kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. King snr

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo. Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu. Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea. Thread hii hapa: Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa? Miaka mingi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili la Joel ( Joe ) na Kujirusha Kwake hadi Kufa Ghorofa la DERM Makumbusho linaanza kunipa Mashaka Kifikra na Kimtizamo

    Kauli ya Mlinzi kuwa Marehemu Joe alimwomba aende Msikitini Kuswali imenichanganya. Hivi kumbe akina Joel ( Joe ) huwa ni Waislamu? Kauli ya Mkewe kuwa Mumewe aliwahi kumwambia anataka Kuongeza Mke wa Pili na akamkatalia ndipo Mzozo ulipoanza ndiyo imenichanganya zaidi. Hivi kumbe Siku hizi...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Nilivyonusurika kufa kwa kujirusha Jengo la Mwanjonde, Malimbe Cumpus

    Ni miaka kadhaa imepita baada ya kunusurika kujitoa uhai wangu. Chanzo cha hayo yote ni maisha duni Niliyoyapitia kipindi nipo pale cumpus, nilikuwa naipambania Diploma yangu ya kwanza. Sasa baada ya kukosa msaada home yani kama nilisuswa hivi hasa ikanibidi niingie mtaani kusebenza nipate...
  4. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke wa kufa na mwanaume mmoja wala mwanaume wa kufa na mwanamke mmoja

    aAshampoo jana nilienda kusuluhisha ndoa fulani huko sasa wakaniuliza ashampoo kama mjomba una ushauri gani nikajibu hakuna wakufa wa ndizi moja wala wa kufa na kitasa kimoja mvumiliane tu mrudiane. Sijui walinielewa hakunielewa nikakaa kimya Nisipotezee muda sana nataka niwahi...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi Madaktari (MD) nao wanaumwaga na kulazwa kabisa au hadi kufa?

    Hello, Mimi kama Wadiz a.k.a Baharia Naumia sana na roho mbaya, majidai na dharau za za baadhi ya Madaktari kwa wagonjwa ni kero tishio, baadhi wanajikuta sana hadi najiuliza hivi hawa wana kinga ya kuumwa na kufa, au wana bima ya uhai wa maisha yao. Kuna wimbi la kutuandikia madawa lundo...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nliishi kwa shida na kukaribia kufa ndani ya Miezi ya moto

    Hiki kilikuwa kipindi kigumu sana katika maisha yangu. Nlikonda ghafla, nikawa na mawazo wakati wote na nikawa nashawishika kunywa sumu. Nliona hiyo ndo ilikuwa njia rahisi pia kuniondolea mawazo na manyanyaso ambayo naelekea kuyapata. Nlikuwa nimesafiri kwenda mkoa flani kikazi kama week 3...
  7. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

    Wakuu, za sahizi tena Nipo hapa nacheka kaa fala, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi, Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko Sema mpo...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati Gani Mtu Anapaswa Kufa?

    Ni wazi kwamba kifo kipo na kitatokea kwa kila mtu. Kwa asili, kifo sio jambo baya; ila jambo baya ni, namna kifo kinavyotokea na pia kushindwa kujua kwa uwazi nini kinaendelea baada ya mtu kifo. Tunapata uchungu na huzuni mkubwa ndugu zetu wanapokufa si kwa sababu ya kifo chenyewe isipokuwa...
  9. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Ishu sio kufa, ishu nyumbani umejenga?

    Samaleko wana Jukwaa na Moderators kwa ujumla. Unapotokea msiba wa mtu maarufu hapa nchini kuanzia Viongozi, Wafanyabiashara na Wasanii kumekua na mtindo kwenye mitandao hii Jamii watu wakitaka kufahamu mazingira na nyumbani kwa mfiwa kuna Nyumba nzuri? Amejenga? Ni mtindo uliozuka baada ya...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kuna "jam" ya kufa mtu hapa Maseyu-Morogoro!

    Tumekuwa kwenye foleni ya magari toka Saa 7 mchana, Hadi muda huu wa saa 11 jioni, ndiyo foleni hiyo ya magari imeanza kufunguka. Tunaomba watu wa "traffic Police" watueleze tatizo lilikuwa nini? Kwa kuwa watu wengi wameathirika Sana Kwa kuchelewa kufika makwao Kwa zaidi ya massa 3
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia. Membe ambaye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wote waliofurahia vifo vya mashujaa wa Afrika hawajawahi kufa bila fedheha

    Wako wapi waliofurahia kifo cha Samora Machel akina Peter W Botha? Walikufa kwa fedheha. Waliomuua Patrice Lumumba na wakafurahi akina Mobutu Sese Seko Waliomuua Thomas Sankara na kufurahia walishakufa kwa fedheha. Na hata waliofurahia kifo cha shujaa wa Tanzania watakufa kwa fedheha
  13. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

    Habari wadau! Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini 1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k. Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k? 2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
  14. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje tungezijua siku zetu za kufa?

    Mauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua. Ingekuwaje tungejua tutakufa lini? Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari. Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha...
  15. vibertz

    JamiiForums Tanzania Sio mbaya wanasimba wenzangu kombe letu la kufa kiume ni kubwa kulikuwa makombe yote

    Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Simba's hii ni skio la kufa

    Mbali na kupoteza mechi ya kimataifa kizembe na ku draw na Namungo lakini bado benchi la ufundi hawajifunzi na hata wachezaj hawaoneshi seriousness ya mechi zilizobaki. Wakiingia tu mikwaju ya penality basi wamekwisha. Yajayo yanagurahisha.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mwili wote kufa ganzi plus kichefuchefu,husababishwa na nini?

    Mwili wote kufa ganzi plus kichefuchefu,husababishwa na nini?
  18. Phobia

    JamiiForums Tanzania Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

    Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea...
  19. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

    Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa. Hebu fikiria yafuatayo: 1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano. 2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa...
  20. jastertz

    JamiiForums Tanzania Mhubiri Paul MacKenzie alianzaje safari tata ya kuwashawishi watu kufunga hadi kufa?

    Ulianza kama ufichuzi ambao ungeyeyuka baada ya muda mfupi wa mihemko na lalama. Lakini kilichoanzia kati kati ya msitu eneo la Malindi Pwani ya Kenya wiki moja iliyopita sasa kinageuka kuwa donda ambalo kumbukumbu zake hazitafifia hivi karibuni. Kufukuliwa kwa makaburi ya kina kifupi ambayo...
Back
Top Bottom