kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kaputula

    JamiiForums Tanzania Eti mtu anasifu mama kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam ni mfano wa uwezo kufanya maamuzi magumu.

    Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ni Aina Gani ya Watu Wanatakiwa Kufanya MATANGAZO YA KULIPIA? (Meta Ads – Facebook & Instagram)

    1. WAFANYABIASHARA WADOGO Unauza nguo, viatu, chakula, vipodozi, electronics, 👉 Kama unataka kuuza zaidi ya watu wa mtaa wako, unahitaji matangazo ya kulipia. 🟢 Ads zitakusaidia kufikia maelfu ya watu wanaohitaji bidhaa zako, unaweza kufanya hata bila kuwa na duka! 2. MACHINGA & MADALALI Wewe...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Panya 100 Wafuzu, waenda Ughaibuni kufanya kazi

    Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kupitia mradi wa kufundisha wanyama (APOPO) hususan Panyabuku wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), panya 100 wamefundishwa na kufuzu na kupelekwa nchi mbalimbali. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo...
  6. Half american

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na changamoto za kufanya kazi chini ya wahindi, wasomali &waarabu?

    Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu. NB: No place for racism
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mwezi na nusu tu wa kufanya siasa!

    Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
  8. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

    1.mbeya najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane 2.Iringa huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha 3.Katavi 4.Njombe 5……
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Heri tukose misaada kuliko kuamrishwa nini cha kufanya na Ulaya

    Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo. Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia...
  10. SPONSA

    JamiiForums Tanzania MDAs na LGAs afisa hesabu wasaidizi (assistant account officer) hatujui hatma yetu kuhusu kufanya interview???!

    Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote...
  11. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa

    Kwa tu misaada yao kwetu ambayo ni kiduchu sana kisichofikia hata TSH trillion moja kwa mwaka, hizi nchi za EU zinatuhesabu sisi bado ni koloni lao na maamuzi ya mahakama zetu zinapaswa kufuata maelekezo yao. Hawatambui sovereign yetu. Rais wetu alishawakemea kuhusu jambo hilo. Hata rais wa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Jeshi la Polisi lawakamata Wakimbizi 25 na kuwafikisha Mahakamani kwa tuhuma za kufanya vurugu

    Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia, ufafanuzi umetolewa kuhusu tukio hilo Kama hukusoma kuhusu...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Derby ya June 15 itahairishwa tena ikiwa mabaunsa wataizuia Simba kufanya mazoezi?

    Moja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi? Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania CAG: Transfoma zenye uwezo mdogo kuliko zilizoainishwa zilinunuliwa na kufungwa bila kufanya tathmini ya mahitaji ya Umeme

    REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vingeweke nguvu kwenye mabadiliko ya kiuchaguzi ili muweze kufanya ushindani wa kweli na kujenga demokrasia

    Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo. Kwanini vyama vya kisiasa...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolalamika wanaume wanamaliza haraka mnataka tuwaeleweje?

    Mtu analalamika eti wanaume wana haraka katika kufanya tendo, ila mtu huyo huyo yeye ana haraka ya maisha kupelekea kukuacha wewe ambaye bado una hustle. Kwa sisi mabaharia ile haraka huwa ni munkali wa stress zilizopo kichwani za kuambiwa turudi veta plus nauli ulizokula hapo nyuma. So kila...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Watahiniwa 134,390 kufanya Mitihani ya Kidato cha Sita kuanzia leo Mei 5 hadi 19, 2025

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita, huku 10,897 wakitarajiwa kufanya mtihani wa ualimu kuanzia Mei 5 hadi 19, 2025 katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
Back
Top Bottom