kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zaidi ya Wanachama 100 wa Chadema Wajiunga na CCM Arusha

    Wanachama zaidi ya mia moja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutoka kata za Engutoto na Lemara Jijini Arusha, wamepokelewa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kwenye Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo unaofanyika leo kwenye Viwanja vya soko kuu Jijini...
  2. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ila hawa watu (CCM) wanashawishi, yaani utajikuta unachukua Kadi bila kulazimishwa

    Jamani tuache utani, hawa watu (CCM) wanashawishi, hebu tazama hii picha;👇 yaani utajikuta unawapost tu kwasababu ndogo ndogo. Unajua kizuri kinajiuza...hebu nisiandike sana tazama hii picha inavyoshawishi kuchukua kadi, unaweza kujikuta unaiprint na kuiweka sebuleni👇
  3. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi ndivyo Rais Samia atakavyokuwa akipaa na kuteka anga la Tanzania kwa Helikopta maridadi na yenye mvuto

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli Namkubali sana Rais Samia uchapa kazi wake, uhodari wake ,uzalendo wake ,uungwana wake na uongozi wake thabiti wenye kugusa maisha ya watu na kumuwezesha kila mmoja wetu kutimiza ndoto zake. Ndio maana naandika mengi sana kumuhusu Rais Samia. Kiukweli nakoshwa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CCM Sengerema awachana Chadema kuna mgogoro ndani ya chama hicho

    Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amewachana wapinzani hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kueleza kuwa kuna mgogoro ndani ya chama hicho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  5. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ITV, Azam na wengine mmekuwa wanafiki? Press za G55 mnaonesha kwa airtime ya kutosha lakini mikutano ya CHADEMA kimya!

    TV station kubwa za Tanzania yaani ITV, AZAM, TBC, STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana. Nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanaojitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa, lakini mikutano ya CHADEMA inayoungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbukizi: CUF walivyopigwa kama mbwa kipindi cha Mkapa. Je, Samia naye atakuja kujutia haya anayotenda sasa kama Mkapa?

    GT Police wa Tanzania ni wendawazimu kabisa na hawana adabu kwa raia, Check hiki kipigo wanampiga mtanzania mwenzao kisa ulafi wa madaraka wa politicians.
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi Mbeya: Ole wake yeyote mwenye nia ovu ya kufanya uhalifu au kudhuru askari au familia yake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi wa tukio la tarehe 02 Mei, 2025 la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Mpaluka Said Nyagali maarufu Mdude Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] na watu wasiofahamika na kisha kutoweka naye kusikojulikana. Katika hatua za awali, Jeshi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Au wote tuhamie chama tawala?

    Nachoka kuwaza. Sasa nimeanza kuona giza… giza nene. Sio la usiku. Hapana. Ni giza la maisha. Giza la matumaini yaliyooza kabla hayajachanua. Giza la haki iliyonyongwa hadharani huku waliopaswa kulia wakishangilia. Moyo wangu huwaka moto wa huzuni kila ninapotazama mwenendo wa siasa zetu. Moto...
  9. Dabil

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kupiga kura CHADEMA watangaze iwe siku ya maandano nchi nzima

    Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima. Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: G 55 Destination yao ilikuwa ni ACT kwa makubaliano ya Zitto Kabwe na Prince Abdul wa Jorodan, Ila wenzake wakapinga vikali kwamba ndani ya Chama

    Hawa G55 chini ya ufadhili wa Prince Abdul walikuwa wajoin ACT Wazalendo na makubaliano yalisha fikiwa kabisa. Mwami Zitto ndie alikuwa Broker wa hili jambo na hajafanya bure hakuna kazi ya Bure. Ndani ya ACT ikatokea upinzani mkubwa sana kwamba hadi sasa umage ya Chama inasoma negative na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Basil Lema ajitoa rasmi CHADEMA, asema ukiwa karibu na Tundu Lissu upo salama, ukiwa karibu na Freeman Mbowe haupo salama

    Katibu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amesema Watanzania walipaswa kusikia chama hicho kitanyakua majimbo mangapi katika uchaguzi wa Oktoba, lakini imekuwa kinyume badala ya wanasikia makada wangapi wanakihama. Lema ambaye amedumu katika...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo: Mimi na yeye nani ameumiza wengi?

    "Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwasababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya watu kiasi ambacho inawezekana kuna baadhi ya watu mkachanganywa. Kwahiyo kwasababu nimelazimishwa, mengi nitapuuza, nitasema walau moja, naomba mnikubalie. Kuna mtu mmoja...
  13. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama kimbunga cha No reforms no election Geita, Wenje aseme ahami chama, CCM hoi

    No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono. https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19 Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Muda Mfupi Ujao Wataanza kutaja Majina ya Watu waliowaumiza na huenda wakamtaja hata aliyekuwa anawatuma

    Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mjini Arusha, Mrisho Gambo, Ameongea mengi sana. Lakini liko moja lililowaamsha Wananchi na kuanza kwa minong'ono, Bwana Gambo amewauliza Wananchi kwamba , Nanukuu " Kati yangu mimi na yeye nani kaumiza wengi? " Mwisho wa kunukuu. Baada ya swali hilo...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

    Wakuu, Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya. Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CCM: Rais Samia mwachie Tundu Lissu (Msingida) inatia doa uongozi wako bora

    Mtazameni na msikilizeni huyu kada wa CCM kisha tia neno unapata ujumbe gani kupitia kwake kuhusu kesi ya Tundu Lissu.... Anamtaka Mwenyekiti wake taifa - CCM, Bi Samia Suluhu Hassan kumwachia Tundu Lissu kwa sbb eti "..inatia doa uongozi wake bora..!!" Kwa wajuvi wa mambo ya propaganda za...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani wa Kata ya Buguruni, Busoro Pazi (CCM) akamatwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa na wizi wa mali za umma

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), imemkamata Diwani wa Kata ya Buguruni jijini Dar es Salaam, Busoro Pazi, kwa tuhuma za rushwa na wizi wa mali ya umma. Kwa mujibu wa gazeti Raia Mwema, TAKUKURU ilimkamata Pazi ambaye ni diwani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

    Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X: UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini makundi mbalimbali ya kijamii hawana habari na chadema

    Sote ni mashahidi kwamba makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi. Ni lini sasa, makundi...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Huwezi kusema mtu katekwa kama hukuona

    Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo...
Back
Top Bottom