kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kikwete: Uchaguzi usiwe chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi yetu

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa vinaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinachoelekea uchaguzi. Akizungumza Mei 25, 2025 katika...
  2. BLACK MOVEMENT

    PreGE2025 Ni mara 100 kuviunga mkono NCCR au TLP kwa sababu walisha jipambanua waziwazi wanasapoti CCM kuliko hawa ACT Wazalendo walio jaa unafiki mkubwa sana

    Vile vyama sijii 13 ambavyo ni partiner wa CCM kitu kimoja walicho nacho sio wanafiki na wanaiunga mkono CCM wazi wazi bila kificho tena mchaka kweupe.. Ila sasa ikawekwa ACT na NCCR Mageuzi au TLP ni bora kuisapoti hao kuliko ACT ambao mchan wanazuga ni wapinzania ilihali gizani wako bega kwa...
  3. Tabutupu

    PreGE2025 Vijana wa vyuo vikuu CHADEMA wagawanyika wengine wapinga msimamo wa chama

    Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo changanywa na picha halisi. Hizo video za hao vijana hazija chukuliwa sehemu mkutano umefanyika na...
  4. The Palm Beach

    PreGE2025 Askofu Josephat Gwajima: Nimeambiwa na Mungu kuisimamia Tanzania na nitaisimamia

    Ni sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025... Anasema: 1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia... 2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua tu. Hili la nilikuwa nani, utakuja kujua baadae.. 3. Kuna wengine nikisema maneno haya huwa wanawaka...
  5. W

    PreGE2025 Wasomi wasema hawamtaki Martha Karua nchini ataleta machafuko

    Anayewatuma(ga) hawa madogo kuzungumza kwenye issue serious kama hizi ni kwamba huwa hawajui kama wanajichoresha au? Kwenye issue nzito za kidiplomasia wao wanaongea kama wamekatwa vichwa vile === Katika Kongamano la wanavyuo mkoa wa Dar es Salaam wameungana na kudai Wakili kutoka Kenya Martha...
  6. W

    PreGE2025 UVCCM yalaani wanaovuruga amani kutoka nje

    Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiwemo Wenyeviti wa Mikoa wameungana kwa sauti moja kulaani vikali kile walichokiita vitendo vya baadhi ya wanaharakati na watu wengine kutoka nchi jirani wanaojaribu kuvuruga amani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  7. Mshana Jr

    PreGE2025 Adv. Mwabukusi: Sitagombea ubunge jimbo lolote

    Nimeulizwa na wengi iwapo nitagombea Ubunge au nafasi yeyote ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 na haya ndiyo majawabu yangu. 1.Kipaumbele changu cha kwanza kwasasa ni kupigania utawala wa sheria ,haki za binadamu na ulinzi wa Raslimali za Asili za Tanganyika. 2.Kipaumbele changu cha...
  8. W

    PreGE2025 Heche awashukia G 55, awashangaa kwenda kulamba matapishi ya mtesi wao

    John Heche ameonesha kuchukizwa na waliokihama chama hiko wakati kama huu, ilhali watu wengi wamekufa na kuteseka ili kuwapambania wawe wabunge. "Wengine tulipigwa risasi, tukafungwa jela kwa sababu ya kuwapambania wao wawe wabunge. Leo wameingia kwenye kitanda na wamejifunika shuka moja na mtu...
  9. Gabeji

    PreGE2025 Taifa ni muhimu kuwa na watu jasiri kama Askofu Gwajima, kwa ajili ya kutetea haki

    Hakika leo umenifurahisha sana mtumishi wa Mungu askofu Gwajima. Hii ndio asili Yako ya kutetea haki, utu, uzalendo, taifa. bila shaka watanzania wote wamefurahishwa sana na hiki ulichokifanya jana, hata Mungu amefurahi. Pia soma...
  10. PendoLyimo

    PreGE2025 Gwajima anamaanisha kweli kupambana na utekaji au anatafuta ushujaa mitandaoni?

