kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Pato la China ni dogo sana ndio maana Wachina wanakuja Tanzania kufanya biashara ndogondogo

    Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814. Ukipiga hesabu za...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sababu zenye kufanya mwenza wako anakutafuta akiwa na matatizo tu kisha anakuacha ghafla baada ya kumsaidia

    SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji msaada wa kifedha,anahitaji faraja baada ya kupitia huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza ni kwamba...
  3. oooza

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tanzania imewahi kupigana vita ya kiuchumi? Inahitaji kufanya hivyo?

    Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unakuta tu amefika mji fulani kikazi anaanza kusema "duh huu mji una guest houses nyingi". Sasa unajiuliza jamaa akaenda kufanya sex tour ama nini😂

    Wewe umejuaje ni nyingi,😂😂😂 Shauri yako na wakati huu mtakondeana kama mshumaa kwa maana USAID wamed*nda hawatoi mavidonge ya bure
  6. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

    TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao... Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣 Kwa mara...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kuhamasishwa au kuhamasika kufanya kitu ni kama cheche, kinachohitajika ni nidhamu yako juu ya unachikifanya

    Kuhamasishwa au kuhamasika kupitia wahamasishaji "motivational speakers" au njia nyingine yoyote ile ni kama cheche ya kuwasha moto ndani yako na kitakachokufanya uendeleze moto uliowashwa siyo kuhamasishwa ila ni nidhamu yako "discipline" juu ya unachokifanya. Wahamasishaji hufanya kazi ya...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu yenye free WiFi Dar es Salaam, nayoweza kufanya online meeting

    Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting. Naomba suggestions.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

    Hali vipi wana JF! Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu : 👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida, 👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Polisi waanza kuonyesha zana za kupambana na wanaojipanga kufanya uhalifu wakati wa uchaguzi mkuu.

    Hakika jeshi limekuja kivingine, ukiweka ugoko wanaweka jiwe. Hii ni moja ya zana ya kisasa ya kudhibiti wahuni kipindi cha uchaguzi, nyingine bado hazijaonyeshwa. Nasubiri nione dizaini ya rungu, nashauri kule Mbele ziwekewe kama miba miba hivi, ili zikigonga ugoko mtu asikilizie mpaka kwenye...
  14. Intricate

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

    https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  16. W

    JamiiForums Tanzania EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

    Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb. Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2 Mambo yamebadilika ????
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

    Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  19. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Wakuu Natafuta ajira au mchongo wowote wa kufanya

    Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
Back
Top Bottom