"Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi waliokuwa madarakani wa kitaifa, Mwenyekiti aliyekuwepo, Makamu wenyeviti waliokuwepo kabla ya hatua...
Dkt. Lwaitama awapiga za uso G55, awapa elimu nzito ya utofauti kati ya cheo cha kuteuliwa na kuchaguliwa, asisitiza 'no reforms, no election'
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema kuwa pamoja na mafanikio ya miradi mingi ya maendeleo, amepokea pia changamoto kadhaa zikiwemo za barabara, ucheleweshaji wa miradi ya maji, matatizo ya mawasiliano, na kukatika kwa umeme katika Wilaya...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Taifa Godbless Lema akiongea na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara yao ya No reforms No Election.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Uchawa wa viwango unaendelea!
Mapema Leo Wanenguaji (dancer’s) Kutoka Bendi Mbalimbali Tanzania Wakiwakilishwa Na Amka Dance’s Wametambulisha Kampeni Yao Mpya Inayokwenda Kwa Jina La AMKA NA SAMIA
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
JTa nchi kama Congo DRC au Burundi au Rwanda hakuna aina hii ya kanuni, yaani mchi tunazo amini ni za kidikiteta badi hawana aina hii ya sheria kwa Waangalizi wa uchaguzi.
Hawa INEC kama wanavyo jiita wamejiandaa sana kwa Goli la Maradoma goli la mkono kuliko hata 2020.
Kwenye kanuni zao...
Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
KAMA NI KWELI; WAMEKOSEA: KAMA SI KWELI; WAMEKOSEA
Leo 8/5/2025, siku Papa wa 267 (Papa Leo Xiv) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana Catholic Theological Union (CTU) mwenzangu, na Mwana Augustino...
Mwenyekiti wa vijana chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Deogratius Mahinyila akiongea na wananchi wa Bukoba Mjini katika ziara yao ya chama ya "No reforms No Election"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Jisomee Mwenyewe
"
NI NANI KATUROGA...?
Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.
Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.
Huwezi...
WE WANT CHANGES NOT REPLACEMENT.
Kuna muda binadamu hupitia nyakati tofauti ambazo kawaida zinakuva vuguvugu la mabadiliko,wasomi Wanataka kuona walichosomeshwa kiwe practice na masikini wataka kusikia walichohadithiwa na wanasiasa au matajiri watahitaji kuona mabadiliko sababu wao ndiyo nguvu...
Dkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Harakati za kumsaka mahali alipo kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya, Mdude Nyagali zimeendelea kushika kasi. Makada na viongozi wa Chadema wameendelea kuweka kambi kwenye ofisi za chama hicho, sasa wametangaza dau la Sh10 milioni kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema ushindi mkubwa wa CCM katika maeneo mbalimbali ni ushahidi wa wananchi kuridhishwa na utekelezaji mzuri wa ilani ya chama hicho, pamoja na miradi iliyotekelezwa na...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Goodmorning cha Wasafi, Tulia Ackson amekosoa vikali azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kutaka Serikali ya Tanzania imuachie Tundu Lissu
"Baadhi ya sheria kama Uhaini, mapenzi ya jinsia moja yote yalianzishwa enzi za ukoloni, sasa hivi wamebadilisha...
Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM
"Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa, mapenzi ya Wana Nchi wangu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa, na nina enjoy kua ivi nilivyo...
Wakuu,
Baada ya Tuzo za Kalamu ya Samia Mhariri wa Gazeti la Daily News alirusha jiwe angani, akasema, wenye D mbili na hata wale wenye F wameelewa. Maana kilichofanyika pale ni kuzika uhuru wa vyombo habari, kuwazuia vidomo domo kwenye kuchimba na kuwapiga mkwara, tumewapa hela hizi sasa ole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.