kuelekea uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    GE2025 Askofu Josephat Gwajima: Nashauri tena, tusiingie kwenye uchaguzi pasipo kufanya minimal electoral reforms

    Askofu Gwajima: Hebu CCM tumieni vichwa vyenu kufikiri na kuamua vizuri. Madai ya CHADEMA yana msingi hata kama una kiwango cha chini kabisa cha elimu kuyapima na kuyaelewa.. Askofu Gwajima: Hebu jaribu kufikiri hili. Kwamba, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya sasa ni mteule wa Rais Samia ambaye...
  2. R

    GE2025 Maono: Mgombea sahihi wa CCM 2025 ni Josephat Gwajima

    Salaam! Nimesikia speech ya Leo ya Askofu Gwajima, nimeona 1. Uongozi, 2. Maono. 3. UWEZO WA kuunganisha makundi yote na uongozi thabiti. 4.Weledi wa Hali ya juu. 5. Uthubutu. 6. Uzalendo na upendo wa Hali ya juu kwa nchi. Na kwa kuwa ameshauri reforms zifanyike ndani ya chama na...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Askofu Gwajima: Ushindi wa CCM ni wa muhimu sana, lakini ustawi wa Tanzania na maslai ya wananchi wote ni la muhimu kuliko vyote

    Askofu Gwajima: Ushindi wa CCM ni wa muhimu sana, lakini ustawi wa Tanzania na maslai ya wananchi wote ni la muhimu sana kuliko vyote
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Askofu Gwajima: Wanaosema siipendi CCM, wao wamekifanyia chama nini zaidi ya kusema naipenda CCM? Mimi nimejenga ofisi 42 jimbo kwa pesa yangu

    Katika kipindi cha miaka 5 ndani ya Jimbo la Kawe nimejenga ofisi za chama 42 halafu mtu anasema siipendi CCM, ila mimi naipenda CCM sio awo wanaongea kwa maneno tu. Ndio maana sitaki kuiona CCM inapotea Askofu Gwajima
  5. USSR

    GE2025 Mpina awekewa pingamizi na mwanachama mwenza kugombea urais kupitia ACT WAZALENDO

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amepinga uamuzi wa chama hicho, kumteua Luhaga Mpina kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, akidai amekosa sifa. Kada huyo amedai kanuni za chama hicho, zimekiukwa katika uteuzi wa Mpina, kinyume na taratibu na sheria...
  6. K

    GE2025 Natabiri kuongezeka kwa malori na mabasi ya kusomba watu na wasanii wa mziki wakati wa kampeni za CCM

    Kama kuna mtu alifikiri uchaguzi wa Rais utakuwa mteremko kwa CCM sababu tu Chadema wamezuiwa kushiriki basi amekosea, Chama cha Mapinduzi kinaenda kupata wakati mgumu kuliko kilivyofikiria,Watu watasusia mikutano yao na itakuwa mitupu tofauti na kipindi cha Magufuli watakachokifanya watatumia...
  7. Cute Wife

    GE2025 GSM + Eng. Hersi + Yanga + CCM Inamaanisha nini? Kwanini Eng. Hersi anautaka sana ubunge? Machango wa GSM, Yanga kwa CCM una maana gani? Tuchambue

    GSM kama mfanyabiashara yeyote anachoangilia ni kupata faida, popote pale anapokuwa yeye anaona fursa na kufanya aingize pesa zaidi na power ya kumbakisha hapo alipo na Hersi kama mfanyakazi/Mtendaji wa GSM ambaye yupo kwenye kitengo muhimu cha Uwekezaji ni kuhakikisha anacheza karata zake...
  8. R

    GE2025 Mgombea Urais NCCR-Mageuzi: Nikipata Urais nitanyoosha Maadili wasanii Bongo Movie

    Mgombea wa kiti cha Rais kupitia chama cha NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis, amesema iwapo atapata nafasi ya kuongoza nchi, ataweka kipaumbele katika kurejesha maadili kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya, waigizaji na vijana wanaotumia mitandao ya kijamii kutukana viongozi wa serikali Ambar...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Jimmy Kibonde: Niko serious, Nitampatia ajira Mama Samia

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde amezidi kusisitiza kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, atamwacha Rais wa sasa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya serikali yake kwa kumpa nafasi maalumu ya kushughulikia...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Luhaga Mpina: Siwezi kuwa pandikizi la CCM

    "Kwa muda mrefu nimejitofautisha sana. Maana yake, kama ningekuwa pandikizi tu, si ningekuwa nashangilia haya mambo? Kama ningekuwa pandikizi, hata huko CCM ningekuwa nashangilia kama wale wanaomwambia mgombea wa CCM kwamba "wewe hatukudai", wakati wananchi wao hawana barabara, hawana madaraja...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Luhaga Mpina Kwenda ACT ni Kosa la Kiufundi ambalo mtu Smart asingeweza kulifanya. Hapa ndipo Ngosha wanapozidiwa ujanja na Wenzao

