Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF ,
Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako ,
Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni...
Wadau Kila mtu ashawai kusimuliwa biashara fulan na faida inayopatikana ila alipojaribu alikutana na moto wa hatari , Ugumu , kukata ela , kupoteza ramani kabisa. Naomba tuelezee hapa chini biashara gani uliwahi kuifanya ikakutokea pabaya 😅😅 ???
Kwenye news kubwa za leo, limetokea jambo si la kawaida.
Mheshimiwa ameghadhibika vibaya mno kuambiwa laivu na Mbunge wa Kisesa kwamba wewe sisi huku tunakudai, na wanaosema hawakudai leteni hela zao huku kwetu tufanye maendeleo. Mheshimiwa Mwenyekiti amemkata jina Mbunge Mpina na kusema...
Heshima yenu wakubwa.
Naomba kuuliza kama kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks (kubwa/nyingi) kwenye kufanya biometrics wakati wa kushughulikia passport?
Pia kwenye kujaza form online, kwa mtu ambae mzazi wake alizaliwa 1950s na hana cheti cha kuzaliwa ila ana kitambulisho cha uraia, kwenye...
Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni.
Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia...
Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli!
Wewe ni Mwanaume, sasa ni Baba. Usiwe dhaifu kiasi cha kufanya vitu ili kutafuta validation kuwa wewe ni...
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Leo kuna usaili wa nafasi ya admission officer ii utumishi,nafasi ni 2 watu tulioitwa ni 7500.
Hapa nipo nawaza,kama tra iliyohitaji watu wengi nilikosa,hii ya kuhitaji watu wawili ntatoboa kweli?
Kuna haja ya kujisumbua kwenda huko kwenye written kweli au niendelee zangu kupiga mbonji tu?
Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga.
Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
Wadau hamjamboni nyote.
"Niliambia upande mwingine, nilisema, una siku 60 za kufanya makubaliano. Siku ya 61, walishambulia. Leo ni 61 kweli, na lilikuwa shambulio la mafanikio," Trump aliambia WSJ. “I told the other side, I said, you have 60 days to make the deal. On the 61st...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii!
Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja!
Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani!
Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.