kuelekea uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Rais Samia: Fedha hizi za harambee zitatumika vema katika kampeni kama ilivyokusudiwa

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza uandaaji wa hafla nzima ya uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni ya CCM. Pia, ametoa pongezi kwa wasanii, watu mashughuli na watu wote kwa ujumla kwa makundi tofauti tofauti walioshiriki...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wachimbaji wadogo wa Madini waichangia CCM Bilioni 16.2

    Wachimbaji wadogo wa madini wamechangia Bilioni 16.2 kwenye harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, zilifanyika Mlimani city (CCM gala dinner 2025) Soma Pia: Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) Hadi sasa wamekusanya Bilioni 56.31 cash Je ni...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Azim Dewji: Rais Samia wasikusumbue wakina mbiombio hawa jambo isipokuwa ni wivu tu

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji katika harambe ya kuchangia kampeni za CCM ambayo inakwenda kwajina la CCM gala diner amesema Rais Samia asisumbuliwe na kinambimbio ambapo hawana jambo bali wivu tu. Rais Samia usisumbuliwe na wakina mbiombio hawana jambo bali ni witu tu...
  4. leroy

    GE2025 Sababu za nyuma ya pazia kuchangia CCM hizi hapa

    Hizi ni baadhi ya Sababu za nyuma ya pazia kuchangia CCM. 1. Kuwa "Untouchable": Unajenga taswira ya kuwa mtu muhimu kwa chama na serikali. 2. Kupata Taarifa za Uchunguzi: Kupitia uhusiano wako na viongozi, unaweza kupata taarifa za mapema kama kuna uchunguzi wowote unaokulenga 3. Unaweza...
  5. U

    GE2025 Vigogo sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechangia jumla ya Sh.milioni 150 katika harambee ya chama hicho

    Vigogo sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechangia jumla ya Sh.milioni 150 katika harambee ya chama hicho, inayolenga kupata kiasi cha Sh. bilioni 10 za kuwezesha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu. Wametoa michango yao leo Agosti 12, 2025, katika harambee inayoendelea ukumbi wa Mlimani City...
  6. Ex Spy

    GE2025 Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi

    Naam wakuu, CCM inaendelea kukusanya michango. Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi. Michango inaendelea
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dkt Mwinyi achangia Milioni 50 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amechangia Milioni 50 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025 Harambee hii inalenga kukusanya shilingi bilioni 100 kwa ajili ya maandalizi ya kampeni, ikiwemo gharama za magari, mabango, mafuta, fulana na kanga.
  8. Kitimoto

    GE2025 Maswali ya Msingi kwa Mgombea Urais, Wabunge na Madiwani wa CCM Wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Watanzania tunapaswa kutumia kampeni hizi kuuliza maswali ya msingi kwa viongozi wanaotaka kutuongoza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tunahitaji majibu ya kweli, siyo ahadi za maneno matupu. Zifuatazo ni baadhi ya kero ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu, lakini viongozi waliopo madarakani...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mtwara: Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga wamkataa diwani aliyeongoza kura za maoni

    Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga, mkoani Mtwara wamekutana na kuazimia kumkataa diwani aliyeteuliwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Hatua hiyo imefikiwa baada ya vikao vyao vilivyofanyika katika kijiji cha Nakalola, wilayani Masasi ambapo wameeleza hoja zao za kumkataa mteuliwa huyo.
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mamalishe, babalishe na bodaboda waungana kumdhamini mgombea urais wa CCM Samia Suluhu Hassan

    Wajasiriamali wadogo wakiwemo mamalishe, babalishe na vijana wa bodaboda mkoani Arusha leo Jumanne Agosti 12, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumuunga mkono na kumdhamini mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Buchosa imeitika! wananchi wampa maua mbunge aliyemaliza muda wake Eric Shigongo kwa kazi aliyoifanya jimboni kwao

