NIKUSAIDIE KUFANYA HIZI KAZI

NIKUSAIDIE KUFANYA HIZI KAZI

The BornAgain

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
463
Reaction score
647
Salaam kwa wanajamvi wote!
Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii.
1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo
2) Kukuandalia Pendekezo la mradi wowote na kusaidia kutafuta au kusaidia mchakato wa kupata wafadhili au ufadhili.
3) Kukufanyia study ya taasisi yako na kukuandalia mpango mkakati wa miaka 3-5 nikipendekeza namna ya ufuatiliaji na utoaji tathmini ili kufanikiwa malengo mapana na mahsusi.
4) Kukuandalia ANDIKO lolote la kimkakati katika kufanikisha malengo yako kwa kadri ya shughuli zako.

Kwa mahitaji ya namna hio tafadhari usiache kufanya kwa kuogopa gharama, wasiliana nami kwa whasap tujadili hitaji au wazo lako..kisha tujue uwezekano: 0786094141
 
Nenda veta tuuu haiwezekan mtuu ataabike kutafta ela alafu wewe uje umuandalie mipango ya matumizi ya ela yake 😂 kwenda uveta kunafani mpya ya business analysisi in domestic installation
Haaah..namimi veta nilishaendaga kitambo..
 
kuna mradi wowote unaoutekeleza kutokana na maandiko yako mwenyewe nipate kujifunza?
Yapo mengi tu ni vile siwezi kugawa tu. Elewa maandiko mengi ni mali ya mwenye wazo au mwenye mradi. Kujifunza ndio mana hata kwenye sample hawakupi uhalisia ila elements na mtiririko kimantiki
 
nilichouliza ni tofauti na ulichojibu! je kuna mradi unaoufanya kutokana na andiko lako?
 
Mimi nawaandikia..wanafanya na akiwepo anayetaka nisimamie yaliyoandikwa, nafanya na sasa ninao mradi ninaosimamia Strategic plan ya 5 yrs.
 
Bado tuko pamoja na wanajamvi wote!
Kwa ajili ya huduma kazi kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii.
1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo (wewe unaye amini mchakato huu ni muhimu kwa harakati zako za maendeleo)

Back
Top Bottom