Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani
Sasa najiuliza JWTZ huwa wanalinda mipaka gani mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanaingia, halafu eti...
Angalia hawa nyumbu Flashscore, eti wanaonesha Simba amefungwa wakati gemu bado ni zero-zero.
Moderators wao sijui amekunywa chang'aa, au anavamiwa nyuma kwa pupa.
Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
Serikali iangalie hili swali aisee haiwezekani mtu ana GPA ya kuunga unga nahisi jamaa GPA yake iko below 4.5 na mimi GPA yangu ni kubwa sana yaani katika hapa ofisini hapa mimo ndiyo nina ufaulu wa juu sana yaani ufaulu wa juu mpaka kufulu sasa huyu incharge nimemzidi kwa kila kitu kwanza elimu...
Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali,
"Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena"
nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina.
Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma,
Kwa kumbukumbu zangu...
TSH Rates
Kila siku TSH Rates inanipa foreign exchange rates za benki za Tanzania. Kama unafanya biashara kimataifa najua unajua umuhimu wa taarifa kama hii—kujua thamani ya fedha kunakupa uwezo wa kupanga bei zako vizuri na kuhakikisha haufanyi maamuzi ya kibiashara gizani.
Atlas
Kupitia...
Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka...
Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP.
Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi.
Sijapenda. Ukiwauliza...
ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI?
Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi.
Full...
Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe.
In short don't trust politicians hasa ukiwa smart .
Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili.
Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
Joseph Gwajima
Luhanga Mpina
Hersi Said
Arafat Haji
Byabato
Mpango
Majaliwa
Polepole
Lissu
Heche
Butiku
Warioba
Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why?
Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma!
Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform...
Kuna jamaa namshangaa baba Zima eti kazi linalofanya malipo laki na hamsini Kwa mwezi yaani kabisa unaaga familia Yako asubuhi kwamba unaenda kazini kutafuta maipo laki na 50 ndio maana Kila siku jamaa linalalamika mke wake anamsaliti huku wahuni tunaichapa Kwa njaa za mke wake
Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais.
Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
Imagine,sasa hivi wenzetu wa government wanawaza mshahara wa mwezi wa 7,sisi huku kwa wachina hatujalipwa mpaka leo tarehe 5 mshahara wa mwezi wa 6.
Private bongo ni zaidi ya matatizo.
Kama umehitimu chuo kikuu au una certificate kutoka chuo au taasisi yoyote ya elimu ya juu, huu ni wakati wako wa kuchukua hatua ya kujiingizia kipato kupitia kazi za kuajiriwa mtandaoni.
Kazi zipi unaweza kufanya
2. Mahali pa kuzipata
3. Jinsi ya kujiandaa
4. Na mbinu za kushinda ushindani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.