Wananchi huko mtaani wanapeana nondo za kwenda kumchagua Rais Samia itakapofika Oktoba 29, hamasa kwa kila mwananchi si kwa ajili ya Uchaguzi tena bali ni kwa ajili Rais Samia yumo kwenye sanduku la kura......watamchagua yeye.
Haiwezekani Rais Samia kupata watu wa kumsadia waliopatikana tu kwa rushwa, ukaribu na kujuana.
Haiwezekani kuwe na viongozi wa nyumba kumi, serikali ya mtaa, Kijiji, kata, tarafa na wilaya ambao hawawezi kumchukulia hatu mtu anaeunguza na kuharibu barabara zetu kwa kupika n kukaanga chips...
Je kuna haja ya kufanya haya maigizo ya kijinga namna hii? Upotevu na ufujaji wa pesa na muda ?
Kwa uchaguzi upi lakini? Huu wa kiini macho uliokwisha malizika kwa kura za wizi?
Mabilioni yalishatengwa, mabilioni yalishakusanywa toka vyanzo tata na vyenye walakini mkubwa
Kuna wafanyabiashara...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wanahabari wakati wa maziko ya Hayati Job Ndugai wilayani Kongwa, mkoani Dodoma, Shigongo amesema...
Anaandika Afande sele ,✍.
Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳
Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽
Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata...
Saumu Rashid amepitishwa na mkutano mkuu kuwa mgombea wa urais baada ya kupigiwa kura za ndiyo na wajumbe 376 kati ya 390 katika mkutano wa chama hicho
Saumu ambaye ni Katibu Mkuu wa UDP, ametangazwa leo Jumatatu Agosti 11,2025 na mkurugenzi wa uchaguzi wa chama hicho, Hussein Lutambi, katika...
Hili ndio jambo Jipya Tulilolichunguza na kulibaini kutoka kwenye Kinachoitwa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025.
Wagombea wa Urais wa vyama Mamluki vilivyotangaza kushiriki Uchaguzi Mkuu huu unaonadiwa, kwa % Kubwa hawajawahi kuhutubia Mkutano wowote wa kisiasa kwenye Jukwaa lolote Nchini...
Hapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa.
Soma Pia...
Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo, amewataka wananchi wa jimbo hilo kutokuwa waoga wa kudai huduma wanazostahili, akisisitiza kuwa serikali ina wajibu wa kuwafikishia maendeleo kwa mujibu wa sheria na si kama fadhila.
Sigrada...
Serikali imeonya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) na Asasi Za Kiraia (AZAKI) kutokubali kutumika kama njia ya kutakatisha fedha kwa maslahi ya watu binafsi au vikundi mbalimbali, ikiwemo vya kisiasa, hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na...
Mradi
Taarifa
Aina za madini
Dhahabu, fedha, shaba, chuma, madini ya ujenzi, madini ya viwandani, madini ya vito
Idadi ya leseni hadi Juni 2025
2,288 (uchimbaji, utafiti, uchenjuaji, biashara)
Uzalishaji wa dhahabu
Tani 58.90
Thamani ya dhahabu
TSh trilioni 6.90
Mapato ya Serikali
TSh...
Chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wameahidi kutoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia Chekechekea hadi elimu ya juu bure iwapo watanzania watakipa nafasi kushika dola.
Akizungumza na vijana kwenye kongamano la vijana wa CHAUMMA kuelekea siku ya vijana Augosti 12 mwaka huu naibu...
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha United People Democratic Party (UPDP), Twalib Kadege, amewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi majira ya saa 7:53 mchana, akiwa ameambatana na mgombea mwenza wake kwa ajili ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mgombea Urais wa Chama cha Makini, Coaster Kibonde, amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), akiahidi kwamba iwapo ataibuka mshindi, kila kijana wa Kitanzania mwenye umri kuanzia miaka 21 atapewa ekari tano za ardhi kwa ajili ya shughuli za...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Tabata Segerea, Agness Kaiza, amekanusha madai kwamba chama chake si mbadala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kaiza amesema mtazamo huo si sahihi kwani CHAUMMA kina dira, sera, na mikakati yake ya kipekee inayolenga kuleta...
Kinachoendelea sasa ni matumizi ya vyombo vya dola na rasilimali fedha kuhakikisha taratibu zote za uchaguzi zinakamilika ikiwemo wagombea kuchukua form, kuhakikisha maandalizo yote ya uchaguzi yanakamilika mpaka kufikia hiyo Oktoba 29, 2025.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba, vyombo vya dola na...
Tanzania imewazuia waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (#EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (#SADC), ambazo zote ni jumuiya ambazo nchi hiyo ni mwanachama, kushiriki katika uchaguzi wa Oktoba 29. Badala yake, imezipa vibali balozi 12 za nchi za...
Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Jumamosi Agosti 9, 2025 wamekutana katika kongamano maalumu lililofanyika kwenye viwanja vya Tabata Shule, jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam.
Tukio hilo limeandaliwa na aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Agnesta Kaiza...
My Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam kuongea na Wanachama Wanawake katika kikao cha ndani lakini kutokana na kuwa wengi wamefanyia Mkutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.