Wakuu,
Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea
Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga wamejivua uanachama wa CHADEMA.
Wakizungumza kwenye mkutano waliofanya na waandishi wa...
Wana CCM nawaomba sana na kuwasihi Viongozi wa Dola wazalendo nawaomba na kuwasihi sana .
Suala hili naombeni lisichukuliwe ni jambo la kawaida, la kupuuzwa kama ambavyo VIFO vya Akina KIBAO vimepuuzwa !!.
Niwaombe sana Wazalendo wote Kwa pamoja KEMEENI hili mara Moja, Kemeeni hili Moja...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na wananchi wa Magumu - Serengeti leo Mei 13 kuhusu suala la Msajili wa vyama vya siasa kutotambua uwepo wa cheo cha John Mnyika katibu Mkuu wa chama hicho.
Pia, Soma: Ofisi ya Msajili yatengua uteuzi wa wajumbe 8 wa sekretarieti na kamati kuu ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.
Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...
Wakuu hata msiwaze Wala kuumiza Kichwa , na Ninaomba CHADEMA Msitafute kupoteza muda na huyo Mwendawazimu.
Ipo hivi , Msajili na Jeshi la Polisi na Usalama mbumbumbu ambao Sasa wametapakaa Uwanja wa Ndege wa JN kwaajili ya kufatilia Wanachadema wanaosafiri, wanachofanya ni KUICHOKONOA CHADEMA...
Kuna kikao cha siri kilikaa kati ya nyumba ya kulea vyama, wataalam wa siasa na rohoo mbaya kutoka chama kubwa pamoja na washahuri wa Boss.
Agenda kubwa ni kukifunga miguu na mikono CHADEMA miezi mitatu kabla ya uchaguzi. Yafuatayo ni maazimio.
1. M/Kiti kuendelea kushikiliwa hadi uchaguzi...
YAH: MALALAMIKO YA KUTHIBITISHWA/KUPITISHWA KWA VIONGOZI KINYUME NA KATIBA YA CHAMA
Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. KM/CDM/A-B/2025 ya tarehe 18 Februari 2025 kuhusu somo tajwa hapo juu. Baada ya kupitia kumbukumbu za mahudhurio ya kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari, 2025...
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.
Wakuu,
Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa...
Wakuu!
Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushauri wa manufaa kwa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Passport mlizowapa Viongozi wahusika kupitia Jeshi la Uhamiaji zinawatia kiburi na huzitumia kuharibu tashwira nzuri ya taifa letu tukufu
Ni vema mkawadhibiti Viongozi ( baadhi yao) waliokosa...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa wajumbe wanane wa sekretarieti na kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliothibitishwa na Baraza Kuu la chama hicho Januari 22, 2025.
Mbali na kutengua, ofisi hiyo imetoa maelekezo kwa chama hicho kikuu cha upinzani...
Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM) kiliweza kuwashawishi baadhi ya wazalendo kusita kuhusishwa na Chadema, kuogopa kukiunga mkono na hata...
Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ilala Nice Gisunte amesema wanachama wa Chadema kwa sasa wanajua kinachoendelea dhidi ya wanachama wa Chama hicho wanaojitoa Uanachama kuwa kuna Mradi wa kimkakati unaendelea dhidi yao.
Gisunte amesema wanazo taarifa kuwa G55 waliojitoa uanachama wa Chadema...
Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican Church DSM amekemea vikali watu wote wanaoteka wenzao na kuwaua na amewakumbusha iko siku nao Watakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu wa mbinguni
Askofu Jackson ametoa onyo hilo kwenye misa ya Msiba wa aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya...
Mgeni rasmi kwa niaba ya Mhe. Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Maxwell Stanslaus akiongea kwenye hafla ya ugawaji wa jezi kwa timu 8 zilizofanikiwa kutinga hatua ya Mabula Super 8 Ligi ya Wilaya ya Nyamagana.
Huu ni mwaka wa 10 mtawalia Mhe Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula anadhamini...
Kumekuwa na mtindo mara mbunge wa pale kachukuliwa fomu mara wa kule amechangiwa na wanachi. Ni kwamba wananchi wanakuwa wana mapenzi sana na wabunge wa hayo maeneo, au wabunge hao wanakuwa wamefanya mazuri sana jimboni?
Kama mtu anatarajia kulipwa kiinua mgongo cha 200M+ bunge likivunjwa...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua.
Hatua hiyo...
Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati kuu ya chama na nikajuwa kwamba hii kesi ya Mbowe ya ugaidi haina mashiko.
Ila hii ya Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.