kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko! Najua humu kuna wengi tu...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kufahamu desktop computer ya kawaida sana kwa kazi za video editing

    Salam ndugu zanguni. Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya. Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua...
  3. JamiiForums Tanzania Jamani nahitaji kufahamu dawa yakung'arisha meno

    Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu oil ya gear box ya Toyota Sienta na bei yake

    Naomba kujua bei ya oil ya gear box ya Toyota sienta, Pia nikiwasha gari nyakati za asubuhi au injin inapokuwa imepoa huwa inatoa muungurumo wa juu kana kwamba nimekanyaga mafuta... Kisha baada ya dk 1 inatulia. Msaada tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Wajuaji naomba kufahamu je board ya engineering inaundwa na majina gani?

    Habari wadau! Nilikuwa nataka kujua je board ya wahandisi au engineering (ERB) inaumdwa na watu wangapi na majina yao kama yapo..! Je yule mzee Dokta wa Civil engineering pale Kilimani mwenye kuingia na camera kama camera man ili ukicheat tu anakupiga picha anaposimamia mithiani yupo kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Mwongozo mwenye kufahamu soko la ruby (gemstone)

    Habarini za mchana wanaJF! Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa soko la uhakika la ruby Tanzania.
  7. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufahamu unapojiandaa kubeba Ujauzito

    Vipimo na tafiti muhimu kufanya kabla ya kupata ujauzito Ikiwa umeamua kufanya vipimo vya awali kabla ya kupata ujauzito, mtaalamu wako wa afya au nesi anaweza kukuliza kuhusu: Kazi yako-atakuuliza kama kazi yako inahusisha kufanya kazi na vitu hatari Kama una tatizo na siku zako za hedhi Hali...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

    Wakuu naomba kujua bei ya hii pikipiki ikiwa bado mpya kabsa kwa hapa Tanzania naipenda kuliko hata gari
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu majina ya hawa samaki wa ziwa Tanganyika naomba anisaidie

  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kiwandani

    Habari yako, Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua. Asante sana.
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu hotel nzuri Mwanza

    Nataka kwenda Mwanza for personal issues. Naomba kufahamu the best hotel, located at the beach front na ambayo ina big rooms, madirisha makubwa facing the beach. Price siyo tatizo. Umbali kwenda mjini au airport siyo tatizo pia. Shukrani sana.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu ARV

    Naomba kufahamishwa kwamba ni kweli mgonjwa akisha anza kutumia ARV hawezi kuambukiza ugonjwa?? Kuna jamaa hapa mtaani kaathirika ila anatumia ARV kwa muda na ukimuona afya yake iko imara. Shida huyu jamaa anatembea na watoto wadogo wadogo ila nasikia kwamba sababu anatumia ARV basi hawezi...
  13. JamiiForums Tanzania Masters zenye soko kwa mtu mwenye BAEd ni zipi?

    Naomba kufahamu kwa mwenye BAEd ni masters degree gani zinafaa zaidi ili kwenda na soko la ajira? GPA 3.5
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu dawa ya kuzuia NDEVU kuota haraka

    Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa. Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema muisrael. Kwa yeyote anaye fahamu dawa ya kuzuia ndevu kuota kwa haraka ama kuzuia zisiote kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…