kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waliodai kutapeliwa na kufanyiwa siasa za ulaghai kuingia Chaumma wapokeeni CHADEMA watakaporudi

    Nimewasikiliza wanachama 3 wailotapeliwa na kudanganywa kujiunga na CHADEMA kutoka Wilaya ya Kwimba warudisheni Chadema na waendelee na vyeo vyao kwa kufuata katiba. Kwa kweli nimewahurumia sana na kwa msingi huo na declare kuwa Chaumma ni chama cha kihuni hakitafika mbali. Chadema...
  2. Roving Journalist

    PreGE2025 Isihaka Mchinjita: Watu wa UDART wamevunja simu na kulazimisha Waandishi wafute taarifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akielezea kilichotokea akakamatwa na Jeshi la Polisi, leo Mei 23, 2025 baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa lengo la kujionea na kukagua adha ya usafiri huo. Pia soma ~ Makamu Mwenyekiti wa ACT...
  3. Waufukweni

    Martin Masese awaumbua CCM na CHAUMMA waliodai kuibomoa CHADEMA, takwimu zasema vinginevyo kwa walioondoka

    Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti...
  4. DolphinT

    PreGE2025 Wageni wanavyotuzama wakati huu Kesi ya Lissu ikiendelea na uvunjifu wa haki za binadamu kutokea

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  5. Erythrocyte

    PreGE2025 Sheikh Alhad Mussa aomba watakaomtakia mabaya Rais Samia wapate kiharusi

    Hebu jionee Mwenyewe === Mwenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu "Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida awavaa Wanaharakati wa Kenya na Uganda adai jirani asiyekuwa na adabu havumiliki

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amepongeza msimamo thabiti wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka wazi na kwa uwazi mkubwa kupinga jitihada zozote kutoka ndani au nje ya nchi zinazolenga kuchochea chuki na...
  7. W

    PreGE2025 Heche: Njia pekee ya watu kujipatia uongozi utakaowajibika kwao ni kwa njia ya kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha kamati kuu wa kamati kuu ameeleza kuwa wapo kwenye vita na watu ambao wameshindwa kuongoza nchi, wanaoiba mali za umma na wasio na malengo na nchi hii. "Sote...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 John Mnyika: CHADEMA Tupo katikati ya Vita kubwa dhidi ya Watawala, njama zinafanyika kudhoofisha CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kiko katikati ya vita dhidi ya watawala, akidai kuna njama za kupinga uamuzi halali ya vikao vya chama na kujaribu kudhoofisha harakati za kudai mabadiliko ya kisiasa nchini. Akizungumza leo Ijumaa, Mei...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Tulia akimbia jimbo la Mbeya Mjini, atangaza nia kugombea jimbo jipya la Uyole

    Mbunge wa Mbeya Mjini, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini, leo Ijumaa Mei...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) azima uvumi wa kuhamia CHAUMMA: Hakuna Mbowe wala Lissu, sisi ni Watu wa CHADEMA

    Baada ya Taarifa za Kada wa CHADEMA kuhusishwa na kuhamia CHAUMMA kwasabu ya kuwa mfuasi wa Mbowe, mwenye afunguka. "Sio kweli kwasababu unaniona hapa, sio kweli aliyehama ni mtu wa Mbowe. Mimi naamini mambo hayo yalishakwisha, Uchaguzi ulishakwisha, sasa hivi hakuna mtu wa Mbowe wala hakuna...
  11. Genius Man

    PreGE2025 CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi

    Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi. Hakuna mtu atakayeenda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni Rais, hakuna Rais bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia...
  12. W

    PreGE2025 Vijana watakiwa kujiepusha na vitendo vya uvunjivu wa amani

    Vijana nchini Tanzania hususani waliopo vyuoni wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kudumisha utulivu, amani na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa na Mdau wa Maendeleo na mwanasiasa wa mkoani Iringa Shalom Robert wakati akizungumza na Umoja wa Vijana wa CCM...
  13. K

    PreGE2025 TAKUKURU kuweni Macho na Watu wanaotoa misaada wakiwa na lengo la kuungwa mkono katika Kura za maoni

    Watu wameanza sasa kutoa misaada kwa wananchi wakiwa na lengo la kuja kuungwa mkono katika kura za maoni. Nimeona wengine wanatoa mifuko ya sementi na mabati mengi nia yao ni kuwarubuni wananchi katika kura za maoni. TAKUKURU kuweni macho dhidi ya vitendo hivi ambavyo dhahiri ni vitendo vya...
  14. W

    PreGE2025 Profesa Munguza: Hatutomvumilia yeyote anayetaka kuharibu amani ya nchi yetu

    Rais wa taasisi ya International Peace Information (I.P.I) inayojihusisha na masuala ya elimu ya utunzaji wa amani nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Wilson George Munguza, amesema kuwa taasisi hiyo iko tayari kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini...
  15. W

    PreGE2025 Rungwe asema hahofii kuporwa chama na kundi jipya lilohamia CHAUMMA, na ikitokea hivyo anaweza kuhamia chama kingine

    Rungwe amefanyiwa mahojiano na Maktaba media na alipoulizwa kuhusu tetesi za huenda kundi alilolipokea kutoka CHADEMA linaweza kumpora chama cha CHAUMMA amejibu; "Inawezekana kama lengo lao ndiyo hilo. Na mimi nipo tayari, .... mbona tunatetemeka, tunatetemeka nini? kupoteza, kupoteza nini? ni...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Shamira Mshangama achangia ujenzi wa Nyumba ya Katibu UVCCM Mkinga

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Shamira Mshangama, akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Shamira ameshiriki kama Mgeni wa heshima katika kufungua kikao cha Baraza...
  17. Dalton elijah

    PreGE2025 Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania. katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waandishi Habari Wasiothibitishwa hawatoruhusiwa kuripoti uchaguzi mkuu 2025

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari (JAB) imesema waandishi wa habari ambao hawatakuwa wamethibitishwa na ithibishwa ni bodi hiyo hawatoruhusiwa kutekeleza majukumu yoyote yanayohusiana moja kwa moja na mchakato wa uchakuzi mkuu 2025. Kundi hilo la waandishi wa habari linajumuisha Wahariri...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Vijana na Wanafunzi wa vyuo waaswa Kuwa Mstari wa Mbele Kudumisha Amani kipindi cha uchaguzi

    Ikiwa imebaki miezi mitano kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu Vijana nchini hususani wanavyuo wametakiwa kuwa mstari wa mbele kudumisha amani na utulivu na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...
  20. USSR

    PreGE2025 Serikali kujenga ghala kubwa la kuhifadhi tumbaku wilayani Biharamulo

    SERIKALI KUJENGA GHALA LA KUHIFADHI TUMBAKU -KALENGE BIHARAMULO. Bajeti ya wizara ya kilimo inayoendelea katika mjadala bungeni Dodoma inajibu swali na shauku ya muda mrefu ya kujenga ghala la kuhifadhi tumbaku ghafi wilayani biharamulo katika kijiji cha kalenge. Mbunge wa biharamulo Eng Ezra...
Back
Top Bottom