Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema matamshi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, dhidi ya wanaharakati yalikuwa sahihi kwa kuwa, kama kiongozi, ni jukumu lake kuhakikisha tunu za taifa zinalindwa.
Jawadu ameyasema...
Wakuu!
Hawa Chawa wa Rais Samia wanajitahidi sana kufosi mambo ili ionekane Rais anapendwa 🤯
==
Generation Samia kwa kushirikiana na Umoja wa Machinga Dar es Salaam wameandaa Kongamano kubwa sana kwa ajili ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo makubwa na mazuri anayowafanyia...
Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na...
Ukiniambia ni jimbo gani kwa sasa upinzani wanaweza shinda kwa hii tume silioni huwa najaribu sana kutafuta majimbo ya wapinzani kuweza kushinda kwa hii tume siyaoni kabisa labda nyie mnisaidie.
Kwa hii tume sijui ni jimbo la CCM kupoteza halipo sioni.
Kumbuka kwa yale majimbo ambayo wabunge...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe lililopo mkoani Kigoma Dkt. Florence Samizi ameishauri Serikali kuvipatia fedha za ruzuku kwa wakati viwanda vya mbolea ili mbolea ifike kwa wakulima ikiwa tayari ina ruzuku, hali itakayovisaidia viwanda hivyo kujijengea uwezo wa kujiendesha na kuzalisha zaidi ajira...
Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amegawa matofali 41,000 na mifuko ya saruji tani 102 (sawa na mifuko 2,050) kwa kata zote 41 za jimbo hilo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia Mfuko wa Jimbo.
Akizungumza wakati wa zoezi hilo...
Ubalozi wa Juu wa Uganda nchini Tanzania umeomba taarifa rasmi kuhusu kukamatwa na kushikiliwa kwa raia wake, Bi. Agather Atuhaire, katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ubalozi huo, Bi. Atuhaire alikuja nchini Tanzania kwa shughuli mbalimbali ambazo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimekanusha madai yaliyotolewa na baadhi ya waliokuwa wanachama na viongozi wa chama hicho, ambao hivi karibuni walitangaza kujiondoa, wakidai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo na kinakosa stahiki za uendeshaji wa kimamlaka kwa upande wa...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuelekeza kura zao zote kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Uchaguzi Mkuu ujao mwezi Oktoba, akisisitiza kuwa Rais Samia amedhihirisha uwezo mkubwa wa kiuongozi katika...
Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia...
Wakuu,
Kwakwlei sijawahi kuona hili likifanyika hasa ukizingatia ni chombo cha habari! Maana lengo la chombo cha habari ni kuhabarisha umma na kutaka taarifa zisambae kadri inavyowezekana. Hapo inakuwa inaongeza visibility ya chombo, na kadri watu wanavyoshea content yako mfano kwa youtube...
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 21 Mei, 2025 amekabidhi rasmi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano, 2020-2025 kwenye Baraza la UWT Mkoa wa Katavi.
Akizungumza wakati akiwasilisha Taarifa yake katika Baraza hilo, Martha...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya...
Wakuu,
Majuzi Rais Samia alivyochamba 'wanaharakati' waliokuja kwaajili ya uangalizi wa kesi ya Lissu, aliviambia vyombo vya dola vichangamke katika kutoa majibu pale madai yanapozuka lakini pia aliwaambia vyombo hivyo viwadhibiti hawa watovu wa nidhamu, waishia kutovuka huko walipotokea na si...
Wakuu!
Inadaiwa CHAUMMA wamengia mitini na kushindwa kulipa watu waliowasafisha kwenda kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika jana Mei 21 jijini Dar es Salaam, walalamikaji wanasema waliapewa ahadi ya pesa lakini hawakupewa pesa zao, walalamikaji wanasema fedha zao zimeliwa na waliosimamia mgao.
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ameungana na Watanzania wengine katika zoezi la kuboresha taarifa za Mpiga Kura kwa mwaka 2025, ambapo leo ameboresha taarifa zake katika shule ya Amani Gomvu, iliyopo Mtaa wa Minondo, Kata ya Somangila, wilayani Kigamboni.
Kupitia ukurasa wake wa...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema hakuna Chama au Kikundi Chochote Chenye Uwezo wa Kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu.
Makalla ametoa Kauli hiyo mei 21, 2025 akizungumza na Wananchi Jijini Mwanza kupitia...
BALOZI NCHIMBI ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, Mtaa wa Kilimani, jijini Dodoma, kwa ajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.