarajia kufanya upandikizaji figo kwa wagonjwa sita ifikapo Julai. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Juni 30, 2023 na Mkuu wa Kitengo cha Figo Muhimbili, Dk Jonathan Mngumi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo. Hadi sasa, wameshapandikiza...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sichalwe Aibana Wizara ya Nishati Kufikisha Umeme Kwenye Vijiji 20 Vilivyosalia

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA NISHATI KUFIKISHA UMEME VIJIJI 20 VILIVYOSALIA JIMBO LA MOMBA "Je, Serikali ina mpango gani wa kukamilisha zoezi la kuwasha umeme kwenye Vijiji vilivyosalia katika Jimbo la Momba" - Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iangalie namna ya wasanii wanaotaka kufikisha ujumbe kwa jamii watumie mambo yote ya imani yao na siyo imani nyingine

    Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
  12. Execute

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

    Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo. Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
  13. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

    Venezuela! Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran. Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu. Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri. Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

    Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka.
  15. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Uongozi: Mambo ya Kibajeti na yasiyo ya kibajeti kiutendaji

    Habari za leo wana JF Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi. Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ulaya uhakika wa kufikisha miaka 60 upo

    Inakuwaje wanajamvi. Ulaya hasa skendinevia uhakika wa kufikisha miaka 60 upo kabisa labda wewe mwenyewe uamue kujiua lakini ukiamua tu aaah mbona unagonga sikste tu kiulaini. Baada ya 60 hapo sasa ndio stress za kukacha mazimaa zinakujia Mimi sasa hivi na 32 years bado nina uhakika wa miaka...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Treni Nairobi-Kisumu yafufuliwa baada ya miaka 15, abiria wakata tiketi kwa mpigo na kufikisha asilimia 90%

    After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday. Queues were still long at the Nairobi Railways Central Station Thursday evening as families heading to the village for festivities booked tickets. “The...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania HATA DIAMOND KASHINDWA KUFIKISHA VIEWS MILION NDANI YA SIKU!! MABANDO YATAZIKA UMAARUFU WA SANAA YETU AFRICA.

    Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani, Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa. Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
  20. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Wananchi Muleba waiomba Serikali kuwafikishia mawasiliano ya radio na simu

    WANANCHI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUWAFIKISHIA MAWASILIANO YA REDIO NA SIMU Wananchi wa Wilaya ya Muleba wameiomba Serikali kuwafikishia huduma za mawasiliano ya redio na simu wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew wilayani humo...
Back
Top Bottom