kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  2. JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo

    Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eti, kuna umri ambao hawaruhisiwi kufanya starehe?

    Mama huyo kwenye video anasema kuwa hakuna umri ambao hawaruhusiwi kufanya starehe, au kwa wanawake kujiremba nk.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima

    Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini Tanzania umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima. Hii ndiyo sababu leo utakuta magari mengi yanatumika na watu tofauti kabisa na wale waliopo kwenye umiliki rasmi wa nyaraka. Hali hii inaleta changamoto kubwa kwa vyombo vya usalama, hasa pale...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga km 20 nje ya jiji au manispaa kwenye mji mdogo, utulivu ni wa muhimu

    Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wa serikali au watu wengine wanaosapoti au kushiriki kufanya maovu chini ya hii regime haramu

    Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika. Regime mpya inayokuja nauhakika itawachukulia hatua watu wote walioshiriki kufanya maovu kama utekaji...
  7. JamiiForums Tanzania Kufanya maonyesho ya silaha ambazo nchi haizalishi ni ujuha na ujinga mwingine wa KiAfrica

    Sijawahi kuelewea maonyesho ya silaha za kijeshi yanayofanywa na majeshi katika nchi za Africa. Unafanyaje maonyesho ya silaha ambazo huzizalishi hazitengenezwi nchini kwako! Wanaotengeneza hizo silaha wenyewe huko Magharibi wala huwa hawazifanyii maonyesho ya kisiasa bali ya kibiashara...
  8. JamiiForums Tanzania Na hiki ndicho AI huweza kukifanya pindi unapoiacha ifanye kila kitu yenyewe

    Angalia hiyo code hapo imeandikwa na Claude AI, ni code ambayo ukiipitia mstari hadi mstari haina shida yoyote na hata ukiirun itafanya kazi vizuri kwa maana lengo la hiyo method litakua linatimia bila shida ambalo ni kutengeneza parent ambae ni user. Shida kubwa itaanza kujitokeza taratibu...
  9. JamiiForums Tanzania Lazarus Chakwera kulikoni kuondoka kimya kimya?

    Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Malawi Askofu Mkuu Lazarius Chakwera (PhD) alikuja huko Tanganyika kufanya nini? Mbona aliondoka kimya kimya? Mjini mipango hapana chezeya Chekibobu wa mjini .zee wa mipango mibovu ya kuua Watanganyika wenzie. Soma pia Rais mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera awasili...
  10. JamiiForums Tanzania Tukiwa Kwenye Uapisho. Waziri Mkuu wenu anataka kufanya kioja

    Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa. Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana... Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi. Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti wa Jaji Chande Mei

    CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, alipokuwa akifanya Mkutano na Waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kamati Kuu uliofanyika Aprili 28...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    MODE Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
  14. JamiiForums Tanzania Hiko ndio kitu wanachokuja kufanya Wachina Tanzania

    Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa Serikali za Africa hazina hata mpango Sasahivi China imefanikiwa, wameamua kutufuata nyumbani kwetu. Wachina wanakuja kujenga viwanda vyao hukuhuku Tanzania Africans tutabaki kuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii sio ile ya kina Dkt. Slaa, hii ya sasa inavizia kufanya mikutano kwenye mikusanyiko kama masokoni na stendi

    Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu. Nasema haya kwa sababu siku za karibuni siioni CHADEMA Ile ya kina Dkt. Slaa ambayo ilikuwa msingi wa kujenga Chama imara, siioni Ile CHADEMA...
  16. JamiiForums Tanzania Sio rahisi kufanya biashara ukiwa umeajiriwa, mnaoweza mnamtumia njia Gani?

    Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili. Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako Ahsante
  17. R

    JamiiForums Tanzania Chadema unda team ya Kufanya SWOAT analysis ya Ripoti ya Chande

    Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al. Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo; WEAKNESS ( hapa ndipo pa kuichimbia), OPPORTUNITY seize this opportunity to expose the brutality of...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Moja ya tukio la kijinga na la kitoto ni kufanya sherehe ya HARUSI, ujinga ujinga mtupu

    Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale: Ingia ukumbini Cheza kidogo Kata keki Tambulisha ndugu Toa zawadi Nenda kwenye msosi Muziki Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape) Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama...
  19. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa at the lowest point of your life ukahisi kabisa hapo ndio mwisho lakini ukaja kufanya au ikafanyika comeback ya kibabe sana? Tueleze

    Uzi tayari, karibuni kwa michango na wengine tujifunze kuhusu maisha
  20. JamiiForums Tanzania Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…