    Buchosa imeitika! Sikiliza wananchi mbalimbali wanavyotoa maoni yao kuhusu kazi zilizofanywa na mbunge aliyemaliza muda wake na mshindi wa kura za maoni za kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa mara ya pili, Eric Shigongo.
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zuhura Yunus: Vijana lindeni amani kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Serikali imetoa wito kwa vijana nchini kuhakikisha wanalinda amani ya Taifa katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ikisisitiza kuwa amani ni msingi wa maendeleo endelevu. Akizungumza Jumanne, Agosti 12, 2025, katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vijana jijini Dodoma...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Chama cha Kijamii (CCK): Tukichukua nchi kila mtumishi tutamjengea nyumba

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Daud Mwajojele, amewasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma, akiwa ameambatana na mgombea wake mwenza, kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Rais na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Doyo Hassan: Matarajio yangu ni kuiangusha CCM

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy, Doyo Hassan Doyo Akizungumzia Moja ya Sababu Iliyomfanya Agombee Kiti Cha Urais na matarajio yake ni kuiondoa CCM madarakani Soma Pia: Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha (NLD) Doyo amefika kuchukua fomu akiwa na Bajaj
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Siasa za CCM Mafia zinazidi kuwaka moto

    HUKU vikao vya Chama ngazi ya Mkoa vikiendelea kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kwa Wagombea Udiwani na Ubunge, siasa za Kisiwa cha Mafia zinatajwa kuwa moto. Pamoja na ushindi wa Omar Kipanga katika kura za maoni bado kunaonekana kunafukuta chini kwa chini huku maamuzi ya mkoa yakiwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 IGP Wambura: Hatuendi vitani lakini tunakwenda kusimamia usalama, amani, utulivu wa taifa letu kabla, wakati na baada ya uchaguzi

    Akizungumza leo Agosti 11, 2025, katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika katika shule ya Polisi Moshi, Inspekta Jenerali wa Polisi, Camillus Wambura ameeleza kuwa hali ya usalama ni shwari na Jeshi hilo linajiandaa na uchaguzi kwa kuweka...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Manyara: Mgombea udiwani alalamikia kubadilishiwa jina siku ya kupiga kura za maoni

    Mgombea Udiwani Kata ya Masakta, Wilayani Hanang, Mkoani Manyara, Mathias Daqaro, ametoa malalamiko kuhusu kubadilishwa kwa jina lake kwenye fomu za kupigia kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), jambo ambalo alidai limechangia kushindwa kwake katika mchakato huo. Mathias amesema baada ya...
  18. Dr Akili

    GE2025 ACT wazalendo walichokifanya kule Zanzibar 2015 baada ya kumeguka CUF wanaweza kukifanya tena 2025 huku bara baada ya kumeguka CCM na CHADEMA

    Siasa ni kama mchezo wa karata. Mjanja anayeweza kuzicheza karata zake vizuri kwa kawaida huibuka mshindi. Zitto Kabwe ni hodari wa kuucheza huo mchezo. Anajua kuwa kumeguka kwa vyama vikuu vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu vinatoa fursa za kuimarisha chama chake. Mwaka 2015 chama cha CUF...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Profesa Paul Nyabagaka: Vijana ndio wahamasishwaji wakubwa wa vurugu, tunawaomba na kuwasihi wawe watulivu

    Akizungumza Jijini Mwanza kwenye Mahafali ya Chuo cha Muziki cha Amvot siku ya Jumatatu, Mkuu wa Bodi ya Chuo hicho, Profesa Paul Nyabagaka amesema kuwa uchaguzi hauwezi kufanyika kwa ufanisi endapo nchi haina amani na utulivu hivyo vijana wanapaswa kuepuka kushawishiwa kushiriki vurugu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kifo cha Ndugai Charudisha Mchakato wa Kura za Maoni Jimbo la Kongwa; Fomu kuchukuliwa leo Jumanne Agosti 12, 2025

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kongwa kimetangaza kuanza tena mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa jimbo hilo, Job Ndugai kilichotokea Agosti 6, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
Back
Top Bottom