    GWAJIMA ANAMAANISHA KWELI KUPAMBANA NA UTEKAJI AU ANATAFUTA USHUJAA MITANDAONI? Anaandika Spesho Kabwanga. Askofu Gwajima kwenye speech yake ametaja Neno RAIS si chini ya mara 42, Neno USALAMA WA TAIFA si chini ya mara 35, POLISI si chini ya mara 18, JESHI LA WANANCHI si chini ya mara 14...
  11. W

    PreGE2025 CHASO: TAHILISO inafanya kampeni za CCM badala ya kuwatetea wanafunzi

    Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO. Ameeleza kuwa Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu yaani TAHILISO imehodhiwa na CCM na badala yake imesahau majukumu yake ya msingi ya kuwasemea wanafunzi na hivyo...
  12. B

    PreGE2025 Tuzo za Samia Kalamu zinafanya kazi, hakuna gazeti lililothubutu kuweka habari ya Askofu Gwajima

    Nimepita kuangalia vichwa vya habari vya leo kuona kama kuna aliyeweka habari ya Gwajiboy Askofu Gwajima kujilipua jana, kama nilivyotarajia hakuna aliyefanya hivyo. Magazeti yamejaa habari za Rais Samia kuchafuka na wavujisha siri, Fainali ya Simba na Berkene, na tuvitu vitu vingine. Watu...
  13. W

    PreGE2025 CHADEMA imeazimia kutofuata maagizo ya Msajili wa vyama vya siasa. No reforms No election kuchanja mbuga

    https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam. Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23...
  14. covid 19

    PreGE2025 Mtazamo wangu kuhusu press ya Askofu Gwajima jana

    Jana nimeangalia video ya Askofu Josephat Gwajima kwenye YouTube, na haya ndiyo maoni yangu kuhusu kile alichokisema na alivyokisema. Kwanza, ni wazi kuwa Gwajima yupo karibu na watu walio ndani ya system yaani watu walioko kwenye vyombo vya dola. Hawa ndio wanaompa taarifa “nyeti” kuhusu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Nashauri Serikali imuachie Lissu; Mambo yasiwe Mengi. Patterns hazijakaa vizuri

    Mpo Salama bila Shaka! Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo. Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata? Ni juzi tuu wala sio Mbali. Wataalamu wa mambo yajayo...
  16. DR HAYA LAND

    PreGE2025 Kwanini Gwajima anaonekana ni mzalendo baada ya press yake ya jana?

    Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo). Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii, kisiasa, kiuchumi. Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa political mileage au anatufa Personal interest. Kwahiyo angeamua kukaa kimya asiongee chochote kuhusu...
  17. mshale21

    PreGE2025 Division zero inatosha kabisa kuelewa ujumbe wa Askofu Gwajima kuhusu utekaji

    Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa 1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa 2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa...
  18. M

    PreGE2025 Gwajima amekuja kutuonesha Watanzania tunatumia njia ambayo siyo sahihi kutafuta ukombozi

    Wakuu habari zenu..... Gwajima jana tar 24 ameitisha pree na kuongea mambo kadha wa kadha. Katika mengi aliyoyaongea Gwajima jambo moja juu ni hili. Gwajima amekuja kutuonyesha kwamba sisi WATANZANIA tunataka ukombozi lakini tunatumia njia ambayo siyo sahihi kuitafuta ukombozi huo. Gwajima...
  19. W

    PreGE2025 Jesca Kishoa atangaza kugombea ubunge Iramba Mashariki

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, baada ya kupokea maombi ya wananchi kumtaka awanie nafasi hiyo. Akizungumza Mei 24, 2025, katika mkutano wa hadhara...
  20. Baba jayaron

    PreGE2025 Nyuma ya Pazia: Gwajima kuandaliwa kuchangamsha uchaguzi mkuu 2025

    Wasalaam, WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025.... Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani...
Back
Top Bottom