kuelekea uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Aliyewahi kuwa Mkuu wa wilaya Meatu na Maswa achukua fomu ya Ubunge jimbo la Meatu kupitia Act Wazalendo

    Rosemary Kirigini ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya za Meatu na Maswa mkoani Simiyu amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Meatu kupitia chama cha Act Wazalendo. Pia aliwahi kuwa Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mara.Kabla ya kuibukia Act Wazalendo alikuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya...
  2. R

    Hili joto la kisiasa limepanda sana, tafuteni namna ya kulishusha kwa busara!

    Salaam! 1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu. 2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi. 3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine. 4. Majizi kuchangia chama, nayo imezidi kuongeza petroli. 5. Nyumba za ibada kufungwa kwa zaidi ya mwezi sasa ni joto Kali sana...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sigrada Mligo: Mbunge unatakiwa wakati wote iwe usiku au mchana uwe tayari kuwasikiliza wananchi wako

    Mtiania nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema uwakilishi wa wananchi ni ule wa kusikiliza na kubeba shida za wananchi wakati wote na kuzifanyia kazi. "Lakini kibaya zaidi kuna wabunge ambao badala ya kuwawakilisha wananchi wametumia kama tiketi ya kujinufaisha...
  4. U

    GE2025 Je ACT - WAZALENDO wamekiuka Katiba yao kumruhusu Luhaga Mpina kugombea Urais akiwa na Uanachama ndani ya CHAMA pungufu ya miezi 6?

    Naona Msajili kapewa kazi laini sana mezani mwake labda kama nimesoma na sijaelewa vema ibara zihusuzo mchakato husika ndani ya ACT- Wazalendo
  5. Kimbesa11

    GE2025 Tuna mamilioni ya sababu za kwanini OCTOBER TUNATIKI kwa Rais Samia Suluhu Hassan Na kwa CCM na si kwingine

    KAZI alizozifanya Mh. Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kipindi cha miaka 4 ni kubwa Sana, zinaonekana kwa kila Mtanzania. Hakuna sababu ya kutompigia kura Dr. Samia, nitaongea machache -mbolea ilikuwa 180k sahiz ni chin ya 40k nyongeza za mishahara...
  6. gstar

    GE2025 CHAUMMA 'aka Futuhi' mnatuchukuliaje kumuweka mgombea wa urais eti Salum Mwalimu?

    Kumuweka mgombea wa uraisi eti Salum Mwalimu. Geresha hii, haya makapi yaliyojichuja kutoka CHADEMA yataambia nini wananchi ili wawaamini? Watanzania sio wajinga kuwahadaa kwa maneno ya uwongo wakati tunajua mchongo mzima. Anayewacontrol ni mama kizimkazi lengo kuwahadaa mataifa ya magharibi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Anayepinga Uteuzi wa Luhaga Mpina ACT-Wazalendo kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake

    Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake. Akiongea na The Chanzo leo Agosti 16, 2025, Monica Ndala, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo, ameeleza kuwa anategemea kuchukua hatua za ziada kama...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwalimu: Naomba mniamini kunipeleka Ikulu kijana wenu nikalete mabadiliko

    "Watu wa Kilwa na Watanzania, ninaomba mniamini, niligombea nafasi ya umakamu kipindi kile nikiwa CHADEMA, leo hii nimeaminiwa kwenye nafasi ya Urais, naomba mniamini kunipeleka Ikulu kijana wenu nikalete mabadiliko" "Uchaguzi ni hatma ya maisha ya watu, tusiufanye kama ushabiki wa mpira wa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCM yapitisha wagombea 21 pekee kati ya 163 walioomba Udiwani Moshi

    Katika wagombea 163 waliotia nia kugombea udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Moshi ni 21 pekee wamepitishwa kuendelea na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, sawa na asilimia 12.9 ya waliokuwa wakiwania nafasi hizo. Aidha, nafasi za viti maalumu zimechukuliwa na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kiongozi aliye timkia CHAUMMA akitokea CCM afunguka kutishiwa

