kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mbeya washiriki Ibaba kumuombea Mdude Nyagali, wadai ukimya wa kutoweka kwake haukubaliki

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Jana Jumapili Mei 11,2025 wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama “Mdude” ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Reforms za Uchaguzi; Je, Tume, vyama na Wananchi wanaongea lugha moja?

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, mjadala kuhusu Marekebisho ya Mfumo wa Uchaguzi (Reforms) haukwepeki. Kuna wanaosema reforms tayari zimefanyika, huku wengine vikisema bado kuna kasoro na wengine wakisema hawatashiriki Uchaguzi hadi kasoro hizo zishughulikiwe Maswali muhimu ni je, 'Reforms'...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa Anglikana lawasisitiza wananchi kushiriki uchaguzi

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Mhashamu Maimbo Mndolwa amewahimiza Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu, na kusema nchi inaweza kuingia katika mgogoro mbaya wa kikatiba kama watasikiliza watu wanaotaka kuahirisha uchaguzi huo. Askofu Mndolwa...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 TAKUKURU mulikeni na kwa Waziri Ndumbaro, anapenyeza michuzi kuhonga wajumbe Songea

    Wakuu, Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe. Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao. Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, muachie Lissu, na marisasi yote mwilini kweli humuonei huruma? Hana kosa lolote la kupitia mateso hayo ya sasa

    Hana kosa, ni kuwa mmepishana mtazamo kuhusu uchaguzi. Lisu hawzi kupindua serikali maana siyo muumini wa njia hiyo. yeye ni muumini wa Katiba na sheria na kujenga hoja! Anaumia sana kulala kwenye hali ya magerez na mavyuma mwilini na risasi mwilini! Muonee huruma maana hana kosa!
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje: Tunaposema No reforms no election' ni kwamba tumeshituka

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje amesema safari ya siasa kama maisha ya mwanadamu akibainisha kuwa kuna wakati kwenye maisha unapita kwenye mawimba na kwamba chadema wako kwenye kipindi cha mpito. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TK Movement Kagera Yapinga Vikali Upotoshaji Kuhusu Ushiriki wa Wananchi Katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Taasisi ya Taifa Letu, Kesho Yetu (TK) Movement Mkoa Kagera imesema haitakubaliana wala haitamsikiliza mtu yeyote mwenye kuja na kauli za kuwapotosha wananchi kuwa wasishiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2025 Hayo yamejiri katika Kikao cha Wilaya Bukoba DC kilichowakutanisha...
  8. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kumnyonya mwananchi

    Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much. Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha...
  9. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania CCM inaamua ni lini Chadema wakae kwa amani bila kuzozana Kama 2013 had 2015. Na CCM ndo inaamua ni lini Chadema wakosane Kama ilivo 2024 up to 2025

    Bila Salam. Bila utangulizi. CCM ni dude kubwa Sana la kipuuzi limewakalisha Chadema na mbowe for 30 yrs, kumbe mbowe alikua mamluki. 🤣🤣🤣. CHADEMA hawalali Wala hawafanyi move yoyote bila kuwa influenced na CCM. Ile kesi ya jgaidi ya mbowe tuseme ilikua scripted... Sasa hii ya uhaini...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika, msajili atangaze vyama vinavyoshiriki uchaguzi, na vile vingine vikae pembeni, tuanze kuchambua sera zao kwa kina!

    Wakati umefika, kwa msajili wetu wa vyama vya kisiasa kutuo orodha ya vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi, ili wagombea wa vyama hivyo waanze kujipanga mapema, na vile ambavyo vitakuwa havijakidhi vigezo vika kaa pembeni ili kupisha vyama shiriki, ambavyo vitakuwa vikiwaeleza wa tanzania...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Buchosa, Shigongo akalia kuti kavu

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Ile Kampeni Tukufu ya Chadema imeingia Sengerema, na bila kupoteza muda ikatua Jimbo la Buchosa, Ambako kazi kubwa ya Mbunge wake anayeitwa Shigongo ni kuhudhuria Misiba na kusaidia wananchi wake vifaa vya kuchimbia Makaburi kama machepeo na sululu. Kupata...
  12. O

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maana ya No Reforms, No Election kwa lugha ya kienyeji!

    Hii inahusu upatikanaji wa wawakilishi/viongozi wetu hasa katika vyombo wa Bunge, Madiwani na Urais. Katiba yetu inaelekeza kwamba kutakuwa na Bunge kwaajili ya kuwakilisha wananchi katika ngazi ya Taifa (Bunge)na Baraza la madiwani ktk Halmashauri na Rais. Na kwamba wawakilishi wetu hawa...
  13. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia: Mabadiliko sheria za uchaguzi yalihusisha wadau wote

  14. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Msiwalaumu na kuwadhihaki wanaoondoka CHADEMA

    Mimi sio mtu wa siasa, sina chama chochote ispokuwa mimi ni mfuatiliaji wa hoja zote, pale napoona anayeongea na kufanya mazuri namfurahia na kumwombea afanye zaidi, na anayefanya mabaya namchukia na kumwombea abadilike awe mwema. Kwa muda mrefu nimeona na kusoma malumbano ya hoja mbali mbali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyongo atangaza kuwania tena ubunge, awataka wagombea wenzake wajipange

    Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, ametangaza rasmi nia ya kuwania tena ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha tatu mfululizo katika uchaguzi mkuu ujao. Nyongo amesema amefikia uamuzi huo baada ya kutathmini...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Challenge: Kweli hatumdai mama na yeye ndio anatudai? Piga picha ya bango la mama mkoani kwako na useme kama humdai

    Wakuu, Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma:KEKLaugh::BearLaugh:. Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dayosisi ya Karagwe walaani vikali kuhusu vitisho dhidi ya Askofu Bagonza, wasema wanasimama na Bagonza kuwasemea wasio na sauti ya kujisemea

    Wakuu, Wapanga mipango ni chawa unategemea kutakuwa na ushauri wa maana hapo kwenye jinsi ya kufanya mambo? CCM mnataka kuleta vita watu tuanze kuviziana! ===== YAH: TAMKO LA KKKT DAYOSISI YA KARAGWE KUHUSU VITISHO DHIDI YA MKUU WA DAYOSISI Wapendwa waumini wote, salamuni katika jina la...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania G-55 wapo kama yule X aliekuacha kisa siku hio ulimuambia hauna hela ingawa hapo awali hela zako nyingi alikula

    Kumaanisha kuwa alikuwa anaishi na wewe kinafiki na alitafuta sababu ya kukuacha so ilipofika kumcheleweshea "tuma na ya kutolea" akakukimbia. Sasa unajiuliza ina maana commitment yako kwake alikuwa anaichukulia kwa maana gani na kuipima kwa kiasi gani?
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Wakuu, Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi, Usalama na Jeshi kumbukeni mna wanazengo au tuweke hashtag tuwatenge kwa lolote?

    Idara hizi tunaishi nazo mtaani na zinashiriki wanazengo kama wanataka kujiona kazi zao ni ndugu zao tuweke ajenda kuwa hata ukipata tatizo tukuangalie tu. Nchi hii mnapoipeleka kuna siku hawa watu watakuwa kwa waarabu au wazungu wakituacha tukitoana tofauti za challenge za kiredio au ivan...
Back
Top Bottom