kuelekea uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Katibu mwenezi mkoa wa Arusha Saipulani Ramsey: CCM unakatwa jina na unaitwa kushukuru wajumbe

    Katibu mwenezi mkoa wa arusha Saipulani Ramsey aliwahi kuzungumza kabla ya mchakato wakupatikana kwa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kigaila: Chaumma itasimamisha wagombea katika majimbo yote nchini ili kwenda 'ulaloulalo' na CCM hadi kieleweke

    Akizungumza leo Julai 14, 2025 na wanachama wa chama hicho, Kaimu Katibu Mkuu wa Bara, Benson Kigaila amesema mabadiliko yanayohitajika yatapiganiwa wakiwa bungeni badala ya kukwepa uchaguzi na kuiacha CCM kuendelea kuongoza. Amesema bila kuingia katika uchaguzi Bunge litabaki kuwa la CCM...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Baba Levo na Serukamba moshi mweupe ubunge Kigoma

    Imeelezwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kigoma kimekamilisha hatua muhimu ya mchakato wa ndani wa kisiasa kwa kuchuja na kupendekeza majina ya wanachama wanaowania kugombea nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali ya mkoa huo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Vyanzo vya kuaminika...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Serikali imetaja njia mbadala ya kukomesha rushwa, na kuweka mkazo kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Serikali imetaja njia mbadala ya kumaliza ama kupunguza rushwa, ni kujenga mifumo ambayo itakuwa wazi katika utoaji wa huduma za kiserikali ikiwemo kutokutana moja kwa moja na wenye kutoa uamuzi huo, huku ikieleza ni muhimu rushwa kutamkwa kwa uwazi kuelekea uchaguzi mkuu ili kukomesha vitendo...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Salum Mwalimu: Hatuwezi kuwaondoa CCM kwa kubadili tume ya uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hakuna maana ya kupoteza muda kwenye mjadala wa kutegemea CCM iandae mazingira ya haki yatakayowawezesha wapinzani kushika dola, kwa kuwa haijawahi kuwa hulka ya chama hicho tawala kufanya hivyo. Akihutubia mamia ya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CHAUMMA yaitaka INEC kuwachukulia hatua wasimamizi wanaowaengua wagombea wa upinzani

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeitaka Tume huru ya Taifa nchini (INEC) kuwachukulia hatua kali za kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa sheria ya tume hiyo, wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa madiwani ,wabunge na urais watakaojihusisha na vitendo haramu vya kuwaengua wagombea wa upinzani...
  7. Roving Journalist

    GE2025 Bashungwa aagiza Idara ya Uhamiaji kudhibiti Wageni wenye nia ovu kipindi cha Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuwekeza nguvu zaidi katika kuimarisha doria na misako usiku na mchana nchi nzima katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, kwa kuhakikisha hakuna mgeni au makundi ya wageni wenye nia ovu ya kuhamasisha au...
  8. B

    GE2025 Saikolojia ya Wananchi na Nchi kwa Ujumla ni kama hawautaki Uchaguzi wa Mwaka huu. Umedoda sana. Umekosa amsha amsha

    Mwezi kama huu Mwezi Julai, pangekuwa Patashika Nguo Kuchanika. Kwa mliokuwa hai mwaka 2015 na 2020, harakati za uchaguzi zilioesha shamla shamla kiasi kwamba wananchi wanasahau shida zao angalau kwa kipindi kifupi. Mpaka inafika julai kila.mwananchi ameshatafuta kichinjio, kiparata au...
  9. Roving Journalist

    Mkutano wa Wadau kujadili Mchango wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, leo Julai 9, 2025

    Mkutano wa kujadili mchango wa Sekta ya Habari katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 2025, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, leo Julai 9...
  10. R

    GE2025 Wadau watoa onyo wananchi kujiepusha na rushwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Wakati joto la maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 likizidi kupanda, wananchi wametakiwa kuchukua nafasi ya kipekee katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa, wakihimizwa kuepuka ushawishi wa fedha na zawadi zinazolenga kununua dhamira zao za kisiasa. Wito huo...
  11. R

    GE2025 Martin Massawe amechukua fomu ya kuwania Ubunge Moshi vijijini kupitia CCM

    Mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara na watoa huduma Tanzania, Martin Massawe, amechukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi, kugombea ubunge Jimbo la Moshi vijijini Massawe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, amechukua fomu hiyo Julai 2, 2025 ambapo...
  12. Just Pray

    PreGE2025 CCM yasitisha ziara zake kupisha mchakato wa ndani wa kuwapata wagombea kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba 2025

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kimesitisha ziara za viongozi wake mbalimbali ili kupisha mchakato wa ndani wa CCM wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
Back
Top Bottom