GE2025 Jimmy Kibonde: Niko serious, Nitampatia ajira Mama Samia

GE2025 Jimmy Kibonde: Niko serious, Nitampatia ajira Mama Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,086
Reaction score
7,093
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde amezidi kusisitiza kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, atamwacha Rais wa sasa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya serikali yake kwa kumpa nafasi maalumu ya kushughulikia diplomasia.

"Nitampatia ajira Mama Samia ambaye ndiye Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na asiwe na shaka, serikali yangu nitakapoiunda, yeye atakuwa ni mmoja wa washauri wangu wakubwa sana, ameeleza na kuongeza,

"Chama cha Makini kimejipanga vizuri, kwa mikakati yake na kimfumo na wananchi wanakikubali, wanakiamini na wananchi ndio waliotusukuma".

 
Akampigie kura tu kitendo cha kusema atamteua kama mshauri ni thahiri anamkubali hii nchi tutaona mengi sana hivi mzee wa ubwabwa hayupo? Nlikua bazikubali sana kampeni zake unakuta watu wametulia makundi kadhaa kama wanacheck mechi ya ndondo full burudani
 
Hivi vyama vinafungu kubwa limefichiwa na Dola kuonekana Nchi ni ya demokrasia

Mwamba alifaidi sana pesa kwakuwa alikuwa anafanya mrejesho na matumizo yalionekana ndiyo maana alikuwa anarusha chopa

Fikirini chama hakuna hata anwani ya makazi lakini mdomo Mkubwa!!
 
Back
Top Bottom