kufanya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. wa kibondemaji

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kielimu au kufanya biashara? Lengo ni kujikwamua kiuchumi

    Habari wana-JamiiForums, Nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa serikali tangu mwaka 2023 nikiwa kama afisa tabibu (clinical officer). Nimeleta uzi huu kwenu nikiomba ushauri kuna mambo kama mawili natamani kuyafanya la kwanza ni kujiendeleza kielimu na la pili ni kufanya biashara vyote nikiwana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu kufanya biashara na mashirika ya serikali Tanzania

    Kama mfanyabiashara wa Tanzania nikiwa na uzoefu wa takriban miaka 15, naomba nitoe uzoefu wangu kwa watu wanaotamani kuanza biashara zao wakilenga kupata tender za serikali kama source kubwa ya kipato. Kila mteja ana changamoto zake kama wewe ni mfanyabiashara huitaj degree kujua ili, lakini...
  3. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara kunafikirisha sana hasa ukiwa na mtaji mdogo unahitaji uwe na back-up usogee

    Nimekaa nikatafakari sana haya maisha kila biashara nikipanga niifanye naona mtaji haukidhi yaani hautoshi. Naona dhahiri kabisa naenda kuanguka maana life mtaani ndio usiseme hakuna hela na mzunguko umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya watu wanaofanya biashara. Niliwaza nifanye biashara ya...
  4. Mfugaji123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  5. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya maua haya ya bandia, una nini cha kunishauri?

    Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini? Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara? Nahitaji ushauri 1. Biashara ikoje? 2. Kuagiza nje na kununua jumla hapa bongo ipi bora? 3. Wateja ni kina nani hasa? 4. Faida yake
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Narudia tena akili ya mbantu haiwezi kufanya biashara. Graphic designer kadengua kazi ya zaidi ya laki 5 then baadae anaitaka tena

    Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha. Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
  7. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kufanya biashara ya Familia kwa wakristo, biashara za Familia tuwaachie waislam?

    Biashara huwa zinarithishwa kwa watoto hasa wa kiume wanaoendeleza kizazi lakini kwa wakristo hali ni tofauti, Baba akifa nusu ya mali zinaenda kwa mke ambae anaweza akawa hajui chochote kuhusu biashara, hapo ataona heri auze biashara ili apate pesa za kuendeleza huko kwao na akatoe sadaka kwa...
  9. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Dagaa Tunduma bei ya jumla pitia hapa

    Habari ndugu zangu. Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa. Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani. KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE. Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani

    Ni wazi kabisa bila kupepesa macho lengo kuu la wazazi wa Tanzania ni kusomesha mtoto ili aje kupata ajira serikalini. Ajira zinazidi kuwa adimu sana, wanafunzi wengi wanahitimu vyuo na vyuo vipo vingi sio kama zamani, wahitimu wamekuwa wengi sana lakini ajira haziongezeki. Wanaoajiriwa ni...
  11. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Mhagama: Wafanyabiashara wengi wanashindwa kufanya biashara nje ya Nchi kwa kuwa hawana Dola, hili ni tatizo kubwa

    Wabunge wamechangia kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2024/2025 pamoja na muongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti Mwaka 2024/2025, leo Novemba 7, 2023. Akichangia hoja, Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama amesema Wafanyabiashara wengi wakubwa...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere atoa ushauri kwa serikali na TISS zianze kufanya biashara ya taarifa za kijasusi

    Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye Channel ya YouTube ya Simulizi Na Sauti (SNS) kati ya Sky Walker, DJ Smaa na Yericko Nyerere. Nguli wa uchambuzi wa mambo ya Siasa na uchumi wa kivita na ujasusi, Yericko Nyerere amesikika akiishauri Serikali ya Tanzania na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)...
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

    Swali mezani: Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza? In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara na mkeo inachekesha na inapendeza

    Nimefanya biashara kwa miaka kadhaa. Nimefanya na watu mbali mbali wake kwa waume, ninaowajua kwa sura na wengine kwa mawasiliano pekee. Nimefanya na wa masafa ya mbali na majirani pia. Kati ya biashara zote hizo biashara niliyoona ni ya kipekee sana na zile nilizofanya na wake zangu. Kumbuka...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe amjibu Tundu Lissu kuhusu Wabunge kufanya biashara ya pamba, amwambia 'Mbona Mwenyekiti wake alikuwa Mfanyabiashara na Mbunge'

    Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba. Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia. Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza...
  18. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu. Sasa nilipofika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

    Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini. Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapata leseni kufanya biashara Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

    Kinshasa DRC 2 Mei 2023 – Benki Kuu ya Congo (BCC) imeipatia leseni ya kufungua kampuni tanzu nchini humo Benki ya CRDB. Leseni hiyo imekabidhiwa leo katika mkutano maalum kati ya BCC na ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha wa Kundi, Fredrick Nshekanabo. Akikabidhi leseni...
Back
Top Bottom