kufanya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  2. K

    SoC01 Unataka kusafiri nje kikazi au kufanya biashara? Zingatia yafuatayo;

    Maisha ya ajira nchini yamekuwa magumu lakini tambua Dunia ni kijiji. Ukiwaza kufanya kazi popote Duniani Ni tofauti na mtu anayewaza kufanya kazi popote Tanzania. Wapo watu wamehitimu shahada ya kwanza lakini awajui wanawezaje kuvuka vipi mpaka. Wapo wenye masters lakini ukiwauliza kuhusu...
  3. Inck

    SoC01 Sababu za partnership kufeli katika biashara na mbinu za kutumia ili kudumisha ushirika katika kufanya biashara

    Habarini wanaJamiiForums Ni imani yangu mko salama. Leo napenda kuangazia suala zima la collabo au partnership katika kutafuta mitaji. Kutokana na ugumu uliopo katika kupata mtaji wa kuanzishia biashara, hasahasa kwa wahitimu wa chuo, collabo baina ya watu wawili au zaidi inakuwa ni moja ya...
  4. B

    SoC01 Fahamu fursa ya kutumia bussiness whatsapp kufanya biashara

    nawasalimu wote katika jukwaa hili la JamiiForum Nitazungumzia bussiness whatsapp kama nyanja muhimu ya kujiingizia kipato Mtandao wa whatsapp umekuwa ukipata umaarufu kila kukicha kwasababu unakua kwa kasi kila siku Kutoka kwenye status za kuandika mpaka status za picha na video. Kutoka...
  5. Suley2019

    Zanzibar: 25 matatani kufanya biashara bila leseni

    Watu 25 wakiwamo mameneja mauzo wa baa wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kufanya biashara bila ya leseni katika operesheni iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Vileo Zanzibar, Abdulrazaki Abdulkadiri na askari waliokuwa na silaha Watuhumiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu wa...
  6. King Loto

    Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

    Wanajamii, Salam Alleykum na Bwana Yesu asifiwe sana. Hivi mbona wasambaa na watu wa Tanga wengi wako hapa mbuyuni, soko manyema, Dar Street, mtaa wa Ismail tena wasomali kama wote, TPC kuna hadi Wanyaki wa Mbeya japo kule ni Moshi Vijijini, watumishi wengi hapa Moshi sasa hivi ni watu wa kanda...
  7. Mstahiki Mea

    SoC01 Unavyoweza kufanya biashara bila mtaji

    Picha na mtandao Usuli Biashara ni kitendo cha kubadilishana huduma au mali kwa fedha au huduma kwa huduma. Kwa kawaida kumekuwa na dhana kuwa ili mtu aweze kuanzisha biashara yeyote nilazima awe na mtaji au fedha ya kuanzishia biashara hiyo. Jambo hili limekuwa gumu sana kwa watu hasa...
  8. V

    Biashara in shughuli yoyote ile inayofanywa kwa lengo la kupata faida

    BIASHARA Biashara in shughuli yoyote ile inayofanywa kwa lengo la kupata faida SIFA ZA MFANYABIASHA 1.kufutilia mwenendo mwenendo was bei 2.kuwa na uhakika na huduma kwa wateja ,kutoa bei nzuri kwa wateja 3.kukusanya taarifa za mwenendo wa wateja 4.kupokea haraka mrejesho na...
  9. monga farm

    Kufanya biashara kipindi hiki ni kigumu kuliko kwenye madaftari

    Habari za leo ndugu,natumaini u mzima. Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila vitu vipo juu sana kiasi kwamba unabaki kushangaa nchi inaenda wapi na viongozi wanafanya nini zaidi...
  10. M

    Pata faida kwa kufanya biashara ya Maziwa mtindi

    ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI. Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa kutumia fursa hii adhimu inayoweza kuongeza kipato zaidi katika maisha. Maziwa ni malighafi ambayo...
  11. Grahams

    Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  12. Avatar

    Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

    Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀
  13. kidereko

    Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakatia akifungua mkutano mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo...
Back
Top Bottom