Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya...
Wakuu,
Mama anapata usingizi vizuri kweli? Unatoka kutoa boko unapa taarifa ya kukuchapa kibao🥲😂😂 Yaani ni bandika bandua, kila ukijaribu kumkandamiza ndio kama unamuweka kwenye spotlight ili aonekane vizuri😂.
====
TAARIFA KWA UMMA
KUCHAGULIWA KWA MHE. TUNDU LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA...
Muda si mrefu na ban za safari zitakuja, mama yupo zake kimya, kama vile haya mambo hayamhusu, ndio kwanza anafurahia kutegenezewa program za uchawa! Mambo yanaenda kuwa magumu kwetu Trump effect huenda ikaongezeka na kwa wengine na ikawa kali zaidi.
====
Marekani imesikitishwa sana na...
Wakuu,
Haya sasa mmeletewa knockout ya mama huko, mkapigane kwaajili ya mama, aloo🤣🤣.
Naona huu uchawa ndio umekuwa sehemu za kumuondolea stress kwenye sekeseke ukatili wa polisi na haki za binadamu pamoja na kesi zinazofunguliwa huko dhidi ya Tz, asije akafa kwa presha🥲🥲.
Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Wakuu,
Ndio maana uchawa umeongezeka kwenye vyombo vya habari sababu wameahidiwa viti vitaoatikana kwa udi na uvumba?
Maana Baba Levo kwenda kuwania ubunge kwenye jimbo analohombea Zitto its insane! Kwa kujipima hawezi kwenda kule kama hajaambiwa ama apeleke shida tu kuna kitu wanatengeneza...
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Gwiji wa Utangazaji na Mawasiliano kwa Umma, Baruan Muhuza amefunguka juu ya taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu yeye kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini.
Ikumbukwe kuwa pia hivi karibuni msanii na Mtangazaji wa...
Mfanyabiashara na Mchimbaji mdogo wa Madini na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kuruthum Issa Runje, amechangia kiasi cha Shilingi milioni 4,555,183 kwa ajili ya kukata Bima ya gari chama hicho Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Wakuu,
Aisee ni inasikitisha na kutia hasira kwa vitendo hivi vinavyosimuliwa, kwa mara ya kwanza tumesikia mambo machafu yanayoelezea ukatili wa kutisha zaidi ya kipigo kilichozoeleka. Inaonekana wote waliowahi kukamatwa na polisi nchini wamefanyiwa ukatili mkubwa wa kijinsia na hata kingono...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kutoka Mkoa wa Mwanza Salma Kasanzu awataka wananchi mkoani Mwanza kuwazomea viongozi wakuu wa CHAUMMA ambao wametoka CHADEMA akidai kuwa viongozi hao wapo kwa ajili ya kupambania matumbo yao na sio wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Wanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Godson John Mmbaga na Chama cha CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally Ramadhan Mngashwa wamejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado...
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa Duniani, Usipitwe.
Watanzania waishio nje ya nchi wanaandamana muda huu Washington DC kushinikiza serikali ya Tazanzia kuwaachilia huru mateka wote na Mh. Tundu Lissu
Toa maoni yako
MBUNGE WA BIHARAMULO ATAKA UHARAKA WA UJENZI WA MAEGESHO YA MAGARI KATIKA CENTRE ZA BIHARAMULO, LUSAHUNGA, NYAKAHURA NA BIHARAMULO MJINI (NYAMAHANGA) ILI KUKUZA PATO LA JIMBO.
Leo 6.5.2025 bungeni Dodoma mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa ameitaka serikali kutoa majibu ya kwanini kuna...
Wakuu!
Kwa muda sasa nimefuatilia mwenendo wa wasanii wetu hasa kipindi hiki ambacho joto la uchaguzi Mkuu limepamba moto.
Sina shida na msanii yeyote kuonesha mlengo wake wa kisiasa huo ni uhuru wa mtu binafsi. Ila kinachokera na kuumiza ni pale msanii anapogeuka kuwa CHAWA wa Kisiasa...
Leo Mei 23, 2025 aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Muttamwega Bhatt Mgaywa, amechukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADC makao makuu ya chama hicho Buguruni, Dar es Salaam.
Mgaywa amesema amechukua uamuzi huo kufuatia maombi mengi ya baadhi...
Mimi ni mmoja ambao sijafurahishwa na namna raia wa Kenya na Uganda walivyobagazwa na kutwezwa utu wao na mamlaka za Tanzania.
Kitendo cha viongozi wakubwa wa Kenya na Uganda kuwa kimya muda huu, ni mlio wa sauti kubwa sana kwenye mustakabali mzima wa mahusiano ya kidiplomasia.
Tanzania...
uasi = rebellion
A rebellion is a violent organized action by a large group of people who are trying to change their country's political system.
Rebellion: When a group of people openly and forcefully go against the government or leader in charge.
It can also mean when someone goes against a...
Nimemsikia Heche analalamika kuhusu jitihada za kuiua CHADEMA kuweni proactive badala ya kuwa reactive lakini pia wekeni mpango mkakati wa kuivusha CHADEMA kwenye mawimbi na kubaki na nguvu yake.
Fanyeni SWOT anlaysis. TEHAMA na TEAM WORK ni silaha KUBWA sana
Katika kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kidigitali ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu ili kuhimiza matumizi ya digital
Mpango huu uatenda sambamba kuhakikisha bei ya smartphone inakuwa chini sana hata kwa elfu 30 unapata smartphone mpya kwenye box
Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala.
Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana.
Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.