Wakuu
Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja)
1. Kodi ya Frame – Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara.
2. Kodi ya TRA – Kodi ya mapato au VAT inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
3. Leseni ya Biashara –...
1. Kuwa na TIN kutoka TRA
Moja ya vigezo vya msingi kabisa ni kuwa na Hati ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN ni ushahidi rasmi kwamba biashara yako imetambuliwa kisheria kama inayopaswa kulipa kodi. Bila TIN, huwezi kusajili biashara yako...
Unataka biashara yako itambulike kisheria, iaminike na ufanye biashara yako bila wasiwasi? Basi LESENI YA BIASHARA ni kitu cha lazima kwa mafanikio yako!
Na kwa sasa TUNAKUPA OFA YA KUPATA LESENI KWA HARAKA NA GHARAMA NDOGO SANA
Kwa nini Leseni ya Biashara ni Muhimu?
1. Unatambulika kisheria...
Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu) mfano kwa Masaa 12 kwa Sh 1000 au 500 kwa masaa 6 n.k
Hivyo ni hatua gani za Kufata kwa kuanzia na eneo...
Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia...
Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
Madalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni mahaba😀
Hakuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake sio risk taker, wengi ni waoga ingawa...
Habari wakuu.
Unaweza ukawa una wazo(idea)+mtaji(capital) lakini hauelewi uanzie wapi au haujui ni biashara gani ufanye ikupe matokeo mazuri pia (place)location gani nzuri au kuna wengine wanatamani kuja kariakoo na hawajui waanzie wapi maana wanasikia kuwa kariakoo fremu bei juu, wanasikia...
Wana jf
Nina swali kuhusu kuendesha biashara hasa unapokua umeoa!!
Ni njia ipi italeta ufanisi wa biashara bila kuathiri ndoa yenu
Kumpa mtaji afanye yake
Kumfungulia biashara yake umuachie
Kufungua biashara yeye asimamie
Kufanya biashara sio issue ngumu sana, wala sio issue nzito issue inakuja moja ni masoko, unaweza kufungua duka la phone and accesories lakini ukakosa wateja, unaweza ukafungua biashara yoyote ile, iwe nafaka au chochote kile, simply ukakosa wateja, watu wanajazana kwa waganga sio kwamba hawana...
Nina imani sote humu tuko njema.
Niende direct, kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wenye umri kati ya 7-14 wamezagaa sana mitaani mkoani Kigoma hasa Kigoma Mjini
Hii nadhani ni tatizo kubwa linahitaji dawa, vijana hawa umri wao ni wa kuwa shuleni lakini muda wote wapo mitaani, stand za...
1.mbeya
najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane
2.Iringa
huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha
3.Katavi
4.Njombe
5……
Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu
Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu
Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika.
Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)
Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe.
Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja.
Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo.
Siri ya biashara inayojiendesha ni...
Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza!
Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku wanaenda kufanya kazi gani? Vipi mnaolalamika,mmewahi kusikia watu wa huko wakilalamika kuwa watanzania...
Habari wana JF it's another beautiful day.
Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies.
More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!)
China imposes retaliatory tariffs on...
Habari Wana JF; Nahitaji kufanya biashara ya kuuza mbao changamoto niliyonayo ni mtaji wangu mdogo je naweza kupata mkulima wa mbao wa kushirikiana nae? au mtu mwenye mtaji na nitakuwa nasimamia biashara na kugawana faida
Pia naombeni ushauri kwa wazoefu wa hii biashara namna bora ya...
Hizi ndo hints;
1. Wengi wao wanahali mbaya
2. Wengi wao hawana ela
3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa
4. Wengi wao ni walalamishi.
5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.