Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,086
- 7,096
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje amesema safari ya siasa kama maisha ya mwanadamu akibainisha kuwa kuna wakati kwenye maisha unapita kwenye mawimba na kwamba chadema wako kwenye kipindi cha mpito.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wenje ameyasema hayo kwenye mkutano wa hadhara katika Manispaa ya Geita akibainisha msimamo wa chama kwenye ''No reforms no election''