kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo UDOM una changamoto, wanafunzi wanashindwa kufanya usajili na UE imekaribia

    Baadhi ya Wanafunzi UDOM wamekwama kwenye issue ya usajiri na hii ni kutokana na mfumo wao wenyewe kuna muda unakuwa mzito ukiomba ktu kinachelewa muda mwengine control numbers zinakuja mbili mbili sasa kama sasa hivi dirisha limefungwa na hakuna dalili za kufunguliwa hadi leo na wakati huo huo...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio biashara ya kufanya Kwa kijana anayetaka kufanikiwa/kuongeza kipato.

    ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena, Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rai ya Jenerali Ulimwengu: UanaHARAKATI ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa, vinginevyo ni utapeli wa siasa kusaka tonge kupitia vyama vya siasa

    Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
  4. JamiiForums Tanzania Usifikishe Miaka 60 Bila Kufanya Haya 6

    Wengi wanapenda kuiongelea miaka 40 Ila Mimi nitakuwa tofauti kidogo 👇 KABLA HUJAfikisha MIAKA 60, HAKIKISHA UMEFANYA MAMBO HAYA 6: 1. Jenga nyumba yako. Hata kama ni ya vyumba viwili, kuwa na makazi yako mwenyewe kunakupa utulivu, heshima na usalama wa maisha unapostaafu. 2. Weka akiba ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  6. JamiiForums Tanzania OSHA wanatoa cheti gani kwa mtu anayetaka kufanya kazi sehemu hatarishi kama mgodini

    Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje. Natanguliza shukrani
  7. JamiiForums Tanzania Wakongwe tumekuja kuwaonyesha madogo jinsi ya kufanya

    Ngoma zetu zimebaki kuwa kama nyimbo za ukombozi, zimekuwa ngumu kufutika kabisa.. Tofauti na hizi zetu kama pipi tofi, zinayeyuka hata bila kumumunya
  8. JamiiForums Tanzania Je? Naweza kufanya PHD kwa kutumia lugha ya KIswahili?

    Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini... Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea...
  9. JamiiForums Tanzania Wasafirishaji wa Dar es Salaam wakataa kutumiwa kufanya maandamano ya kiharifu

    Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
  10. JamiiForums Tanzania Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kulifanya Jokofu (fridge)Lako Lidumu Miaka 10+

    JINSI YA KULIFANYA JOKOFU (FRIDGE) LAKO LIDUMU MIAKA 10+ Watu wengi hununua friji na kuliacha tu jikoni hadi pale linapoacha kupoza. Ukweli ni kwamba, friji ni kama gari; lisipopata "service" ndogo ndogo, litakula umeme mwingi na kufa kabla ya muda wake. Hapa kuna siri 5 za kitaalamu za...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kufanya mazingaumbwe ni skill inayolipa sana

    Kaa wewe umeshajipata katika sekta yako mfundishe mtoto wako apaye skillz za kufanya illusion na mazingaumbwe. Kisha anaanza kutembea shule baada ya shule baada ya shule. kiingilio 500, sekondari buku anaenda ku perform mazingaumbwe Hapo atakua anatengeneza hela nyingi sana kwa performance...
  13. JamiiForums Tanzania Nani mwemye mamlaka ya kuthibitisha wamekamatwa na ushaidi wanatumika au kufanya makosa.Maana kila mtu kawa kambale kuwa msemaji.

    Nikama uwezi kuelewa yupi IGP,RPC,OCD,Mwanajeshi,polisi,RC,DC, Mwaipopo, mwenyekiti wa kikundi cha bra bra mpaka raisi na waziri wake. kila mtu anakuja itelenjesia zake na uthibitisho wake. Huyu alishasema wageni,pesa zimetumwa,watu wamelipwa,mtu kapewa usd milion 1,mwaka jana kasahau sinema...
  14. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya usiku wa full moon?

    Baadhi ya mambo ambayo watu hufanya ni: Kutembea au kufanya matembezi mafupi kwa mwanga wa mwezi (mahali salama). Kupiga picha za mwezi na mandhari ya usiku. Kupiga kambi au kutazama nyota. Kutafakari, kuandika malengo au kutumia muda wa utulivu. Kuhusu imani kwamba full moon huongeza nguvu za...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaowacheka watu waliojenga nyumba badala ya kufanya biashara

    Tangu zamani watu waliojenga nyumba kabla ya biashara wamekuwa wakiulizwa maswali ya kwa nini wasijenge biashara kubwa kwanza alafu ndio baadae wajenge nyumba, wanaouliza hayo maswali wanadai kujenga ni kuzika pesa! Dhana ya kwamba ukijenga unazika pesa siku hizi imeshika kasi baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mtu kufanya jitihada hadi kuwa Dr au Profesa halazimiki kuwajibika kukusaidia kiuchumi au kukutatulia shida zako.

    Kwanza kabisa niwakumbushe kuwa ELIMU haifananishwi na haina mbadala. Hata Fedha sio mbadala wa elimu. Unaweza cheza kamari ukapata hela ila hakuna kamari ya kupata elimu. Mtu hadi kuwa profesa wa chuo kikuu kajitoa na kupambana sana. Sio rahisi. Ni safari yenye machungu mengi. Kama fedha...
  18. JamiiForums Tanzania Umasikini ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa malaya na ombaomba kwenye mahusiano yao.

    Anaebisha aje na hoja ya msingi.. Umasikini ndio chanzo kikuu cha umalaya na kuwafanya wanawake kuwa ombaomba kwenye jamii kwa ujumla
  19. JamiiForums Tanzania Chama kilichosusia uchaguzi kinaachwa vipi kufanya siasa??

    Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wote Wangeruhusiwa kuendelea Kupewa vibali kufanya Mikutano ya Hadhara Majimboni Mwao ili kupokea kero za Wapiga Kura wao na Kutoa Mrejesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…