kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mstahiki Mea

    Unalipwaje dollar laki moja kwa kufanya kazi 4?

    Nilikuwa napita huko upwork nimeshangaa sana japo sijui hiyo kazi ina ukubwa gani lakini malipo ni yakushangaza ,, mtu kafanya kazi 5 au 10 lakini ukiangalia malipo yake ni balaa,, em tupeni mbinu
  2. Genius Man

    Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza

    Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza. Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
  3. Roving Journalist

    BASATA: Mwisho wa Ma-DJ, na MC kufanya kazi bila kujisajili ni Januari 31, 2026

    TAARIFA KWA UMMA WAONGOZA SHEREHE, BURUDANI NA MATUKIO (MC), MANJU MUZIKI (DJ) NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 31 JANUARI, 2026. 29 Disemba, 2025 Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali...
  4. Big Nyota

    Natafuta connection ya kwenda kufanya kazi nchi za ulaya kama(Germany, Denmark, Norway Sweden, Finland au Australia)

    Wakuu wasalaam!! Bila kuwapotezea muda kama kichwa kinavyojieleza Mimi ni kijana mpambanaji ambaye nina uchu na mafanikio, mpaka nimefikia kuleta Uzi humu Nina Nia ya kwenda kutafuta maisha huko Ulaya. Mpaka kufikia uamuzi huo ni kwa sababu ya changamoto ya ugumu wa Maisha hapa nchini, Sasa...
  5. J

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali? Udalali ni nini Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
  6. Nyankurungu2020

    Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwanini madereva wanaogopa kufanya kazi kampuni ya Asas?

    Kampuni pekee ambayo Ina magari mengi lakini madereva wanaogopa kufanya kazi. Dereva yupo radhi akae bila kazi kuliko kufanya kazi ASAS. Kwanini?
  8. Think2

    PostGE2025 Wasanii fanyeni kazi msitusumbue wananchi tuko bize kulikomboa taifa

    Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi. Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube tukasikilize ushuzi, machawa Pro max, show za ndani zimebuma na bado wananchi hatutasiliza nyimbo zenu...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    Ukiondoa Droid VPN, ni VPN gani nyingine ambayo iliendelea kufanya kazi October 29 na kuendelea?

    Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema...
  10. R

    Askofu Nkwande: Waliotufungia ndani ni wenzetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu

    Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu". Nkwande aliyasema hayo wakati wa ibada maalumu ya kuwaombea waliouawa...
  11. Genius Man

    Jeshi lililofanya mauaji ya watu halipaswi kuendelea kufanya kazi ya kuwakamata wahalifu ikuwa lenyewe ni wahalifu namba moja

    Jeshi lililofanya mauaji ya watu halipaswi kuendelea kufanya kazi ya kuwakamata wahalifu ikuwe lenyewe ni wahalifu namba moja
  12. Scared

    Siwezi kuandamana kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na JWTZ

    Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani Sasa najiuliza JWTZ huwa wanalinda mipaka gani mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanaingia, halafu eti...
  13. secretarybird

    Hawa Flashscore kudadeki zao, kama wameshindwa kufanya kazi zao waache.

    Angalia hawa nyumbu Flashscore, eti wanaonesha Simba amefungwa wakati gemu bado ni zero-zero. Moderators wao sijui amekunywa chang'aa, au anavamiwa nyuma kwa pupa.
  14. ndege JOHN

    Chagua nchi Moja ya kufanya kazi kati ya Misri, Israel,South Africa, Brazil au Indonesia

    Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
  15. M

    Sifurahii kufanya kazi na natamani kuacha kazi kwasababu hapa ninapofanyia kazi incharge nimemzidi GPA na yeye ana elimu ya kuunga unga

    Serikali iangalie hili swali aisee haiwezekani mtu ana GPA ya kuunga unga nahisi jamaa GPA yake iko below 4.5 na mimi GPA yangu ni kubwa sana yaani katika hapa ofisini hapa mimo ndiyo nina ufaulu wa juu sana yaani ufaulu wa juu mpaka kufulu sasa huyu incharge nimemzidi kwa kila kitu kwanza elimu...
  16. stakehigh

    Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

    Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali, "Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena" nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
  17. Webabu

    Yuko wapi yule kibaka aliyetumwa na mayahudi kufanya kazi iliyowashinda?

    Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina. Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma, Kwa kumbukumbu zangu...
  18. youngkato

    Top Tools tunazotumia Victoria Agency company kufanya kazi zetu.

    TSH Rates Kila siku TSH Rates inanipa foreign exchange rates za benki za Tanzania. Kama unafanya biashara kimataifa najua unajua umuhimu wa taarifa kama hii—kujua thamani ya fedha kunakupa uwezo wa kupanga bei zako vizuri na kuhakikisha haufanyi maamuzi ya kibiashara gizani. Atlas Kupitia...
  19. Kipenzi Changu

    Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

    Login • Instagram "Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba, So hapa nilipo nasubiri mkataba wa Mzize wakishampa ananipatia tunarekebisha Baadhi ya...
  20. Hismastersvoice

    Zimamoto kufanya kazi ya uokoaji kwenye migodi ni mzaha, uachwe

    Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka...
Back
Top Bottom