Jamani nahitaji kufahamu dawa yakung'arisha meno

Jamani nahitaji kufahamu dawa yakung'arisha meno

Drc congo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
638
Reaction score
2,917
Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
 
Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
Onana na Dentist hiyo ndo kazi yao.
Angalia kama huyu yalivyokua na yalivyo baada ya kusafishwa.

Kwa upande wangu wakati wa kupiga mswaki,baada ya kutumia dawa nachukua jivu kidogo naweka kwenye mswaki then nasugua meno.Nafanya hivi mara 2 tu kwa wiki,hii imesaidia sana kuwa na meno meupe yenye kung'ara
 
Back
Top Bottom