Hivi kwa malalamiko haya yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania tunadhani ipo siku Mama Samia ataweza kuwaletea Wananchi maendeleo? Watu wanakamatwa na kuwekwa maabusu bila hatia yoyote kwa maelekezo ya watu wanaokesha misikitini na makanisani, hatuoni Kama tunaliletea laana...
Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu.
Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza hivyo ikampasa Thomas kuacha shule na kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani, Thomas alianza kufundishwa...
Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana. Wanawake na watoto ni makundi ambayo yameonekana kuathiriwa zaidi na ukatili wa kijinsia kuliko...
Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi.
Swali linajengwa na hoja hii:
Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
Wakuu, habari za muda huu?
Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako?
Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
Ndalichako...
antony mtaka
elimu
kufanya
kupinga
kuvunja
maagizo
magufuli
mkoa
mkuu
mkuu wa mkoa
nchini
ndalichako
nguvu
profesa
sera
sheria
wanafunzi
wapi
watanzania
waziri
waziri wa elimu
Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu.
Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa...
Habari wadau!
Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini.
Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu sijajua cha kufanya. Nipeni wazo niifanyie nini?
Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa.
Leo ameingia...
Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀
Hakuna watu wabaya kama Wanasiasa, nina ushahidi wa kutosha wa rafiki zangu wawili mmoja yupo kada ya mifugo ni daktari wa kata na mwingine ni msimamizi wa jumuiya za watumia maji CWBOS'C Mkoani Manyara huko Babati. Sasa kuna siku nilimtembelea Kijijini huyu wa maji nikakuta anateseka sana na...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Agosti 1, 2021 machinjio ya kisasa ya Vingunguti ianze kutumika.
Makalla ametoa agizo hilo jana Julai 8, 2021 wakati alipotembelea machinjio hayo na kukuta...
Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba.
Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi.
Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu.
Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
Msaada kwenye tuta
Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana.
Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake
1. Polishing na waxing ni kitu kimoja au tofauti,
2. Je, mtu akifanya waxing au polishing kwenye gari...