    Hamjambo wote! Sijajua Watani zangu, Ngoshaz kwa nini wanapotezaga umakini hasa wakiwa katika nafasi ya kufunga. Yaani karibu na Goli kabisa. Nitakupa Mfano kupitia JPM. JPM aliamua kutangaza vita ambayo kwa kweli alikuwa mstari wa mbele kukabiliana na adui zake. Ambao kwa sisi wanasaikolojia...
  12. Tlaatlaah

    GE2025 Baada ya CHADEMA kusambaratika, Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October 29, 2025

    Uhuru kwa vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu umeongezeka na mazingira bora zaidi ya kisheria kwa wananchi na wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa kwa usawa, uhuru, uwazi na haki yameboreshwa na kua bora zaidi. Kuelekea uchaguzi mkuu wa October, vyama vya siasa nchini vinaenjoy kwa...
  13. K

    GE2025 Ukweli usiopingika, miaka mitano ya Samia alikuwa anatembelea nyota ya Magufuli, hii mitano ya kwake ndiyo tutajua uhalisia wake

    Waswahili wana msemo akiutaka mpe,yeye ndiye atakayejua. Hakuna asiyejua Magufuri alifanya mambo makubwa sana ambayo hatukuwahi kuyashuhudia maishani mwetu Tanzania ilipaa na kusifika kila mahali,alipofariki Samia aririthi kiti chake na kuendeleza yale ya Magufuri ndiyo maana kulikuwa na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Licha ya kuongoza kura za maoni za udiwani CCM mchambuzi wa soka Zuberi lakini jina lake lakatwa

    Sakata la Zubeir Mkalaboko ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya soka lilianza mapema akiwa siyo sehemu ya majina yaliyoteuliwa kugombea licha ya kuwa ndiyo Diwani aliyekuwa anayemaliza muda wake Madarakani. Hata hivyo, busara za marekebisho ya Katiba na maagizo ya Kamati kuu CCM Taifa kutaka...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwenyekiti CCM Tabora atishia kuwafukuza wati nia ubunge, wanaopinga maamuzi ya vikao halali kupendekeza majina

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Said Nkumba, ametumia kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo kutoa onyo kali na kutishia kuwafukuza uanachama wati nia ubunge, wanadaiwa kuwatuma wapambe wao kupinga maamuzi ya vikao halali vya kupendekeza majina. Kupata matukio na...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Viongozi wa Kimasai Wamuunga Mkono Rais Samia kuendelea kuongoza miaka mitano ijayo

    Viongozi wa jamii ya kimasai nchini (Malaigwanani) wametoa msimamo wao wa kumchagua tena rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuendelea kuongoza nchi kwa miaka mitano ijayo kutokana na utendaji kazi wake. Akizungumza baada ya kikao kilichowakutanisha viongozi hao kutoka Siha na Longido, mwenyekiti wa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zaidi ya wanachama 3000 wa CCM Kilimanjaro wajitokeza kumdhamini Rais Samia

    Zaidi ya Wanachama 3000 wa chama cha Mapinduzi CCM mkoani Kilimanjaro wamejitokeza leo agosti 13 2025 kumdhamini mgombea Urais wa chama Dkt.Samia Suluhu Hasan ambae pia ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tukio hilo limefanyika katika ofisi za mkoa CCM Kilimanjaro...
  18. S

    GE2025 Matajiri wawekezaji na wafanyabiashara na walipa kodi wakubwa wanasema uchaguzi utakuwepo lofa gani awezaye sema hautakuwepo?

    Matajiri wa ndani ya nchi wamechangia CCM bilioni 86 kwa ajili ya uchaguzi .Kuwa ùpo Matajiri wawekezaji na wafanyabiashara na walipa kodi wakubwa wanasema uchaguzi utakuwepo lofa gani awezaye sema hautakuwepo? Malofa wakubwa Chadema imekula kwenu
  19. mwanamwana

    GE2025 Mgombea Urais Samandito Gombo (CUF): Tutahakikisha haki bila ubaguzi kwa wenye nacho na wasio nacho

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, akiambatana na Mgombea wake mwenza Husna Abdallah, leo Agosti 13, 2025, amechukua fomu ya kuteuliwa kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na wanahabari mara baada ya...
  20. Criss

    GE2025 CCM nakaribia kutokuhitaji kura za Watanzania ili ibakie madarakani

    CCM imejiupgrade ubabe CCM imetoka kutoka chama cha WAKULIMA na wafanya kazi hadi kuwa kikundi cha mabillionaire . Kama budget ya chama cha siasa inaweza kuchangiwa na watu ambao uadilifu wao unatiliwa shaka unadhani nini kitarajiwacho hapo? CCM ya Babu yangu Bye-bye Kwa muundo wa siasa za...
Back
Top Bottom