kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mdada wa Kufanya kazi Barbershop - Mazingira ya kazi ni mazuri

    Anahitajika mdada anayejua vizuri huduma za salon, Kindly check me inbox
  2. L

    Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  3. M

    Huyu mtu hafai atakutesa sana na kufanya usione thamani yako

    1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye 2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO 3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
  4. Mwizukulu mgikuru

    CCM ilipofikia ipo tayari kufanya lolote ili Tu iendelee kuwepo madarakani

    Nadhani ndugu zangu Wana jamii forum mnajionea kwa Haya yanayoendelea..mwanzoni ccm walijificha kwenye kichaka Cha 'amani" amani' amani" waliiminya haki huku wakiimba wimbo wa amani na yeyote yule ambae alionekana kuidai haki moja kwa moja alionekana ni mvujifu wa amani. Sasa gia hii kipindi...
  5. The redemeer

    Pesa ni matokeo ya kufanya kile upendacho

    Pesa ni matokeo ya kufanya kile upendacho kutokana na talanta ulizopewa,kila mtu akitambua kipawa chake na akakitumia kwa faida ya wengine tatizo la ajira litatoweka, mabadiliko ya maisha yako ni wewe na sio CCM, CHADEMA, serikali, mzazi, connection nk haya ni matarajio na matarajio sio kitu...
  6. Genius Man

    Raisi samia utulivu unao hamasisha hauwezi kufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki lazima mabadiliko ya kiuchaguzi yafanyike kwanza

    Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki. Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
  7. M

    Ushauri: Kila ninapoanza kufanya jambo lenye manufaa kuna hali inanitokea ya kukatisha tamaa

    Habari watanzania wenzangu poleni na majukumu na hali ya kisiasa ambayo haina afya kwa taifa huru kama tanzania. Nimekuja hapa jukwaani asubuhi hii kwa lengo moja tu la kutaka kushauriwa juu ya mwenendo wa misha yangu ambao unanipa sintofahahamu juu ya atma ya maisha yangu. Kiualisia mimi ni...
  8. Mr Why

    Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu?

    Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza Hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu? Kuna mkanganyiko wa habari kuhusiana na mpango wa CHADEMA kwenda Mahakamani, je Wananchi tushike lipi kati ya CHEDEMA kwenda Kusikiliza hukumu ya Mwenyekiti Tundu Lissu au kwenda kufanya vurugu?
  9. M

    Ndugu zangu watanzania kwaherini, naenda zangu Palestina kufanya biashara ya vyuma chakavu!

    Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
  10. 05CUBA

    Just for fun: ni ujinga gani hata ushikiwe bastola kichwani huezi acha kufanya ???

    Mimi nimefeli kuacha kutandika mikeka wazee ... Yan napata hasara Ila nikisipotandika mkeka siwez kula Wala kulala.
  11. Just Pray

    PreGE2025 Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara

    Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa...
  12. B

    Mbunge: Kama CCM imejenga mahospitali, reli na yote inayosema kufanya, kulikoni kuogopa Tume Huru?

    Mdogo mdogo mama anaendelea kufikiwa: Kwamba ni nani asiyeweza kuelewa umuhimu wa mwamuzi huru? Ni Kailima, Mama, Muliro, Majaliwa au Tulia? Hii nchi mbona ni yetu sote?
  13. ELI COHEN

    Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  14. kipara kipya

    Tff mnapuuzia bila kufanya uchunguzi kocha matano wa fountain gate amewafungulia njia yanga wanapanga matokeo....

    Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu...
  15. X

    China na Marekani zinatumia mifumo tofauti ya kufanya hesabu za GDP. Kuna uwezekano mkubwa GDP ya China ni kubwa kuliko ya Marekani.

    Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports. Na GDP ya China huwa haihesabu...
  16. U

    Anahitajika dada wa kufanya kazi saloon Dodoma

    Anahitajika dada au mkaka wa saloon anaejua kusuka mitindo yote vizuri, kufanya Makeup, kushonea weavings, kubond n.k Kama Yupo tafadhali anichecki: Inbox Eneo la kazi ni Makulu. NB: Salon ni mpya hivyo anahitajika mtu ambae ana uzoefu na asiwe anakaa mbali sana.
  17. stabilityman

    Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation

    Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation Mziki Movie Mochezo Uchoraji Media n.k Hivi vitu vinatumika sana tuweni makini kuna watu wanakaa wanaamua watu wengine wawaje wavaaje tena pasipo kukulazimisha
  18. C

    CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
  19. C

    Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

    Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry. Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek! Ni napenda niwaulize hao wachambuzi,Je walichukua muda wao kutafiti matokeo ya hivi karibuni kati ya...
  20. Killing machine

    Kataa kufanya kazi na boss was namba hii

    Watanzania wengi maisha yetu hatuishi kwa kujiajili wengi tumeajiliwa na waajili Lakini katika kuajiliwa huko wapo ambao wameajiliwa na watu sahihi lakini wapo ambao wameajiliwa na watu wasio sahihi Sasa Basi Kuna watu hawafai kabisa kufanya kazi chini yao labda uwe hauna jinsi naa hata Kama...
Back
Top Bottom