kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?

    Inawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k. Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta. Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako. Na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa rushwa ilivyotamalaki, PCCB na wengine wa hivyo wana umuhimu gani kuendelea kuwapo?

    Nilileta uzi huu: Aibu! Boda ya Rusumo Mgeni haingii nchini bila rushwa Nimetembelea boda nyingine mkoani Kagera, kote ni mwendo mdundo! Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao. Hata hivyo wapi au idara ipi yenye ahueni? Polisi? Wapelelezi, trafiki nk? Rushwa si ni sehemu ya malipo yao halali...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simu janja / Smartphone kuendelea kuwa saizi kubwa kiganjani kuzidi za zamani, hii ni kero kwangu tu au?

    Smartphone kibao siku hizi zimekua kubwa sana aisee, hasa hizi za line mbili ambazo kibongobongo ni wengi tunatumia line za ziada. Nakumbuka zamani simu kibao zilikuwa zinakaa kiganjani unakuta saizi yake ni incni 5.0 kushuka chinim yani kiganjani unatumia fresh. hizi mpya yani kawaida kukuta...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

    Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 ijayo licha ya kuwa huko nyuma aliwahi kunukuliwa akisema hana mpango wa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024. Kagame, 64, ambaye anajiandaa kutete nafasi yake ya Urais, amekuwa Rais kwa miaka...
  5. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa miaka 27, kuendelea anakuja kuwa mwanamke wa kuaminika zaidi kuolewa kuliko chini ya umri huo

    za mda huu wadau, Niende kwenye mada moja kwamoja, tofauti na zamani ilivyokuwa, yaani mwanaume akitaka kuoa anatatafuta dogo dogo amkuze mwenyewe.. na wengi ilikuwa dogodogo wa kipindi hicho walikuwa wanakutwa bado bikra kabisa na unamtengeneza unavyotaka wewe. Kwa sababu zana ya kupata...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka pingamizi dhidi ya akina Mdee kuendelea kuwa wabunge wakati kesi ya msingi ikiendelea

    Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge. Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Bunge kuendelea kuwakumbatia wabunge waliovuliwa uanachama wao na Chadema, kinaonyesha udhalilishaji wa mhimili wa Mahakama?

    Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga kuvuliwa uanachama wao na kilichokuwa chama chao cha Chadema. Ikumbukwe kuwa wabunge hao mwezi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya watoto waliozaliwa miaka ya themanini na tisini na kuendelea: Nyerere alijenga uchumi wenye nguvu sana chini ya ujamaa na Kujitegemea!

    Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote! Wengi wanaamini kuwa hali ngumu ya kiuchumi ya Tanzania ilisababishwa na ubovu wa siasa ya ujamaa na...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbunge azungumzia Utoaji Mimba usio salama kuwa unazidi kuendelea Nchini Tanzania

    Suala la utoaji mimba usio salama limekuwa gumzo siku za hivi karibuni na takwimu zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi husababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo utoaji wa mimba usiosalama. Takwimu zinaonesha katika kila Wanawake 100,000 kunatokea vifo 454 mpaka vifo 556 (Taarifa kutoka...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

    Wanabodi, Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha...
  11. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Nape ajitafakari kama kuna haja ya kuendelea kuwa waziri, kwenda Chato na kwenda kanda ya ziwa

    Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau...
  12. O-man

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

    Chama cha Mapinduzi kinawashukuru na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25, Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Je, Kamanda Jumanne Muliro anatosha kuendelea kuwa RPC wa Dar?

    Kwa matukio yanayoendelea kila kona sasa ya mkoa huu, ni wazi kamanda Muliro kazi imemzidi na hatoshi kwenye majukumu yake. Kila kona ya Dar ni matukio ya wizi tu mara panya road, mara vishandu, mali zetu zinakuwa rehani. Majira ya usiku kwasasa kama huna usafiri binafsi ni hatari sana kwa jiji...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kujipa matumaini kwa historia kwamba tuna akili kuliko wazungu ni kupoteza muda.

    Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo. Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu. Huko ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Samia,fanya hivi ili kuondoa utata ulionao kuliko kuendelea kumchafua Mtangulizi wako.

    Kila sehemu ambapo CAG kagusa inasemekana kuna upigaji wa pesa,na wafuasi wa genge lako wameenda mbali wanasema Mheshimiwa Magufuli ndiye kaiba hizo pesa. Sasa wewe ukiwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi kwa sasa naamini unajua siri zote za hii nchi,unajua pia mahali viongozi wenzio walipoficha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi! Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo. Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi! Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa. Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunaipongeza Simba Sc kwa kuendelea kuupiga mwingi

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Majaliwa ametoa tamko la kiserikali kuipongeza Simba Sc kuendelea kuupiga mwingi na kuitangaza Tanzania duniani kote. Waziri Mkuu ametoa tamko hilo akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu. "Sote tumeshuhudia Simba wakiendelea kuupiga mwingi," ametamka...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kutumia Kiswahili Shule ya msingi ni kujipiga mtama wa kitaaluma

    Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi. 1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza. 2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau. Hasara tunazopata 1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
Back
Top Bottom