kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE BIG SHOW

    PreGE2025 Alichokifanya Gwajima ni “Insubordination” kwa mwenyekiti wake wa chama. CCM imuite na kumhoji azungumze uhalisia

    Friends and our Enemies, Gwajima kama mwanachama na mbunge wa CHAMA ana platforms za kusimama na kuongea ndani ya serikali, na ndani ya chama. Sasa anaposimama na kusema kwamba huenda hao watu wanaoteka watu may be ni kikundi TU cha watu Fulani ambao wanatumwa na mtu Fulani na inapotokea...
  2. W

    PreGE2025 UVCCM: Wapinzani waache visingizio ngoma hii imewapita kushoto

    Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM TAIFA ambao pia ni Wenyeviti wa UVCCM wa Mikoa mbalimbali nchini wameahidi kuhakikisha wanapigania Kwa nguvu zote kura za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa Urais katika Uchaguzi...
  3. PendoLyimo

    PreGE2025 Tujikumbushe ya Askofu Gwajima

    Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho: Polisi walinivua nguo zote wakanipiga sana na wakinipiga picha nikiwa uchi

    Tulikuwa tunakutafuta kwa muda mrefu, wewe ndiyo ulikuwa unawafundisha vijana ili wawapige askari, wewe taja cheo chako ni kawaambia mimi ni mwenyeketi wa CHADEMA kata ya Makumbusho, hapana sema cheo chako na kama utaki kusema basi tunakufanya vitu ambavyo wajawahi kuona Wakanivua nguo zote...
  5. Benson Mramba

    PreGE2025 Ni wakati muafaka sasa kwa WanaCCM kuonyesha nguvu yao kwa maslahi ya Taifa

    Kazi ya Chama cha CCM ni kuisimamia serikali yao itekeleze ilani yao ya uchaguzi. Mpaka sasa naiona serikali yao ikituletea Xenophobia na nchi majirani zetu, vikwazo vya kiuchumi kutoka ulaya na marekani na mgawanyiko mkubwa ndani ya nchi kwa itikadi ya vyama kiasi cha kutishia amani na Umoja...
  6. Egnecious

    PreGE2025 Gwajima maji ya shingo, kaanza kutapatapa

    Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe. Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema...
  7. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Angalizo kwa machawa na genge lote linalofanya utekaji, machaguzi ni mawili tu, kumjibu Gwajima ili awapasuepasue, au kimya bado awapasue

    Hii inaitwa ikisimama Nchale, kukimbia Nchale! Mziki wa Gwajima mnaujua, Gwajima ni Lijabali likuuuuubwa sanaaaa. Hoja za Gwajima ni za Kweli na Haki. Sasa watumeni Akina Steve Mangele, Mafufu, Sijui Akina kibajaji, Makonda, na wajinga wajinga wa aina hiyo wamjibu GWAJIMA. Uzuri kasema 'kuna...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Aisha Madoga Kayumbo wateuliwa kuongoza kurugenzi CHAUMMA

    "Kurugenzi ya Viongozi wawakilishi kwa maana ya Wabunge, wajumbe wa Baraza la Uwakilishi na madiwani na Kamati kuu imemteua Bwana Kayumbo Kabutali ambaye yeye ni Msomi wa Chuo Kikuu na ni Daktari wa mifugo Mbobevu, mwanasiasa wa muda mrefu, amefanya siasa kwenye kabla ya Chaumma akiwa kwenye...
  9. King Kong III

    PreGE2025 Video za Askofu Gwajima zafutwa Youtube

    Umuofia Kwenu wana JF, Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Ikatokea Abdul mtoto wa Mama Samia amechukuliwa kesho kaokotwa hana macho utajisikiaje?

    Anahoji Askofu Gwajima.! Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana...
  11. The Palm Beach

    PreGE2025 Baada ya kauli ya Askofu Josephat Gwajima, agenda ya No Reforms No Election ya CHADEMA yachukua mwelekeo mpya na wenye nguvu zaidi

    https://youtu.be/ncGGFtMJA9A?si=lLgn0JLrDY0nSRgd Nani anaweza kubishia hili? Kwamba, Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa CCM jimbo la Kawe - DSM kwa press conference yake ya muda mfupi uliopita, kuwa rasmi sasa ameunga mkono agenda ya NO REFORMS NO ELECTION ya CHADEMA...? Jibu ni Absolutely...
  12. Lord Denning

    PreGE2025 Wenye akili tumemuelewa Gwajima. Kuna kikundi kinafanya Utekaji hata Wakuu wa Vyombo hawana mamlaka nacho na hawawezi kukigusa

    Kwa wenye akili tumemuelewa Gwajima. Kwa maneno yake ukimsikiliza neno kwa neno utaelewa kuwa kwa sasa kuna kikundi kinachowajibika kwa Rais tu ambacho kinafanya vitendo vya Utekaji na Mauaji ya Watanzania wanaompinga Rais na CCM. Ukimsikiliza vizuri Gwajima utaelewa kuwa imeonekana katika...
  13. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mafanikio ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI ILANI: 2020-2025 TAARIFA ZA MAFANIKIO *Taarifa za miradi inayotekelezwa kwa kila Mwaka wa Fedha zinatolewa na kusambazwa kwa njia mbalimbali, zikiwemo: (i) Mikutano mbalimbali ya Chama (CCM) na Serikali...
  14. R

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

    Salaam! Inaendelea live, https://www.youtube.com/live/n-kmeazATjw?si=X3ij2Vo-Q0MJF8hQ Askofu Gwajima amesema kumekuwa na mlolongo wa matukio ya watu kutekwa pamoja na kupotea hivyo kutokana na hayo ameamua kuitisha mkutano huu na waandishi wa habari kuongelea kuhusu suala hili na kisha kutoa...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 CHAUMMA yawateua Mrema, Ruge kuwa Wakurugenzi wa Habari na Uchumi

    Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imefanya uteuzi wa wakurugenzi wa idara mbalimbali ya chama hicho akiwemo John Mrema kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma. Mrema atasaidiwa na Ipyana Samsom ambaye awali alikuwa akiiongoza Idara hiyo. Aidha, Catherine Ruge...
  16. USSR

    PreGE2025 Jumla ya shilingi bilioni 98 zimeletwa wilaya ya Biharamulo kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo

    JUMLA YA SHILINGI BILIONI 98 ZIMELETWA WILAYA YA BIHARAMULO KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO KWA KIPINDI CHA MIAKA 04 YA UONGOZI DKT SAMIA SULUHU HASSAN. Na S.L.T Waziri wa Sheria na katiba Dkt Damas Ndumbaro amesema kuwa kwa Kipindi Cha miaka 04 ya uongozi wa Raisi Samia Wilaya ya...
  17. Criss

    PreGE2025 Tunamhujumu Rais wetu kwa faida ya nani?

    Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 . Yeah, hii ni hujma. Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Mchengerwa: Wanaoleta Vurugu Dar wanatoka nje ya Nchi, Chalamila washughulikie

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi. Aidha...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Mussa Zungu: Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, amewarudisha Wapinzani wote waliokimbia Nchi

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akiongea na wananchi wa Dar es Salaam katika Hagla ya uzinduzi wa soko la Nyama choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti jijini hapo amesema: "Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, hayo...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Walemavu wamchangia fedha Rais Samia na kuahidi kumpa Kura zote Oktoba

    Wakuu! Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Back
Top Bottom