    Diwani mstaafu Petro lobora wa kata ya Themi mkoani Arusha kupitia chama cha Mapinduzi CCM amefunguka baada ya kuhamia CHAUMMA na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo hiyo ya udiwani katika kata yake hiyo ya Themi.
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Luhaga Mpina Kuzindua Kampeni za Urais Saa 6:01 Usiku wa Agosti 28

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema atazindua rasmi kampeni zake mara tu baada ya saa sita na dakika moja usiku wa tarehe 28 mwezi huu, muda ambao umetangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa ndio mwanzo rasmi wa kampeni. Akizungumza na wananchi wa Mwandoya, Jimbo la...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Othman Masoud: Tutaiondoa CCM katika dola

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mgombea Urais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud Othman amesema chama hicho kimedhamiria kuiondoa CCM madarakani ili kuwakomboa watanzania na kadhia ya umaskini. Akizungumza na wananchi wa Mwandoya Jimbo la Kisesa Mkoani...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea Udiwani Ihumwa kwa madai ya kutojua kusoma na kuandika

    Aliyekuwa Mgombea Udiwani Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma Musa Sajilo ambaye jina lake limeenguliwa kwa madai ya kutojua kusoma na kuandika amekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kuingilia kati suala hilo kwa madai lina hujuma. Akizungumza na Vyombo vya Habari Agosti 16 Jijijni Dodoma, ameeleza kuwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mpina: Wanachi wangu bei ya pamba hawana, wanauwawa na tembo, hakuna barabara za lami, halafu niseme hatukudai. Hapana!

    Wananchi wangu bei ya pamba hawana, wanauawa na tembo, hakuna barabara za lami, halafu niseme atukudai. Hapana! Naendelea kuomba kujengewa barabara ya lami badala ya kujibia lakini nasakamwa. Luhaga Mpina Mgombea urais kupitia ACT Wazalendo
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Luhaga Mpina: Nimekihama CCM kwa sababu kimekuwa chama cha uonevu na dhuluma

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema amekihama chama cha Mapinduzi (CCM ) kwa sababu kimepoteza msingi wake, muelekeo na kuwa chama cha uonevu na dhuluma kwa wananchi usiku na mchana. Soma Pia: Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM Luhaga Mpina Amezungumza...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto Kabwe: Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina ndiye rais atakaye waachia huru

    Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina atawaachia Uhuru, waleambao nyumba zao za Ibada zimefungwa Luhaga Mpina ndiye Rais atakaye fungua uhuru wa watu kuabudu kwa muujibu wa imani yao na katiba ya nchi amesema Zitto Kabwe
  17. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Paul Mwakajumba atoa wito kwa madiwani wateule kujipanga kuleta kura za kishindo kwa CCM nchi nzima

    Ndugu Paul Douglas Mwakajumba, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa 2022 - 2027 kutoka Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya ametoa pongezi kwa Madiwani wa Kata zote nchini kwa kuteuliwa kugombea nafasi za Udiwani huku akiwasihi kuwa wasiishie tu kufurahia kuteuliwa kugombea bali kwa sasa wajikite zaidi...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu. Sasa ifike mwisho

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote lakini tuliamua kupambana nayo na tukawashinda tangu 1995. Lakini sasa tuseme iwe mwisho
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kisaka: Mdahalo Wa Kisiasa Hauwezi Kufanyika Bila Usawa wa Vyama

    Meneja wa Huduma za Utangazaji katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amesisitiza kuwa midahalo ya kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lazima izingatie usawa na weledi ili isiwe na kasoro zinazoweza kupotosha taswira ya uchaguzi. Akizungumza Agosti 16, 2025...
  20. S

    Mtazamo: Mfululizo wa matukio huu si wa bure na huenda watu wanaandaa justification kabla ya maamuzi magumu kunusuru nchi

    Kutokana na mwenendo wa mambo, kila siku nimekuwa nikiwaza hivi kwasababu kuna maamuzi yakifanyika, ni lazima kwanza kuwe na justification ili dunia ielewe ni kwanini watu fulani walifchukua maamuzi hayo magumu. Kanisa moja kubwa sana hapa nchini, wanajenga picha fulani, na kule Mahabusu yule...
Back
Top Bottom