Bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya

Bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya

Baba AY

Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
5
Reaction score
11
Wakubwa habari za wakati huu.

Kijana wenu bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya ili kukimu mahitaji ya familia yangu.

Naelekea kukata tumaini la kuishi kabisa,...Mniombee

Elimu yangu Ni ya secondary,na Nina ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ustadi Sana.

Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali, Naombeni mniunganishe/mnisaidie na kazi au nielewesheni niende viwanda gani vinavyotoa ajira Kila siku.

Asante Sana, Nipo Dar es salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom