kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde

    Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde. Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi upasuaji wa ubongo kwa kutumia teknolojia ya akili unde ‘Brain Lab- Neuro Navigation System’ ambayo husaidia...
  2. JamiiForums Tanzania Fursa kwa madereva wa mabasi na malori kutoka Tanzania kufanya kazi nchini Qatar

    ✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee ungetosha kufanya haya

    Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo. Mpaka sasa Tanzania ina...
  4. JamiiForums Tanzania Imenichukua miaka 3 kufanya utafiti wa hii Style. Imependwa "MAPIGO NA MWENDO" ni one of the best

    Kwa muda nlikuwa kimya nikifanya utafiti wa styles mbalimbali za ujenzi wa Taifa. Taifa linajengwa kwa namna mbalimbali miaka ya uhuru imagine tulikuwa kama Milion 9 hivi. Sasa? 60 plus Milion. Unadhani watu wasingekuwa busy tungefika huko? Anyway mimi si mwanasiasa. Ni miaka kadhaa nimekuwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya

    Wakubwa habari za wakati huu. Kijana wenu bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya ili kukimu mahitaji ya familia yangu. Naelekea kukata tumaini la kuishi kabisa,...Mniombee Elimu yangu Ni ya secondary,na Nina ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ustadi Sana. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya...
  6. JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  8. JamiiForums Tanzania Wasomi mna options mbili tu kwasasa, kwenda VETA au kufanya career development

    CAREER SPECIALIZATION, PROFESSIONAL GROWTH, AND MARKET VALUE The world has changed significantly, and no one will value your education (profession) alone. Employers today do not hire based solely on academic qualifications, although they still look for some connection to professional...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze umuhimu wa kufanya Fumigation sehemu zifuatazo, Nyumbani, Ofisini, Shuleni na kwenye Maghala

    FUMIGATION ina jumuisha mambo mawili 1.Kunyunyiza 2.kufukiza Watu wengi wamewahi kuona FUMIGATION ya kunyunyiza ila hawajui kuhusu FUMIGATION ya kufukiza,,, Hii inasababishwa na ukosefu wa Elim katika jamii kuhusu jambo hili. Kwa mfano kuna watu wengi hupita mitaani na kujinasibisha kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  11. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  12. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  13. JamiiForums Tanzania Epuka adhabu kwa kufanya makadilio kodi kabla ya kuvuka 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mimi sitambui tume huru kama tume itakayoenda kufanya haki au kama tume iliyopo kihalali hivyo kushiriki uchaguzi ni usaliti wa taifa

    Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa uwajibikaji, demokrasia na haki ili kusalia zaidi madarakani kwasababu jina haliwezi kuleta demokrasia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Picha ya ndege kufanya kazi mwisho saa sita usiku

    Nadhani Sisi sote tupo salama wakuu, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 18.03.2025 majira ya Saa nne usiku wakati narudi Kutoka mihangaikoni nikashuka kituoni kwangu Kibaha picha ya ndege. Kutoka picha ya ndege mpaka ninapokaa Pana umbali kidogo kwa hiyo kwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania NIKUSAIDIE KUFANYA HIZI KAZI

    Salaam kwa wanajamvi wote! Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii. 1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo 2) Kukuandalia Pendekezo la mradi wowote na kusaidia kutafuta au kusaidia mchakato wa kupata wafadhili au ufadhili. 3) Kukufanyia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mnapowalaumu wachina kufanya biashara Tanzania, msisahau kujilaumu na nyie kwa kuzubaa katika dunia iliyochangamka!

    Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza! Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku wanaenda kufanya kazi gani? Vipi mnaolalamika,mmewahi kusikia watu wa huko wakilalamika kuwa watanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

    Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi? Unafanya nini kustahimili muda mrefu?
  20. JamiiForums Tanzania Je, kama Simba wangeruhusiwa kufanya mazoezi, TPLB Ingeahirisha mchezo kisa usalama na rushwa?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…