Barani Afrika Waarabu na timu zao wamekuwa mabingwa wa kubuni figisu na wengine kuanza kuiga. Baadhi ya figisu zao ni kumulika wachezaji kwa Lasers, kuwasha myoshi uwanjani na kuwatumia vijana waokota mipira kufanya figisu.
Nafikiri ni wakati wa timu zetu nazo kuanza kuumiza kichwa na kubuni...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amemuagiza Mkandarasi wa Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa Beijing Construction Engineering Group (BCEG) kufanya kazi hiyo, kwa saa 24 na siku zote za wiki ili kazi hiyo ikamilike kabla ya Oktoba 15, 2023.
Dkt. Ndumbaro ametoa...
Natural Skin Solution yenye makao yake Kibaha Tanzania, tunapenda kutangazia wahitimu wa Clinical Officer au wanafunzi wa fani ya Clinical medicine ,tuna nafasi moja tu ya field au volunteer.
Wasiliana nasi kwa 0713 039 875 kwa maelezo zaidi. (Siko hapa jukwaani muda mwingi, tumia Simu)...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita.
Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi.
Haheshimiwi vipi?
Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu?
Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost.
Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
Kwa kuzingatia kichwa cha uzi.
- Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri.
Serikali haina budi kuchukua uamuzi mara moja wa kutoa elimu ya katiba kuanzia ngazi mbalimbali za elimu yetu kwa kuanza...
Habari,
Kwenu watalaamu, naomba kufahamishwa ni chemical gani ninaweza kutumia ili kutafanya maji ya bombani (dawsco) yawe matamu kama yanayosambazwa na chupa..mfano Hill water, masafi Afiya...nk.
Naomba kufahamu upatikanaji wake, bei, muuzaji.
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa ya JWTZ kusema litafanya msako kwenye nyumba za wananchi kutafuta wenye mavazi yanayofanana na za kwako. JWTZ hawajasema kama kuna mali zao zilizoibwa, hivyo hizo wanazotaka kutafuta ni za nani?
Kama kuna yanayomilikiwa na watu yanayofanana na za kwako, nani...
WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA.
"Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu...
TNMC kulipisha wanachuo 30000 ili waapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena mwanafunzi analipishwa 150,000 kufanya mtihani.. Hili ni Janga upigaji kila Kona
Baraza la wauguzi na wakunga TNMCS imeendelea kutuma taarifa za kuzisambaza kwa wakuu wa chuo kimya kimya ikiwataka wanachuo...
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe.
Mwanasheria wa...
Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia.
Kuna kutokea...
Vilianzia Crimea, vinaishia Crimea, hivi karibuni Urusi itaitapika Crimea.....
Ukrainian defence forces, together with the Security Service of Ukraine (SSU), have launched a drone strike on the 126th Brigade of the Russian Black Sea Fleet, based in the village of Perevalne in temporarily...
Mgogoro unaozunguka mkataba kati ya DP World na Serikali ya Tanzania umezua hisia na mijadala katika jamii ya Kitanzania. Hili ni suala linalohitaji kushughulikiwa kwa umakini ili kuepuka athari za kudumu kwa taifa letu.
Kwa kuwa kuna maoni tofauti na hisia kutoka kwa wananchi, serikali, na...
Nimeona Gwajima amekusanya vijana wa kumlinda na kushiriki naye kuzunguka jimbo la Kawe. Naamini hawa vijana wamepangisha nyumba, wanakula na pia wanayo matumizi mengine mengi.
Kwa mantiki hiyo hawa vijana wanalipwa na mlipaji maana yake ni Pastor Gwajima.
Lakini Gwajima chanzo chake cha...
MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15
Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya hayakuwa na budi kufata sheria za ulaya, kwenye biblia binti akifika miaka hata 13 mwanaume anaweka order...