Katika harambee hiyo Enokc Kiswaga ambaye ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mzaliwa wa kata hiyo ya Imalinyi amemwambia Mbunge wa Jimbo hilo Festo Dugange kuwa anagombea ubunge wa Jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
-
Kiswaga amesema hasubiri kuoteshwa na wala hajifichi...
Kada wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema amesema chama hicho hakipo kwa ajili ya kuwafikisha watu katika ndoto zao badala yake wapo kwa ajili ya kupambania maisha ya kizazi kijacho.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo...
Mjinga ndiye anayeweza kusema kwamba mimi Kigaila ndiye niliyesaini fomu ya kuwapeleka wabunge 19 Bungeni, mimi sikuwa katibu mkuu na wakati huo nilikuwa Nje ya Nchi” Benson Kigaila
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza kuchukua baadhi ya watu wachache ndani ya CHADEMA wakiwa wamewaahidi kwamba waende kwenye chama...
Hiki chama Kwa sasa kimeunganika kikamilifu, Chama kimebaki Cha watu walopitia mateso sawa na Mateso ya Wananchi.
Wananchi wameunganishwa Kiroho, wanaunganishwa na vitu vya pamoja
HAKI
USTAWI WAO
Chaka kisichokua na Mali lakini Msingi wake ni Wananchi.
Unaanzaje kuhama chama hiki hata kama...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametangaza kuvunjwa kwa mkataba wa ujenzi wa barabara Mkoani Tanga baada ya Mkandarasi kutoka China kushindwa kutimiza masharti ya mkataba.
Mkandarasi huyo, kampuni ya China Railway 15 Bureua Group anayejenga barabara ya Tanga - Pangani - Mkwaja Bagamoyo...
Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15.
Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana...
Katika Mtandao wa X zamani Twitter kuna account zinafahamika kama akaunti zinazotumiwa na Viongozi wa Serikali pamoja na Chama cha Mapinduzi kama Machinery zao za Uendezi na Propaganda.
Akaunti hizi ni pamoja na Akaunti ambazo kuna kipindi fulani zilifahamika sana kama Akaunti zilizotumiwa na...
Umewekeza mabilioni ya fedha mliyoiba kwenye kandarasi mbalimbali Serikalini na nyingine kwenye bajeti ya Serikali ili uwalipe watu waimalize Chadema alafu Chadema ndo inazidi kupendwa mara 100 zaidi.
Umewahonga Mapandikizi mamilioni ya Pesa wajitoe Chadema na kuanzisha tafrani uchwara ili...
Nimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi
MH. KATIBU Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanachama wa kadi namba 35530 nimeamua kujitoa nyazifa zangu ni:
Makamu mwenyekiti kanda ya magharibi
Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kanda
Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa...
"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio...
Jumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.
Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele.
Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua...
Hivi kuna namna tunaweza tukawa tunajiridhisha na hizi statistics zinazotolewa na hivi vyama vya siasa?
Yaani hapa tunapigwa mchana kweupe! Nani na akili zake timamu aache CCM, CHADEMA au ACT ahamie ADC?
=====================
Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimepokea zaidi ya...
Jumapili ya jana Mei 11, 2025 Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama Mdude ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na...
Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni maoni makini kabisa yasiotia shaka hivyo wewe mchangiaji uache jazba na kejeli unapochangia uzi huu
Ndiyo mashabiki wake wengi hawana shughuli rasmi za kwenye mifumo, hawako makini kuainisha au kuchambua sera husika na hawatangulizi maslahi mapana ya nchi yetu...
Jimbo la Mbeya Mjini ilifahamika toka awali kuwa litagawanywa kuwa majimbo mawili, ili kuhakikisha Mtu Fulani anashinda kati ya hayo majimbo mawili, kwasababu Sugu ana nguvu sana katika jiji la mbeya na anakubalika na vijana ambao wengi ndo wapiga kura, kama uchaguzi hautakuwa na uwizi basi...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Mei 12,2025 ametangaza kuwa Tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa Majimbo mapya mawili ambayo ni Jimbo la Kivule na Jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.