kuelekea uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 TCRA yawataka Waandishi wa Habari kukemea vurugu Uchaguzi Mkuu 2025

    Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele kukemea vurugu na migogoro yoyote itakayojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 badala ya kushiriki kwa njia ya kuripoti au kuchochea...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Luhaga Mpina: Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, Nikasema hamnijui vizuri

    Mpina amesisitiza kuwa licha ya kuwepo kwa maneno ya kupinga hatua yake ya kuwania urais, hana hofu kwani amejipanga kuwasaidia Watanzania. “Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, mara lile, mara huyu anabipu tu. Hamna kitu, hao wanafanya maigizo. Nikasema ninyi hamnijui,” amesema...
  3. JanguKamaJangu

    Shuhudia Rais Hussein Mwinyi alivyoelekea Dodoma katika vikao vya CCM vitakavyopitisha Wagombea

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili jijini Dodoma kushiriki katika vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Taifa leo tarehe 20 Agosti, 2025. Katika uwanja wa ndege wa Dodoma...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mpina: Utekaji pamoja na kufungiwa makanisa. Nimeamua kusimama kugombea ili kuyatatua

    Akizungumza na wananchi wa Katoro, Mkoani Geita leo Agosti 20, 2025 katika zoezi la udhamini, Mpina amesema nia yake ni kuingia Ikulu na kuunda Serikali yenye viongozi waaminifu, watakaokomesha ubadhirifu wa fedha za umma na kuelekeza rasilimali hizo katika kutatua matatizo ya wananchi. “Taifa...
  5. R

    Chadema (Mh Heche) yatolee tamko maneno haya ya Mulilo leo katika mkutano wa amani katika (uchafuzi" ujao

    1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa...................... 2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................
  6. Lord Denning

    Michezo michafu ya CCM yaanza kuwarudia na kuliangamiza Taifa. Tumeshakuwa kuwa Lawless Country

    Kwa sababu iliwapendeza wao waliona sawa pale Mwambe alipojiondoa Chadema alafu akaendelea kuwa mbunge wa CCM kipindi cha awamu ya 5 kinume kabisa cha Katiba na Sheria za Nchi. Kwa sababu iliwapendeza wao, wakaona sawa kabisa wabunge 19 wa Chadema walipoendelea kuwa wabunge baada ya kufukuzwa...
  7. McLaren

    GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

    Wakuu Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii: "Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mpina na T-Shirt yenye picha ya Magufuli kuomba wananchi wamdhamini ili aweze kugombea Urais. CCM B kazini?

    Mpina kuvaa picha ya Magufuli wakati wameenda kuomba wananchi wamdhini kama Mgmbea wa Urais ACT inamaanisha nini? Kwamba bado anaamini kwenye uongozi wa Magufuli na chama alichokuwa anakiongoza? Au anakumbuka aina ya uongozi wake ambao ulikuwa unapingwa na wengi ikiwemo hao ACT wenyewe? Au ndio...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Golugwa: Bila mabadiliko ya kweli, hatutashiriki uchaguzi ambao hautaleta haki

    “Hatutokuwa tayari kabisa sisi na wananchi walioko nyuma yetu hatutokuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi ambao kimsingi sera na taswira yake itakuwa ni tendo la unajisi,” amesema Golugwa. Amesisitiza kuwa mifumo ya uchaguzi inayoongozwa na sheria, kanuni na Katiba ya nchi ina mapungufu makubwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Golugwa: Mikutano ya hadhara ilitupa ushahidi jinsi ambavyo nchi hii inahitaji reforms kwenye mifumo ya uchaguzi

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema chama hicho kilifanya mashauriano ya kina na makundi mbalimbali ya kijamii kabla ya kuanza kampeni za mikutano ya hadhara ya viongozi wake wakuu, na matokeo yake yameonesha uungwaji mkono mkubwa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Msajili wa Vyama Vya Siasa apokea malalamiko dhidi ya mchakato wa Uteuzi wa Mgombea Urais ACT-Wazalendo

    Yah: UVUNJIFU WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA SURA YA 258, KATIBA NA KANUNI ZA CHAMA CHENU KATIKA MCHAKATO WA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHENU WA TAREHE 06 AGOSTI 2025 Naomba urejee suala tajwa hapo juu. Napenda kukutaarifu kuwa, leo...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Luhaga Mpina: CCM tutawashinda na watasaini matokeo

    Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi. Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa...
  13. Tlaatlaah

    GE2025 CCM itashinda viti vyote vya ubunge nchi nzima uchaguzi mkuu wa 29 Octoba, 2025

    Hili ni jambo la kipekee sana linakwenda kutokea nchini kwetu baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria wa oct.29,2025. Uhakika wa ushindi wa kishindo kwa ccm ni wa kiwango cha juu sana, kwasababu chama hicho tawala chenye wafuasi na wanachama wengi zaidi nchini, na kinachopendwa zaidi na wananchi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwenyekiti wa BAZECHA Mbeya: Kama kweli CCM imefanya kazi nzuri kwanini waogope kushindana na CHADEMA

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetajwa kuiogopa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokana na mazingira ya kukibana chama hicho kikuu cha upinzani huku vyama vingine vya upinzani vikionekana kuimarika, kikiwemo ACT Wazalendo na CHAUMMA. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kiliba: Tutamlinda na kumtetea rais Samia

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu nchini TAHLISO na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama asemewe Geofrey Kiliba amehoji uhalali wa baadhi ya wananchi wanaomtusi na kutoa lugha za fedheha kwa Viongozi wa serikali akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Jeshi la Polisi limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu, "Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua "

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime amesema Jeshi la Polisi nchini limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu nchini "Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua " Misime ameyazungumza hayo kwenye Mkutano wa Wadau wa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wana CCM kata nne za Mtwara, warundisha kadi zao za chama

    Baadhi ya wanachama wa CCM kutoka kata nne zilizopo mkoani Mtwara wamerudisha kadi za uanachama wao wakipinga uteuzi wa baadhi ya wagombea udiwani kwenye kata zao. Uteuzi huo umefanywa na kamati ya halmashauri kuu ya chama mkoani humo baada ya kufanyika kwa kura za maoni.
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mpina: Nchi yetu inahitaji kukombolewa upya, Hatuwezi kunyamaza, tutaenda kuwafuta machozi Watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Luhaga Mpina, amesema Taifa linahitaji kukombolewa upya ili kudhibiti uonevu, rushwa, ufisadi na mateso kwa wananchi. Akizungumza leo Agosti 18, 2025 mjini Shinyanga wakati wa zoezi la kuomba udhamini...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wananchi wa Shinyanga: Mpina tunakudhamini tunajua utatusaidia

    Wananchi wa Shinyanga mjini mkoani humo wameeleza kuwa sababu kubwa zilizowafanya kumdhamini Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ni imani yao kuwa atakwenda kuwatatulia kero zao ambazo zimeshindwa kupatiwa majibu kwa muda mrefu. Wamesema changamoto zinazowakabili ni...
  20. J

    GE2025 CCM mmeongoza muda mrefu ya kwenu tumeyaona, wekeni mazingira sawa ili na wengine tuwapime

    Tangu tupate Uhuru, mwaka 1961, mpaka leo 2025 tunaongozwa na Serikali ya CCM. Maana yake Chama hiki ni kikongwe, kimezeeka. Kimetutoa huko na kutufikisha hapa tulipo. Katika kipindi hiki chote Cha utawala wa CCM, yako mazuri lakini pia zipo changamoto zinazotukabili kama Taifa ambapo imefika...
Back
Top Bottom