kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Ponda mali kufa kwaja! Nifanye saving ili iweje? Mimi ni mwendo wa kuponda mali tu

    Kwanza mimi ni marehemu mtarajiwa nifanye saving ili iweje? Nigundue nini hasa? Nitaponda mali mpakss maji yaseme mma kwanza maisha yenyewe ni mafupi hasa cha kufanya saving mimi ili iweje? Juzi kuna mwana 30's amepoteza maisha hivi lakini kwenye account alikuwa na almost 150 million mbio zote...
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania TBC 1 ni kweli sikio la kufa halisikii dawa?

    Hii TBC 1 kweli imeamua kupuuzia maoni ya watazamaji wake, yaani TBC1 ikishafika saa 10 usiku hakuna kitu zaidi ya mitaarabu tu; hivi hii tabia itakwisha lini? Hamuwezi kutuwekea hata movie tuburudishe akili? Sasa taarabu saa 10 usiku kiukweli haileti afya. TBC1 enzi za Tido burudani za ku...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kunywa Maji Mengi kunapunguza hatari ya kupata Magonjwa na kufa mapema

    Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi. Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti uliochapishwa na jarida la eBioMedicine umeonesha kunywa maji ya kutosha pia kunahusishwa na hatari...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Utata kifo cha Mchungaji Mnigeria 'pusha' anaedaiwa kufa Segerea

    Ni bwana Oezeama kama sikosei. Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao. Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu. Duru za eneo lile...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Bila JF ningekuwa nimeshajinyonga zamani au kufa kwa Stress na upweke

    Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime-shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi humu. " Mnikome sana. Mnanisema mmenizaa nyie?na mkipata shida msije omba msaada mbwa nyie...mtaishia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, Yanga ni sikio la kufa?

    Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je Yanga ni sikio la kufa?

    Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Balile atamba niko tayari Kufa

    MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile amesema yuko tayari kufa lakini hatoacha kuendesha mapambano ya kulinda Mto Ruaha dhidi ya wakulima na wafugaji walioko kwenye eneo hilo. Balile anasema yuko tayari kufa baada ya kupokea vitisho vingi baada ya kutaja familia 12 zinazoharibu Mto...
  9. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

    Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran. Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kufa

    Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli I don't wish to see 2023 hope this one will...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mwambieni mzee Makamba kuna maisha baada ya kufa, yeye halijui hilo?

    Unjani sabuwona Mzee msambaa anajimwambafai na kujitapa sana sijui kwanini anajitapa hivi labda unapiga kelele ili mwanae aendelee kulamba asali zaidi au ndiyo anajiona yeye ni wenye chama au? Nimeona interview moja anamkaripia mwandishi mmoja baada ya kumuuliza swali murua halafu yeye anajibu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

    Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo. Mwanaharakati wa ujangili na raia wa Afrika Kusini, Wayne Derek Lotter aliuawa Agosti 16, 2017 kwa kupigwa risasi akiwa kwenye Taxi...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Majani yenye sumu yadaiwa kuwa chanzo cha ng’ombe 15 kufa wilayani Monduli

    Ng’ombe 15 wamekufa katika kijiji cha Losirwa wilayani Monduli Mkoa wa Arusha wakidaiwa kuwa wamekula majani yenye sumu yaliyoota maeneo mbalimbali kijijini hapo. Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Monduli, Fank Mwaisumbe amesema hadi jana zaidi ya ng'ombe 15 wamekufa kwa kula majani...
  15. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Ikiwa huna budi ila ni kufa ufanye nini? Kama kifo ndio kimbilio lako basi kufa na haya maneno

    Wakati mwingine mwanadamu anapata taabu na shida kama maradhi. Maradhi kama ya saratani na mengineyo. Inatokea mpaka mwanadamu kwa maumivu ayapatayo na maradhi yake si yenye kutarajiwa kupona basi kwa taabu na shida anaamuwa kuomba bora afe. Hili pia limekatazwa kwenye uislamu. Lakini mtu akiwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  17. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Kufa kufaana!

    Majaliwa, Majaliwa, Majaliwa..... Nimekuita mara tatu mdogo wangu, najua kufa kufaana Kula Bata ndugu yangu, ila kuwa makini na hawa viumbe wanaokutolea macho tangu uanze kupokea "umate mate" Mla Bata.
  18. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Sababu ni nini kufa kwa matamasha makubwa ya Wasanii kama Fiesta?

    Matamasha makubwa ya wasanii tuliyokuwa tunayaona miaka ya nyuma kama Fiesta na mengine ya Vituo vya Redio naona yanazidi kupoteza mvuto, shida nini wadau? Matamasha haya mengi imekuwa kiingilio ni bure, wakati miaka kumi iliyopita matamasha mengi miezi hii yalikuwa na viingilio tena vikubwa...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mwanamke atembea barabarani aanguka na kufa bonde la Msimbazi

    Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu. Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding. Basi watu wakakasirika...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mzozo huu wa Congo DR na Rwanda nani ananibishia kuwa EAC haiendi kufa na Wazungu kufurahia?

    Tayari Tanzania, Burundi na Nusu ya Wakenya wanaisapoti Congo DR huku pia Uganda na Nusu ya Wakenya wakiisapoti Rwanda. Wazungu ambao Siku zote hawataki Kuiona Jumuiya hii ya Afrika Mashariki ikistawi wamefanikiwa Kutugombanisha na kwa Uzuzu wa Wanaogombanishwa wamekubali Kuingia katika huu...
Back
Top Bottom