kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nataka nikaishi Burundi au Rwanda; naombeni ushauri na muongozo cha kufanya

    Habari wadau! Nataka kuhama Tanzania niende nikaishi zangu Burundi au Rwanda naombeni ushauri na muongozo wa maisha kule.
  2. JamiiForums Tanzania Upo umuhimu wa kufanya toxicological analysis ya vifo vya covid 19

    Tukitazama mwenendo wa mlipuko wa covid 19 duniani na Tanzania kuna umuhimu wa kufanya toxicological na electronical analysis kwa wote wanaopatwa na ugonjwa au mauti yatokanayo na covid 19.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa kufanya miamala ya kifedha makampuni ya simu yamechepusha ukwasi kiasi gani kutoka benki?

    Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA) Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes. Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu?? Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi anayeshutumiwa kufanya kampeni ya kujitenga jimbo la Nigeria akamatwa

    Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha. Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
  5. JamiiForums Tanzania Kufanya biashara kipindi hiki ni kigumu kuliko kwenye madaftari

    Habari za leo ndugu,natumaini u mzima. Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila vitu vipo juu sana kiasi kwamba unabaki kushangaa nchi inaenda wapi na viongozi wanafanya nini zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Kazi ya mauzo, usambazaji na kufanya kazi za Stationary

    Tunahitaji yeyote mwenye uzoefu na kazi za staionary. Awe na uwezo wa kutumia computer hususani program zote za machapisho. Awe mzuri wa kutumia internet Aweze pia kuandaa na ku post matangazo mtandaoni. Awe na uwezo wa kusimamia kitengo cha mafunzo ya computer na kufanya digital markert na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mnakwenda ibadani kufanya nini kwa mateso haya wanayopata watu wasio na hatia mabusu?

    Hivi kwa malalamiko haya yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania tunadhani ipo siku Mama Samia ataweza kuwaletea Wananchi maendeleo? Watu wanakamatwa na kuwekwa maabusu bila hatia yoyote kwa maelekezo ya watu wanaokesha misikitini na makanisani, hatuoni Kama tunaliletea laana...
  8. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kuwakwamua wazazi wasiwe wategemezi kwako siku za mbeleni

    Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu. Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Saikolojia ya kufanya makosa na faida zake

    Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza hivyo ikampasa Thomas kuacha shule na kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani, Thomas alianza kufundishwa...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kufanya kupunguza ukatili wa kingono kwa Watoto

    Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana. Wanawake na watoto ni makundi ambayo yameonekana kuathiriwa zaidi na ukatili wa kijinsia kuliko...
  11. JamiiForums Tanzania Utaratibu kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Private Candidate

    Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi. Swali linajengwa na hoja hii: Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo. Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu. Ndalichako...
  14. JamiiForums Tanzania Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango muoneshe Waziri wa Fedha wapi ulikuwa unapata pesa za kufanya miradi ili asiumize wananchi

    Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu. Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa...
  16. JamiiForums Tanzania Karibuni nitapata Shilingi milioni 100: Naomba ushauri wa namna ya kuiwekeza

    Habari wadau! Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini. Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu sijajua cha kufanya. Nipeni wazo niifanyie nini?
  17. JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la wanaodai Katiba Mpya hawajui wanachokitafuta na hawana kazi ya kufanya

    Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa. Leo ameingia...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

    Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀
  19. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi Vijijini ni changamoto kwasababu ya Wanasiasa

    Hakuna watu wabaya kama Wanasiasa, nina ushahidi wa kutosha wa rafiki zangu wawili mmoja yupo kada ya mifugo ni daktari wa kata na mwingine ni msimamizi wa jumuiya za watumia maji CWBOS'C Mkoani Manyara huko Babati. Sasa kuna siku nilimtembelea Kijijini huyu wa maji nikakuta anateseka sana na...
  20. JamiiForums Tanzania RC Makalla aiagiza NHC kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha machinjio ya Vingunguti

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Agosti 1, 2021 machinjio ya kisasa ya Vingunguti ianze kutumika. Makalla ametoa agizo hilo jana Julai 8, 2021 wakati alipotembelea machinjio hayo na kukuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…