Chama cha Mapinduzi (CCM), miongoni mwa vyama vikongwe zaidi barani Afrika, kinaendelea na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Tayari kimethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atapeperusha bendera kuwania nafasi ya urais, huku kikitangaza orodha ya wagombea wa Ubunge, Udiwani na...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania na nafasi za ubunge nchini kote.
Uamuzi huo umetangazwa leo Jumapili, Agosti...
Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii wa nashindwa!
Iko hivi,.
CCM wa nachokifanya ni kuwaengua wale watu ambao walipata kura nyingi...
Wilayani Tanga, hali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefikia kiwango cha juu cha mvutano baada ya wanachama wa chama hicho kuandamana kwa umakini na kutangaza kurejesha kadi zao za uanachama. Chanzo cha malalamiko ni uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kumtangaza Kassim Amari Mbaraka kuwa...
Historia imeandikwa, Revocatus Chiponda (Baba Levo aka Chawa Pro Max), amezipiga bao husda na hila za Maalhaji wa Ujiji!
Kwanini namkubali Baba Levo? au ni kwanini anakubalika na wanakigoma? (Ukimuangalia kwa miwani ya uchawa huwezi kuona hizi sifa)
1. Pragmatic (ni mwalisia wa mandeleo)...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa kimemteua Ester Bulaya kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara.
Soma Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini
Hayo yamesemwa na Katibu wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.
Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa...
Kutokana na hali ilivyo CCM hawawezi kukubali nchi nzima washinde wao tu..
Kumbuka kuna makubaliano na ACT na Chaumma kuachiwa baadhi ya majimbo ili kuaminisha taasisi na jumuiya za kimataifa kwamba kuna uhuru na demokrasia..
Sasa watafanyaje?
Mtu kama Zito anaweza kuwa potential hivyo ili...
Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Kada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola ameteuliwa na chama chake cha CCM kugombea jimbo la Vunjo uchaguzi mkuu 2025
Msaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameteuliwa na Chama chake CCM kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Arusha Mjini kupeperusha bendera ya chama hichi kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Soma Pia: Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha na wakamka, ndivyo hivyo Chaumma ni project ilikuwa inahusu ubwabwa leo hii inamgombea Amesema Polepele
1.Kama NI mtumishi wa umma na ushaambiwa CCM wamejiconnect mpaka na NIDA si Bora ukatafute card ya chama na wewe hata kama huwapendi basi wapende hata kinafki unaweza ukala uteuzi ukijihusisha kwenye jumuiya zao.
2.Pesa ndo inayo run dunia hara ingekuwa wewe kwenye michongo ya hela ingetokea...
Wengi wanadhani kwamba Lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement ikifanikiwa.
Ila msichokijua ni kwamba “no reform na no election”imeletwa kama distraction ya uchaguzi...
Humphrey Polepole, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hauna ushindani wa kweli, kwa kile alichodai kuwa kinachoonekana ni “CCM dhidi ya CCM.”
Polepole ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na chama cha upinzani ACT-Wazalendo haviwezi kuonekana kama wapinzani wa dhati, akisisitiza kuwa vyama...
Tukiwa tunazielekea siku sitini (60) kabla ya tarehe 27 Octoba - inayotajwa kuwa ya uchaguzi; bado huku mitaani na vijijini watu hawaujadili uchaguzi; ikimaanisha kwa jicho la uchambuzi kwamba: kuna hali ya kuendelea kwa msonono miongoni mwa wananchi tunapoikaribia hiyo tarehe, tofauti kabisa na...
Usaliti ni kitu kibaya sana. CCM isingeliweza kuenda kwenye uchguzi peke yake kama vyama vya usaliti visingelikuwepo.
CCM haiwezi kusimama peke yake kwenye uchaguzi, hivyo hao wanaojiita wenyeviti wa vyama vya mfukoni, kuna siku will face the wrath of betrayal of democracy from the oppressed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.